mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Haitatokea na msiote Mbowe kuja fanya Mdahalo na Lissu. Hata Serikali haiwezi ruhusu kamwe

    Naona kama mna mdharau sana Mbowe kudhani ni mjinga kiasi cha kukubali mdahalo na T.Lissu. Hilo hatuwezi ruhusu Chama Cha Mapinduzi na Serikali haiwezi ruhusu. Kisha na Chadema nayo itakataa na mwisho yeye mwenyewe pia atakataa. It will never happen. Hayo masuala ya mdahalo si utamaduni wetu na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyuzi nyingi zinazo muunga mkono Mbowe zinaanzishwa na vijana wa CCM na sio wenyewe CHADEMA.

    Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mdahalo kati ya Lissu na Mbowe.

    Naunga mkono hoja ya kuitisha mdahalo kati ya Lissu na Mbowe angalau mara mbili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi wao ngazi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Kwa maoni yako, unadhani nani atashinda katika mdahalo huo?
  4. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Mbowe anafahamu walipo wanachadema waliowahi kupotezwa.

    Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli. Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza dkt Slaa vizuri, utabaini kuwa Mbowe hafai tena kuwa Kiongozi wa Chadema.

    Msikilize kwa makini. https://youtu.be/bm-1VGPLwdo?si=Iv2yOqYETyA72i3z
  6. JamiiForums Tanzania Endapo Mbowe atakuwa mwenyekiti kwa mara nyingine, hii ndio itakuwa safu yake ya uongozi

    Hii kwa sasa ndio cream ya chadema ya Mbowe. Awa ndio tunatakiwa kuwaamini kuwakabidhi dola na hazina ya taifa. Tumepigwa parefu!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msikilizeni Tundu Lisu ambaye anawatangazia kuwa hakuwa sehemu ya maridhiano, wala kumkaribisha Samia Bawacha, anamlaumu Mbowe na wenzake

    Moderators spare this clip Lisu ni kigeugeu. Hafai kuwa kiongozi. Akili zake zimekwenda tenge kidogo amesahau clip hii! akili haiko sawa Msikilize please maana amewananga wenzake kuhusu Maridhiano, kuhusu Samia kukaribishwa na Bawacha etc etc as if he ws not a party to the ordeal Lisu...
  8. JamiiForums Tanzania Namtetea Mbowe, Chadema, Hakuna Ubaya Wowote, Mtu, Chama Kusaidiwa na Kupokea Fedha Zozote Toka Popote na Kwa Yeyote!. Sio Kila Pesa ni Rushwa!

    Wanabodi Merry Chritmas Mjadala wa tuhuma za rushwa unaovurumishwa na Tundu Lissu, umezidi kushika kasi, tuhuma zilianzia majukwaani, zikahamia mitandaoni sasa zinaendelea kule Club House, spaces na X- tweeter. Hivyo najitolea kumtetea Mbowe, Chadema, wengine wote wanaotuhumiwa kwa tuhuma za...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke wazi tuhuma zake za ugaidi dhidi ya Mbowe zilibase katika ushahidi gani!

    Mpaka hivi sasa tunavyoongea, Mwenyekiti Mbowe hajawahi kusafishwa na mahakama wala serikali wala chombo chochote nchini kuwa tuhuma za serikali kwa Mbowe kuhusu Ugaidi zilikuwa za uwongo. Sisi wananchi tunachoamini ni kuwa kesi hiyo ilikuwa ni ya mchongo, ya kubambikiza na ya uonevu. Lakini...
  10. JamiiForums Tanzania OMBI MAALUM KWA LISSU: Tunajua utashinda tunaomba mara baada ya kushinda Mrudishe Zaynab Ashraf tatizo la Mbowe ni Udini dada huyu kakitoa chama mbali

    Mhe Tundu Lissu tunajua utashinda Uchaguzi huu kwa zaidi ya 80% Ombi letu sisi wafia chama tunaomba mara baada ya kushinda Mrudishe Zaynab Ashraf pale Makao Makuu ya Chama, Tatizo la Mbowe ni Udini dada huyu kakitoa chama mbali hakuna asijua hili
  11. JamiiForums Tanzania Msimamo mkali wa Lisu ndio uliomfanya Mbowe atoke gerezani

    Jamani Lisu ni hazina ya taifa, Ni Tunu ya taifa, Lisu ndio mtu aliejitoa kwa ajili ya kupigania haki ya kweli kwa Tanzania. Amejotoa kimwil,kiroho,kiakili kwa ajili ya ukombozi wa watanzania. Bila msimamo mkali wa Lisu Mbowe angekuwa BAdo yupo gerezani mpaka leo, Lisu ndio alimwambia rais...
  12. JamiiForums Tanzania Bob Chacha Wangwe naye atema ya moyoni, aungana na Lissu, japo mbowe ndiye rafikiye mkubwa!

    Kwa Watanzania na Wanamageuzi wenye mapenzi mema na CHADEMA na Taifa letu. Kwa vijana wanaotamani kufanya siasa za Upinzani kwa miongo kadhaa ijayo. Lissu is the way! Hawezi kuwa mkamilifu kama Binadamu, lakini ana sifa muhimu kwa maslahi ya CHADEMA na Taifa. Kwa kizazi hiki watu wa aina yake ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe CHADEMA ya 2013: Tamko la Zitto baada ya kuvuliwa uanachama kwa kupanga kumng'oa Mbowe katika nafasi ya uenyekiti kwenye uchaguzi

    Chadema imepitia mapito mengi: Leo tukielekea katika uchaguzi wa Mwenyekiti, tujikumbushe yaliyojiri mwaka 2013 pale Zitto na wenzake waliposuka mpango kazi wa kumng'oa Mbowe katika uchaguzi uliokuwa unakuja mwaka 2014. https://www.youtube.com/watch?v=JYYNNnnqD18&ab_channel=MTAAKWAMTAA
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA nayo ni biashara ya Mbowe?

    I’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance. Lissu aliulizwa swali kuhusu Mbowe kuibeba CHADEMA kifedha. Akafunguka na kusema kuwa kuna nyakati kamati kuu ya chama ilikuwa inamwambia Mbowe kuwa chama kinahitaji kiasi hiki cha pesa kwa sababu moja, mbili, tatu...
  15. JamiiForums Tanzania Mbowe v Lissu: Is this the beginning of the end of a united and resilient CHADEMA? Why or why not?

    The current power struggle between CHADEMA’s Freeman Mbowe and Tundu Lissu is undoubtedly a significant test for the party. Infighting at the top can weaken any political organization, especially in a fragile democracy where opposition parties face external pressures as well as internal...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Fomula ya Mbowe, Samia Suluhu Hassan hatakiwi kugombea Urais

    Mbowe kwenye hotuba yake, akielezea kuwa hawezi kuwaachia watu wengine waongoze chama, baada ya yeye kuwa mwenyekiti kwa miaka 21, alisema kuwa Mtei aliachia umwenyekiti wa chama alipofikishia umri wa miaka 68. Halikadhalika, Bob Makani naye aliachia uongozi wa chama alipofikisha umri wa miaka...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Mbowe amelazimishwa na mfumo kugombea Uenyekiti CHADEMA?

    Kuna tetesi kutoka viunga vya watu wakubwa kwamba mfumo (dola) imemtishia mzee Mbowe kuwa endapo hatagombea uenyekiti, basi wataweka hadharani asali yote aliyoilamba (miamala yote aliyopokea toka ccm/ serikali ktk nyakati tofauti tofauti za kutuliza dhoruba ya kisiasa nchini. Siyo kwamba Mbowe...
  18. 5

    JamiiForums Tanzania Hii interview ya Lissu ndio kaburi la Mbowe, Lussu amekokomoka yote

    https://www.youtube.com/watch?v=U1vjcZOGJZ4
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Mbowe kachoka, lakini Lissu sio mtu sahihi wa kumwachia chama

    Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self. Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Hata BOT wameweka ukomo wa miaka 10 kwa ma CEO wa mabenki, miaka 20 kwa Mbowe kuongoza chama ni mingi sana.

    Kwenye uongozi wa taasisi, iwe ni biashara au kampuni au taasisi ya aina yoyote, huwa kuna swali moja huwa tunapenda kuliuliza, ambalo ni: 'Matokeo yapo wapi?'. Hili ni swali la kikatili sana, kwasababu huwa halihitaji kujiteteta wala kulaumu watu wengine, lenyewe linataka uoneshe matokeo yapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…