mbowe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Zakuambiwa: Kwanini CCM wamemruhusu Mwenyekiti wao akakutane na Msaliti wa Taifa? Je, bado wanaamini Mbowe ni Gaidi?

    Chama Cha Mapinduzi Kwa miaka zaidi ya mitatu walifunga milango ya fahamu waliyopaswa kutumia kuwasiliana na Mwenyenzi Mungu kumwombea hekima wakamruhusu shetani atumie ndimi zao kupandikiza chuki baina ya wanaomwamini Mungu na wanaoamini madaraka. Viongozi kadhaa wakiwemo UVCCM walitoka...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Alichokitaja Jaji ni Kifungu cha Kufuta Kesi, Mawakili walitaja Kifungu cha Kujibu kama kuna kesi ya kujibu au la!

    Kile Kifungu alichokitaja Jaji katika Sheria ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na yanayofanana na hayo kinatamka kuwa: "40. Dismissal of charge At any stage of the proceedings the Court may, if satisfied that the accused person has no case to answer, dismiss the charge and acquit the accused person"...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Muda wa Mawakili wa Serikali kesi ya Mbowe kulipwa perdiem na Serikali umeisha (maximum miezi 6), Je, wanalipwa kwa sheria Gani?

    Nimesoma utaratibu wa malipo ya serikali Kwa Mtumishi anayefanya kazi nje kituo chake cha kazi, utaratibu unaeleza kwamba Mwisho wa malipo ni miezi sita baada ya muda huo utafutwe mfumo mwingine wa kuwalipa ila siyo perdiem. Mawakili wa Serikali wanatoka Mikoani na hivyo huko Dsm siyo kituo...
  4. JamiiForums Tanzania DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

    Leo upande wa mashtaka umefunga ghafla kesi ya ugaidi inayowahusu washtakiwa wanne akiwemo Freeman Mbowe. Katika hali ya kushangaza shahidi muhimu ambaye akitajwa karibu kila siku na mashahidi wa upande wa serikali DCI Boaz hajaitwa mahakamani kutoa ushahidi. Ikumbukwe huyu ndiye aliyepokea...
  5. JamiiForums Tanzania Ombi: kesi ya mheshimiwa Mbowe itengenezewe kitabu

    Niungane na wenzangu kuwapongeza wale wote walikuwa wanaleta live updates za kesi hii Naomba sana ikiwezekana waunganishe sehemu moja kutoka pale na kutengeneza kitabu ambacho bila shaka kinaweza kusomwa vizazi na vizazi kwa wale waliofuatilia kesi hii wataungana na Mimi kuwa hata namna ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe imetufanya kuparaganyika. Lissu amebakia kulalama Twitter, Bavicha wanazurura kwenye vijiwe vya kahawa. Hakuna dira kabisa

    Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji. Kesi imevuruga mipango ya chama chetu kabisa. Uongozi umeyumba kabisa na inaonekana hakuna mikakati kabisa ya kujikwamua. Zimebaki ngonjera tu spacin huko Twita. Bavicha...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunanyimwa haki ya kupata mlo wa mchana na maji kwa miezi mitano sasa

    Mhe. Mbowe amenyoosha MKONO na kumwaleza Mhe. Jaji kwamba Wana miezi mitano bila kula chakula cha Mchana kwa maana nyingine kauli Hii inaonyesha watuhumiwa hawa wamekuwa wakishinda na kulala bila kula Kwa siku zote wanazoletwa mahakani huku mahakama ikishindwa japo kupitisha mchana bila kula "...
  8. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila kuendelea kutoa ushahidi Februari 15, 2022

    Habari Wakuu, Leo 14/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Mawakili wa Serikali waliomba ahirisho la kesi hadi leo Februari 14, 2022 kutokana na Shahidi Tumaini Swila kushindwa kufika Mahakamani siku ya Februari 10, 2022...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tujielimishe: Ni Wakati gani polisi walibaini Kuna njama za Ugaidi kwenye kesi ya Mbowe? Ni mwaka 2020 au 2021?

    1. Watuhumiwa watatu kwenye hii walikamatwa mwaka 2020 na kuhojiwa Kisha kufunguliwa mashtaka yasiyo ya Ugaidi. 2. Watuhumiwa watatu baada ya kutoa maelezo Yao mwaka 2020 walipokamatwa awakuwahi kurejea uraiani walipelekwa mahakamani Kisha mahabusu,hivyo awajawahi kupata dhamana Wala kuhojiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

    Habari Wakuu, Leo 10/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Shahidi Tumaini Swila jana Februari 9, 2022 aliomba ahirisho kwakuwa alikuwa hajisikii vizuri. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakamani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sabaya yupo ndani, Mbowe yupo ndani na sasa Makonda anaelekea ndani

    Nilikuwa sielewi ule usemi wa sharia ni msumeno unakata ukienda na unakata ukirudi au unakata kote kote, sasa nimeelewa kumbe msumeno pia unakata nje hata ndani. Tanazania inazidi kujipambanua kuwa nchi ya haki kwa mahakama zake kutenda haki bila kuangalia unatokea wapi. Ole Sabaya mkuu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 08/2022

    Habari Wakuu, Leo 07/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri kesi inayomkabili Mbowe na wenzake leo Februari 4, 2022. Kesi imeahirishwa. Shahidi wa 13 kuendelea kutoa...
  13. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe acha unafiki wa kutumika, hesabu yenu na CCM kuhusu Mbowe tunaijua

    Zitto huu unafki hsutakufikisha popote Wallah nakuapia. Ulisema mwenyewe kua hukumaanisha kwamba ulimuombea Mbowe msamaha kwa Rais isipokuwa CHADEMA walikuelewa vibaya, halafu leo unapigilia msumali kua ulimaanisha? Ipo siku utajutia tabia yako hii. Nia yako ni kutaka Mbowe ajinyenyekeze kwa...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA watueleze US$100,000 walizopewa na OpenSociety Nairobi kwa ajili ya kesi Mbowe zipo wapi?

    Wanaukumbi. CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili ya kesi ya kushughukia kesi ya Freeman Mbowe, zimetumika kufanya nini? Watanzania wapenda haki na...
  15. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wahariri waulizeni CHADEMA wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe jela

    Zitto Kabwe kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa jela. Zitto anasema kuwa CHADEMA wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake...
  16. JamiiForums Tanzania Ngonjera na mbwembwe nje ya mahakama haitamsaidia Mbowe kushinda kesi, tujitafakari makamanda. Tukumbuke majaji wana mamlaka makubwa

    Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi. Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.
  17. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi inayomkabili Mbowe na wenzake leo Februari 4, 2022. Kesi imeahirishwa. Shahidi wa 13 kuendelea kutoa ushahidi Februari 7, 2022

    Habari Wakuu, Leo 04/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuanza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022...
  18. JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana, kwa utajiri wa mali na biashara anazofanya Mbowe ni wa kuchangiwa? Au ndio kuumizana tu Kichademachadema?

    Mwenyekiti wa CHADEMA anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai. Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili? Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia...
  19. JamiiForums Tanzania Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa

    1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao. 2. Kucheleweshwa ushaidi wake kwa siku moja ama kulikuwa na mashaka juu ya ushaidi wake kutoka kwa mawakili wa...
  20. JamiiForums Tanzania 2025 CHADEMA twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?

    2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze. SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…