mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Kabla hamjamshitaki Mbowe kwa tuhuma za ugaidi kamilisheni uchunguzi wa sumu aliyopewa Mangula

    Naliomba jeshi la polisi likamilishe uchunguzi wa nani alimpa Mangula Sumu na ni nani aliemshambulia Lisu kwa risasi ili wote wajumuishe kwenye mashtaka ya kuua viongozi na ugaidi kama mnavotaka kufanya Kwa Mbowe! Huku mtaani kuna tetesi zinazagaa kuwa Mama umesimamishwa Uongozi wako na Jeshi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Polisi ni wa ajabu hadi wanasahau kutumia akili; unamkamata Mbowe kuwa anapanga kuua viongozi, halafu ndio unaenda nyumbani kwake kutafuta ushahidi?

    Wazungu wana msemo kwamba "some people are so vain that they forget to be clever" Ndivyo navyowaona Polisi wetu wa Tanzania. Yaani mtu mwenye tuhuma nzito za kutaka kuua viongozi, hadi unamkamata lazima uwe na ushahidi dhidi yake mzito. Sasa iweje unamkamata kwa tuhuma nzito kiasi hicho, halafu...
  3. JamiiForums Tanzania Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

    Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru Watanzania, Mwenyenzi kanijaalia afya njema

    Ukiishi ukapata pumzi na maarifa ya kutambua mema na mabaya mshukuru Sana Mungu Kama unaamini yupo. Ukipewa nafasi yakutubu tubu, ukipewa nafasi yakuhudumia watu hudumia watu bila kudhani una muda mbele wakuishi. Lipo fumbo kubwa Sana Kati uzima na ugonjwa lakini lipo fumbo kubwa zaidi Kati ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa viongozi wa vyama vya upinzani kukamatwa kwa Mbowe kunatufundisha yafuatayo

    Hadi Sasa hakuna kiongozi wa chama Cha upinzani aliyejitokeza kupongeza au kukemea kilichofanywa na Jeshi la Polisi dhidi Mhe. Freeman Mbowe, ukimya huu unatoa tafsiri zifuatazo kwa mtizamo wangu; 1. ACT Wazalendo baada ya kupata nafasi Zanzibar imeanza kujiona sehemu ya serikali na mapambano...
  6. JamiiForums Tanzania Ugaidi wa Mbowe na Masheikh wa Uamsho

    Masheikh wa uamsho waliofanya matendo yenye viashiria vyote vya ugaidi wanaachiwa huru lakini raia mwema ambaye kosa lake ni kutamka tamka “katiba Mpya” anakamatwa na kuuziwa kesi ya Masheikh wa Uamsho. Ugaidi wa Mbowe ni mkubwa kiasi gani ukilinganisha na Masheikh walioachiwa huru. Mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi: Mbowe amepelekwa Dar kwa Mahojiano, atarejeshwa Mwanza

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza imethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa mahojiano. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amesema kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 akiwa hoteli ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufungua kesi kushinikiza Mbowe aachiwe

    Tutakwenda kufungua kesi Mahakama Kuu ili kushinikiza Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe aweze kuachiwa. Haya yamesemwa na John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA. Akihojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC)
  9. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

    Mama na CCM wamebaki chama dola kwa asilimia 100.
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe aonekana Dar akiwa na polisi wakitaka kupekua nyumba yake

    Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
  12. JamiiForums Tanzania Mnashangilia kukamatwa kwa Mbowe, tutashangilia muda ukifika

    Mnashangilia na kutukana kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA kwa kutumia haki yao kukusanyika sio? Jana UVCCM walikua na MKUTANO Dodoma. Hatukusikia upuuzi wowote wa Polisi, walikua wameufyata. Sasa nawapa taarifa siku na nyie kiongozi wenu akiitwa kupumzika milele msije mkawalaumu Chadema...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe Mwanza Ilivyopotoshwa ili Kuuficha Ukweli

    Ninalazimika kuuleta uzi huu baada ya hatimaye kupata nafasi kuisikiliza sehemu ya hotuba ya mheshimiwa Mbowe: Katika hotuba hii, sioni popote penye tatizo lolote na mtanzania yeyote: 1. Kwamba kuna wagonjwa wa Corona na watu wanakufa nchini kote? 2. Kwamba wahanga hawa wanalazimika...
  14. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atoa kauli ya chama juu ya kodi/tozo ya miamala ya simu na kuvurugwa kwa Kongamano la Katiba

    Tazama na sikiliza VIDEO No. 1: Msimamamo wa CHADEMA juu ya tozo za miamala ya simu: VIDEO No. 2: Kauli ya Mwenyekiti kuhusu polisi mkoa wa Mwanza kupitia kwa RPC wao Ngh'anzi kuvuruga kongamano la katiba juzi j' mosi tarehe 17/7/2021 na kuwaweka kizuizini viongozi, wafuasi na wapenzi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki ya CHADEMA, Hotuba ya Mbowe Mwanza, na Uharaka wa Katiba Mpya: Hoja za Mbowe zinabeba ukweli kiasi gani?

    Jana, tarehe 19 Julai 2021, Mwenyekliti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, aliongea na waandishi wa habari mjini Mwanza. Katika kikao hicho Mbowe alilaani vikali uamuzi wa Jeshila Polisi mkoani Mwanza wa kuvunja kongamano la Katiba Mpya lililokuwa limeandaliwa na Baraza la Vijana wa Chadema...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe atumia lugha chafu. Amuita DC Ilemela mjinga, hana Wilaya

    "Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowet ===
  17. JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    "Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume PIA, SOMA: - CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
  18. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni Lazima: Hoja ya Mbowe ina Mashiko

    Kama mwuungwana tokea pande za Pwani niliyeukataa ukanjanja katika nyanja zote, nina lazimika kutia neno juu ya maneno ya hekima yake Mwamba Aboubakar Laigwanan Mbowe (Mola amjalie maisha marefu). Uhalisia kuhusiana na chanjo yoyote ni huu hapa: "Chanjo ina maana kama tu idadi kubwa na ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mbowe: Kazi ya kudai katiba mpya sio lelemama, makamanda mjiaandae kunyea ndoo lupango

    "Napenda kuwatangazia Wanachadema kuwa kazi ya kuidai Katiba Mpya siyo kazi ya lelemama. Wakitaka kuwaweka ndani Wanachadema kwa hoja hii ya Katiba wapanue kwanza Magereza, tupo tayari wote tuwekwe ndani na wala hatutaomba dhamana." Mhe. Freeman Mbowe.
  20. JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe: double taxation ni uvunjifu wa sheria

    Akiwa Mwanza kamanda Mbowe amesiitiza kuwa Migulu Nchemba hayuko vizuri kichwani. Maana kama mtaalamu wa uchumi mwenye Phd huwezi kuruhusu anayetuma na anyepokea kukatwa kodi. My take: Chadema ni chama kinachotetea wanyonge, tukipatie support.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…