mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea Tanzania kupitia Chadema ya Lissu. Mbowe alitumika kuwanyima haki Watanzania.

    Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema. Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
  2. R

    JamiiForums Tanzania BUSARA: Freeman Mbowe jitokeze kuonesha mshikamano wa CHADEMA katika Kesi inayomkabli Lissu. Kushiriki kwako kutaponya mgawanyiko uliojitokeza

    Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!! Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu...
  3. JamiiForums Tanzania Mrema wa TLP, Lipumba wa CUF, Mbowe wa Chadema, na Maalim Seif wa ACT , hawa hawakuwa wapinzani ila walikuwa ni double Agent

    Kama mlikuwa manjua Tanzania kuna upinzani basi mlikuwa mnajidanganya Sana Mrema Mbowe Lipumba Maalim Seif These guys, walikuwa double Agent so kuweni makini vijana sasa tunaelekea katika ukombozi wa kweli .
  4. JamiiForums Tanzania Kwenye Siasa za Compromisation, Mbowe na Zitto ni Mapacha Wanaofanana

    Kwa nafasi yangu nimefanya kazi kwa wakati tofauti na Mbowe na Zitto niseme tu hawa jamaa wanafanana sana kwenye siasa za kulinda maslahi yao binafsi. Wakati wa jakaya, ZZK ametumika sana kufanya siasa za kumaliza watu wa CCM kwa kutumia Kamati za Bunge huku yeye akıla vinono. Hali kadhalika...
  5. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa John Mrema na G55 Yake: Siasa za Michongo ya 'Wabenzi' Zimemzika Mbowe, Siasa za 'Wabangazaji' wa Tone Tone Zikamwinua Tundu Lissu.

    John Mrema (Kushoto) Freeman Mbowe (Kulia) I. Utangulizi Kundi la watiania 55 ndani ya Chadema, wakiongozwa na John Mrema, limethibitisha kwamba hoja za kikambi zilizoibuka wakati wa uchaguzi ndani ya Chadema bado zinaendelezwa na Timu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa karibu na Mbowe ndo hao hao wapo G55 ina maana harakati zote , za kufungwa , kunyanganywa mali zilikuwa bortion?

    Unajua katika hii dunia trust no one . Haiwezekani watu wakufunge Wakunyanganye Mali Wakuite majina yote mbaya then baada ya hapo uwatangazie msamaha. Haiwezekani . #Kataa Ccm #No reform no Election.
  7. JamiiForums Tanzania Ningekua mimi ndo mbowe ningeanzisha chama kingine

    Kwa kinachoendelea kule kwa aliowakabidhi kijiti na malumbano yaliopo mpaka sasa ni kama kuna nguvu 2 za mvutano. Sasa ili kuokoa jahazi moja ningeanzisha chama alafu ile timu inavyokinzana na mwenyekiti wa sasa naichukua fasta kutumia hiyo fursa pamoja na wale covid 19 nawaita wote kupata...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Tamko lililo tolewa na G55 ni dalili tosha kuwa Lissu na wenzake hawata weza tena kuiongoza CHADEMA

    Tamko lililo tolewa na G55 Chini ya Mwamba John Mrema ni dalili tosha kuwa Lisu na genge lake hawata weza tena kuiongoza Chadema, dhambi ya njama za kumpidua Mhe. Mbowe wakati akiwa gerezani itawateteza na kusambaratika. Kilicho baki sasa ni kugawana mbao, maana walio kijenga Chadema...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa huu usaliti unaofanywa na genge la Mbowe iwajulishe wananchi kuwa Mbowe alikuwa ni kikwazo kikubwa cha mabadiliko ya kweli nchini.

    Genge la aliyekuwa mwenyekiti wa chama bwana Mbowe limeamua kujilipua. Limeamua kuukwamisha uongozi halali wa chama ili usifanye kazi yake. Litashindwa! Hii iwaonyeshe Watanzania kuwa Mbowe kwa miaka yote hii alijenga chama huku akiwa na mawazo ya udalali wa kisiasa kwa maslahi binafsi...
  10. JamiiForums Tanzania LISSU fanya maamuzi haraka uwafukuze Uanachama G-55, Majimbo yote yaliyochini ya Pro-Mbowe yatatoa Fomu za Ubunge , Kwa hiyo watagombea kweli !

    Kampenzi kwenye Majimbo hayo zitafadhiliwa na CCM. Faida ya kuwafukuza Uanachama mapema ni kua ,Tayari watapoteza hata kidogo walichonacho !!. Kitendo Cha kuendelea kutumia Jina la CHADEMA ni kuendelea kupanda mbengu ya kuwachanganya wananchi Hivo Fukuza mara Moja.
  11. JamiiForums Tanzania No reform No election mipaka ifungwe asikimbie mtu nje ya nchi wote wahesabiwe hapa hapa kama Mbowe...

    Naona ngojera zimepamba moto kila anaye kwenda tofauti kimtazamo na dikteta uchwara ana tenguliwa bila kufatwa kwa taratibu...ombi letu ni moja No reform haipingwi ila wakati ukifika wote wasihame nchi kenge wa mtandaoni na kenge walio nje ya maji huko nairobi waje hapa hakuna kukimbia...Dikteta...
  12. M

    JamiiForums Tanzania G55. Ni kundi hatarishi kwa Chadema, Ni kundi la Mbowe? Kama ndivyo, Mbowe alikuwa pandikizi maalumu ndani ya Chadema?

    Chadema, inahitaji kuponywa, tokea uchaguzi wake kumpata Mwenyekiti wake, mpaka sasa, kuna majeraha bado, ni kazi ya uongozi sasa kuwakutanisha uongozi uliopita ili kuteta na kuondoa tofauti zilizopo Siamini ninachokiona ndani ya Chadema, Ifahamike, sina ufahamu wala uhakika juu ya niliyetaja...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe kama unaweza ingilia kati mpasuko huu ndani ya CHADEMA

    Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema. Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine. Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura ukashinda. Hukufanya hivyo. Hilo linanipa uhakika kuwa unaweza kuwa msuluhishi mzuri....neutral one!
  14. JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU dhidi ya CCM +Mbowe+Chawa wa Mbowe +Vyombo vya Usalama Nchini !!.Nyuma ya Lissu Kuna nguvu ya KIUNGU !!.

    Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana . Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua na MAWAA utatengenezwa kua Very powerful kuliko kitu chochote kile. Silaha pekee alizonazo LISSU...
  15. JamiiForums Tanzania CCM ina muhitaji Mbowe sana CHADEMA kama ilivyofanya kwa lipumba kwa CUF

    Kila kukicha au dakika hapa JF ni mada ambazo utolewa na wanaccm wakijua undani wa Mbowe kuliko wa wasira,nchimbi wala yule CPA makala. Lengo lao ni lipi na kwa nini wasijadili kuhusu watu wao CCM ambao wamefikia hata kukosa mvuto ndani ya chama na kukomalia swala CHADEMA zaidi.
  16. JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Lissu ameendelea kumtukana Mbowe

    https://www.instagram.com/reel/DIBH73iuz8Y/?igsh=bHV3ZXhqMDU5czRx Gerald Hando ametafsiri maneno ya Lissu kuwa no reform no election ilikuwa ni chambo ya kuongezewa dau kama matusi kwa Freeman Mbowe. Hando anasema Lissu anamaanisha kuwa Mbowe alikuwa anafanya biashara ya kisiasa kuanzisha...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Mollel: Watanzania wana akili, CHADEMA wakiendelea hivi Chama kitakufa, watakumbuka busara za Mbowe

    Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu: "Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili ...
  18. JamiiForums Tanzania Viatu vya uongozi wa Mbowe CHADEMA vimempwaya Lissu pakubwa, CHADEMA inayumba na kupoteza uelekeo

    Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe kweli Mbowe hakuwa na Mapenzi na Chama (Chadema)

    Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti 20 katı ya Freeman Mbowe vs Tundu Lissu

    Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100. 1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko 2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana, Lissu ana no reforms no election 3 Mbowe ni mvumilivu wa kisiasa, Lissu hajui neno kuvumilia 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…