mboga za majani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jifunze kupika kitimoto na mboga za majani

    Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho...
  2. Nilipika bangi kama mboga za majani

    Naam ni miongo kama minne unusu ishapita katika mkoa wa Iringa. Nyakati hizo mabasi yalikuwa yanasafiri usiku, Safari yangu ilianzia Kiborlony kuelekea Railway Station. Treni iliondoka jioni tartiibu tuna ambaa ambaa kuuacha mkoa wa Kilimanjaro, Nilikuwa daraja la pili la kukaa..."Second...
  3. U

    Kwanini ukiiba Kitoweo jikoni ni rahisi kugundulika kuliko ukiiba mboga za majani au maharage?

    Tafakari ya kina
  4. D

    Natafuta mboga za majani zilizokaushwa. Anaefanya hii biashara tuwasiliane

    Natafuta mtu anaeuza mboga za majani zilizokaushwa. Kama unafanya au unamjua mtu anaefanya hii biashara naomba tuwaskiliane.
  5. Unanunuaje mboga za majani....!!!???

    Hata kama umepanga nyumba, sio kisingizio cha kushindwa kua na ka-portable garden kako, kwa kutumia chupa za maji Tu, unaweza ukaanzisha bustani yako ya mbogamboga na ukawa hununui mboga
  6. Saladi zinaweza kustawi nje ya mto?

    Sijui kama zina jina jingine zaidi ya tulilolizoea tokea tukiwa wadogo! Arusha tulikuwa tukiziita SALADI. Na Mwanza napo pia zianitwa hivyo, japo ni watu wachache wanaozifahamu, na hata upatikanaji wake ni adimu. Lakini ukifika soko kuu la Mwanza unaweza ukabahatika kuzipata. Kwa kawaida hizo...
  7. Msaada: Mnaopenda kula mboga za majani, mlifanyaje, mbona mimi nateseka?

    Zingatia: Hii ni nyuzi serious, haihitaji utani wala dhihaka. Kama huna ushauri, endelea kuperuzi kwenye majukwaa mengine. Mwezi uliopita niliandika uzi wa kuomba ushauri na msaada wa kupunguza uzito. Nimefuata ushauri na kumpata mtaalamu wa lishe, amenitengenezea mpango wa chakula na inabidi...
  8. S

    DOKEZO TAHADHARI: Kuna watu wamepata madhara baada ya kula mboga za majani zilizonunuliwa stendi ya daladala Mbezi Luis

    Habari ya mchana Nimeamua niwaandikie wenzangu kwa kifupi kuhusu madhara rafiki zangu waliyoyapata baada ya kununua mboga za majani pale stendi ya daladala Mbezi Luis. Siku chache zilizopita rafiki zangu Hawa walinunua mchicha pale stendi ya mbezi Luis na kwenda kuupika na kula. Madhara...
  9. Asilimia 96 ya wakazi wa Dar wanakula kinyesi kwenye mboga za majani kila siku. Mikoani hali ni nafuu kidogo inaweza kuwa asilimia 40

    Mchicha ndio mboga inayopatikana kwa urahisi Dar. Nyama ya ng'ombe na Samaki ni anasa Dar es salaam. Mchicha huu unaolika kwa asilimia 100 kila siku unamwagiliwa kwa maji ya mavi kwenye mabonde yote ya Dar es salaam Upatikanaji wa maji ni shida. Watu wa Dar wengi kama asilimia kubwa hawanawi...
  10. G

    Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya, ongezeko la vidonda vya tumbo na bawasiri husababishwa zaidi kwa kupuuza ama kula kidogo mboga za majani

    Sikuhizi imekuwa kawaida sana watu kula ndizi, wali, ugali huku mboga ikiwa ni maharage, nyama, mchuzi, n.k. bila kutumia mboga za majani aina ya chakula maarufu chenye nyuzi kama figili, mchicha, n.k. kama ipo inakuwa ni kiasi kidogo sana ukila tonge mbili za kipimo sahihi habari imeisha...
  11. Kuota unakula ugali na mboga za majani

    Inamaanisha nini? Niliota hivi karibuni! Katika ndoto hiyo, tulikuwa sehemu ambako chakula kilikuwa kinagawiwa kwa utaratibu wa "self service". Nilisimama kwenye foleni kama wenzangu kuelekea kwenye meza ya vyakula, na nilipofika, vyombo vikawa vimeisha. Ilinibidi mimi, pamoja na waliokuwa...
  12. Kuongeza shelf life ya mboga za majani

    Nafanya biashara ya kuuza mboga za majani za aina tofauti, kwa hali hii ya joto zinawahi kusinyaa hivyo kupoteza muonekano wake mzuri na kukosa wateja. Nipeni mbinu ya kufanya mboga za majani zibaki fresh angalau kwa siku 3 hadi 5
  13. Kuna la kujifunza kutoka kwa wachuuzi wadogo

    Mwanzoni mwa mwaka 2020, nilifanya mazungumzo na kijana mmoja muuza mahindi ya kuchoma Mjini Kahama. Nilitaka kufahamu, pamoja na mambo mengine, manufaa wanayoyapata kutokana na hiyo biashara. Aliniambia, ni biashara inayomlipa sana. Alipokosa nafasi ya kuenedelea na masomo baada ya kuhitimu...
  14. Unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani kwa muda mrefu kwenye friji bila kuungua na barafu au kuoza?

    Heri ya Pasaka Wakuu, Kama swali linavyouliza hapo juu, unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani zisiungue na barafu au kuharibika ndani ya muda mfupi? Huwa nikiweka tunda kwenye barafu nikiwa nataka lipate baridi kwa mfano, nikijisahau nakuta limeungua, au ukiweka matunda/mboga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…