mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Freeman Mbowe unafikirisha sana, karibia wapinzani wote Afrika wanaingia Ikulu

    Mbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake. Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

    Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana. Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia! Mfano ni Zitto Kabwe kipindi...
  3. JamiiForums Tanzania Pascal Mayala from Cape to Mumbai, hadithi iliyojificha yasimuliwa

    Pascal Mayala(CCM) alipopata uwakili nilimuuliza kama atakuwa wakili wa wanaccm tu na mwanachadema ambaye siku zote ana hasira naye ataweza kumtetea? Swali langu lilitokana na dunia kuwa duara, tenda ulitendalo lakini kuna siku utakwama na kuwarudia unaowachukia. Pasikali asiyewapenda...
  4. JamiiForums Tanzania Mbowe anajadiliana na serikali namna anaweza kufidiwa hasara zake na serikali alizozosababishiwa na Anko. Ya kitaifa yanaitaji kusukumwa mwingine tu.

    Baada ya hasara ya kuporwa jengo kibabe ukumbi wa mziki, kuharibiwa mashamba, kufungiwa account zake. Kufunguliwa mashitaka na kubaki hoi. Mambo ya haki za watu kama maswala ya Arthi, Migogoro ya wafugaji, ukosefu wa Ajira, Wabunge vitimaalumu, haki za watumishi, Sera za kiuchumi, mfumuko wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwakuwa kesi ya Mbowe iliishia njiani na inaweza kurejeshwa, Kingai aisuke tena

    Kesi ya Mbowe iliondolewa kwa nolle prosequi, serikali ikiondoa kesi kwa mfumo huo, inaweza kuirejesha. Sasa Kingai ndio Yuko jikoni akikarangiza upelelezi. Ikimpendeza aisuke ili twende raundi ya pili
  6. JamiiForums Tanzania Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi. Aliyekuwa IGP Simon Sirro ateulikuwa kuwa balozi nchi Zimbambwe. Wakati huo huo amefanya mabadiliko ya Makamanda wengine kama inavyoonesha hapa chini [emoji116][emoji116] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mkuu wa Wilaya ya Hai amepora ofisi ya Mbunge wa Hai

    Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa Huu ni Mwonekano wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kibatala ajiondoa kumtetea Freeman Mbowe kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili

    Kumezuka tetesi ya kujitoa kwa uwakilishi wa wakili Peter Kibatala katika kesi ya ugaidi iliyokuwa ikimkabili mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani CHADEMA, ambapo taarifa hizo ziandai kuwa kuanzia wakati huo wakili Peter Kibatala alikuwa amejitoa rasmi katika kesi ya Freeman Mbowe.
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Mbowe jijini Dar es Salaam

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2022 amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya apata dhamana

    Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya amepata dhamana usiku huu. Twaha amedhaminiwa na watu wawili, Jeshi la Polisi limemtaka kuripoti Julai 08, 2022.
  11. JamiiForums Tanzania Mbona Mbowe yuko kimya, ni kawaida yake?

    Kulingana na mfululizo wa matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini, si kawaida kukuta kiongozi wa Chadema akikaa kimya kama ilivyo ada yake. Duru mbalimbali zinasema kwamba Mbowe amesharamba asali tayari, ametulizwa. Hubu tusemeni jamani, ni kawaida ya mbowe hii kweli, hata tweet kweli? kweli?
  12. JamiiForums Tanzania Je, DPP atalazimika kuiondoa Kesi ya akina Halima Mdee kama alivyofanya kwenye Kesi ya ugaidi ya Mbowe?

    Kwa namna ya hili sakata la Hawa wanaojiita wabunge wa viti maalum, kupitia chama kilichowavua uanachama wao cha Chadema na namna Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, anavyojaribu kuendelea kuwakumbatia hao akina Halima Mdee, naziona dalili zote za kutokea kile kilichotokea kwenye ile Kesi ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Heri ya Lyatonga Mrema ana uzalendo kuliko Mbowe na Zitto

    Wana njaa sana na wao pesa mbele. Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu. Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao. Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
  15. JamiiForums Tanzania Asali analamba Mbowe na Mabwanyenye wa CCM, sisi makabwela tunabaki tunaungua jua. Tujitafari sana makabwela

    Wanasiasa sio watu wema. Wanajaza matumbo yao. Hawashibi? Wanakula michango yetu. Wanakula kodi zetu. Leo hii Mbowe na Mabwanyenye wa CCM lao ni mpango mmoja tu kulamba asali. Makabwela tujitafakari sana.
  16. JamiiForums Tanzania Chongolo: Mbowe ana wajomba zake Nyeri na Zitto baadhi ya baba zake wanakaa Bukavu

    Namsikiliza hapa Katibu wangu redioni anasema suala la Mama Samia kuwa na wajomba sehemu nyingine ya dunia sio kubwa Kama linavyotaka kuaminishwa. Ameenda mbali na kusema mababu zake Zitto wakati wanahamia Kigoma wakitokea Bukavu DRC baadhi ya ndugu zao walibaki huko na wanatembeleana mara...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe kauza utu wake. Hakutakiwa kukubali kulamba asali kirahisi namna hii

    Mwanaume unatakiwa kukubali mateso kama anavyokomaa Sabaya. Kwa nini unakubali kuuza utu wako kisa tu mateso?
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe alipanga kuonana na Rais Samia 12 Juni, naona kamtelekeza Mbowe kiaina

    Mbowe alitarajia kuonana na Samia June 12 na siku hiyo hiyo Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe walijua watakuwa Omani na siku hiyo hiyo Mbowe kaahidiwa aende Ikulu. Mbowe, Rais Samia anajua wewe ni muigizaji kwa hiyo na yeye atakuigizia tu hvy hvy kuja maridhiano yaishe ni July 2025. Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA mbona hamsomeki? Kulamba asali mnataka na harakati mnataka, mtapasuka msamba

    Naona mnapenda sana huku na huku. Boss wenu ameshalamba asali na ninyi mmeshalamba kwa ujumla maana yeye ndo Alfa na Omega. Sasa hizi harakati mnazotaka kufanya za nini? Au ndio mmezoea maharakati? 👇Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro
  20. 5

    JamiiForums Tanzania Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

    Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…