mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mnawatenda nini waume zenu, mbona makasiriko yamezidi sana huku vijiweni?

    Nilipita somewhere kwenye kijiwe cha kahawa mida ya jioni, nikakutana na waume za watu wanalaani vikali wake na ndoa zao, kiufupi wanajazana sumu. Nilijikuta mdomo wazi baada ya jibaba limoja kumkandia mkewe mpaka kufika hatua ya kububujikwa machozi, alibebelea kijifuko chenye kitoweo ndani...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia atakuwa anapotoshwa kuhusu CHADEMA kufanya vurugu

    Kiukweli katika siku mojawapo ambayo nilijisikia mnyonge ni jana aiseee nilijihisi nimepigwa shot ya umeme baada ya kukaa chini na kusikiliza hotuba ya Rais Samia kiukweli Rais samia anapotoshwa na wala haambiwi ukweli sijui kwanini sijui wasaidizi wake wanataka afeli au sijui nini kinamsibu...
  3. JamiiForums Tanzania Dawa kiboko ya panya ni ipi? mbona nimemaliza dawa na tatizo haliishi

    Wakuu msaada nimemaliza dawa ila panya hawapungui Kuna kiboko nyingine
  4. JamiiForums Tanzania Martin Masese: Tumezungumza na dereva, ni kweli hilo gari halina kamera!

    Kada na mwanachama wa CHADEMA, Martin Marnja Masese ametumia ukurasa wake wa Twitter kudokeza kuwa wakati wanaelekea kwenye mazishi ya mzee Ali Mohamed Kibao walikutana na dereva wa basi la Tashriff. Kwenye tweet hiyo, MMM alisema kuwa walikutana na Tashriff express eneo la Mbwewe mkoani Tanga...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mbona miili yenu haitoi jasho, mna AC mapafuni

    Nina siku kadhaa nikikaa tu mahala kupata safari lager, watu laZima waniulize bro vip umetoka mkoa? Nasema hapana Wanasema unavyotoka jasho hivi wewe ni wa mkoa nami naamua kukubali. Jua na joto la Dar linachoma kama pasi, lakini watu miili mikavu wala hawajali wapo kawaida, nashangaa hawa...
  6. JamiiForums Tanzania Mbona kama mama kanilengesha kwa huyu binti! Ndo tulipofikia huku

    Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka 6 ndio nikafuatia na mimi nimemuacha mdogo wangu wa mwisho kwa miaka 10. Katika swala la maadili...
  7. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kaliua ni kama ngorongoro. Mauaji ya binadamu yanatokea na Serikali ipo kimya

    Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa, Waziri wa maliasili ajiuzuru? Waziri wa ulinzi ajiuzuru? Waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu?
  8. JamiiForums Tanzania Mbona Telegram haifunguki?

    Wakuu habar za muda huu? Leo kila nikijaribu kufungua telegram inafunguka lakini inaandika connecting halafu haifunguki. Je, kuna mtu nae kwake inazingua kama hivi? Ningependa kujua
  9. JamiiForums Tanzania Mbona Baleke Hachezi?

    Mbona Baleke Hachezi wajameni. What is going on?
  10. JamiiForums Tanzania kwa nini ishu ya watu kutekwa lawama haziendi kwa waziri husika bali ni Raisi moja kwa moja ? Mbona umeme na bando walikuwa wakilaumiwa Makamba& Nape

    Wasalaam wanaJf , Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape. Swali langu ni hilo !
  11. JamiiForums Tanzania Hili Tamasha la kufunga Kizimkazi Kuna Tambiko kubwa linafanyika muda huu? Kweli nchi haiendeshwi na katiba.

    Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40. Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi. Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Chipsi za kfc huwa zinakaangwaje? Mbona size moja na tamu mno

    Wadau naomba kufahamu kama kuna anaejua chips zile zinatengenezwaje sio kwa utamu ule. Nataka kukaangaa mithili ya KFC ili niuze sana uswahilini Shukran
  13. JamiiForums Tanzania Jamani hii nchi mbona kodi na tozo zimezidi mno?

    Jamani haya mambo ya kila kitu kodi sindio alikua anafanya mkoloni?Bmbona yamerudi kwa kasi kubwa nchini hali ya kuwa nchi ina rasilimali za kiasili nyingi mno? Serikali kuna maeneo mngefikiria tu kuyaacha ili kula wote keki ya Taifa. Sio kila mahali mnatafuta kodi kodi kodi wajati kuna maeneo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania JKT mbona watu wa degree hamuawachukui mara nyingi wanatoboa mkataba

    Kwa miaka zaidi ya minne mfululizo wale vijana walioko makambini hamuwachukui wenye degree kwa ajili ya ajira Na kama mkiwachukua huwa mnadonoa tu Ila wa form 4 na form 6 ndo mnawa pendelea Hivi majui kwamba mnazidi kuongeza wimbi la jobless wengi wenye degree mtaani tunaomba mliangalie hili...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi huu ni umaskini au ni nini, mbona sielewi?

    Kujazana kiasi hiki kunaonyesha hawa wahindi ni masikini au ndo nini? Maana kwa kujazana huku, hiyo Train lazima iende mwendo wa kinyonga kwa usalama wa abiria! Sasa maana halisi ya kupanda chombo cha moto ni nini? Je wana haraka gani mpaka kuhatarisha maisha kiasi hiki? Ebu niambie!
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasanii hawajitokezi kulaani alichofanyiwa ‘SUGU’ na polisi au hakiwahusu.

    Sugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji. Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi message za Kizimkazi vipi tena, mbona kama kero sasa?

    Wiki hii zinaingia tu kila siku Angalie wenyewe
  18. JamiiForums Tanzania Dini ndio zitakazo tupeleka motoni. Msingi wa Mungu ulikuwa fresh tu hadi hapo Siasa za dini zilipoingilia kati

    Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu. Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu. Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu. Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa hivi mbona ACT na vyama vingine vya upinzani hatusikii kelele za Rushwa, viko safi.

    Nimemsikiliza Lissu akilalamika kuhusu Rushwa kwenye chama chake cha Chadema,kauli hii imenifanya nitafakari sana kuhusu uwepo wa rushwa vyama vingine vya upinzani.Hali ikoje? Tujadili ili tupate chama bora.
  20. JamiiForums Tanzania Kama kuna Wizara ya Mipango na Uwekezaji mbona hakuna idara inayohusika na Uwekezaji kwenye Halmashauri zetu za Wilaya, Manispaa na majiji?

    Nimekuwa nashindwa kuielewa serikali yangu kama kuna field ambayo ni muhimu kuitilia mkazo basi ni field ya uwekezaji. Kwa kulitambua ilo ndo maana waliamua kuitenga wizara ya fedha na mipango na kutengeneza wizara mpya ya mipango na uwekezaji. Ila hajabu ukienda halmashauri, Manispaa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…