mbio

mBio is a bimonthly peer-reviewed open access scientific journal published by the American Society for Microbiology in association with the American Academy of Microbiology. It covers all aspects of the microbiological sciences, including virology, bacteriology, parasitology, mycology, and allied fields. The journal was established in 2010 with Arturo Casadevall as founding editor-in-chief.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakati mwingine sio wenye mbio ndio washindao katika michezo ya mashindano

    Mhu 9:11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo"", wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote...
  2. Ninahisi kama mbio za urais 2030 zimeanza mapema sana

    Wakuu naona mbio za kuutaka urais zinashika kasi... makada wa chama pendwa ambao pia ni viongozi maarufu serikalini wako kasi sana kuji-brand. Binafsi ninaona siojambo baya ila mara nyingi watu kama hawa hupatwa na AJALI ZA KISIASA au chama pendwa kubadili gia angani kwenye kuteua mgombea...
  3. M

    Msisahau hii ni marathon sio mbio za mbuzi

    Naona nderemo na vifijo upande wa mboga mboga wameanza kuongoza mbio tayari wamejiona washindi pasipo kujua hapa msingi nikumaliza mbio sio kuongoza mbio, wamesahau hata mbio zilizopita tuliongoza mbio sisi, ndugu zangu baada ya kuanguka isitufanye tusiendelee na mbio lazima tumalize mbio .
  4. Samia Suluhu ni mbio za sakafuni zinazoelekea ukingoni

    Yohana 11: 49 Mmoja wao aliyeitwa Kayafa, aliyekuwa kuhani mkuu mwaka huo, akasema, “Ninyi hamjui kitu chochote! 50 Hamjui kwamba ni afadhali mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa lote liangamie?” Maneno hayo ya Kayafa ndio SOP ya mataifa mengi duniani, mifumo ikiona mambo yanazidi kuwa...
  5. Huyu mwamba ameshinda mbio za kimataifa, we ngoja arudi nyumbani sasa uone mademu wa mitandoni na bongo movie watakavyomganda kupata kiki

    Watamshugulisha wee had magoti yaishe ute ute siku akirudi tena ulimi wote njee aanze kusema walimwibia viatu vyake kama yule wa Tanga. Pia Soma: Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni
  6. GE2025 Mbio za Ubunge Kigoma Kusini 2025

    Safari ya Ubunge Jimbo la Kigoma Kusini 2025. Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wananchi wa Kigoma Kusini kupitia chama chetu cha ACT-Wazalendo kwa safari tuliyoitembea pamoja tangu mwaka 2020 baada ya uchaguzi Mkuu. Tumekuwa bega kwa bega katika kujenga chama...
  7. MBIO ZA KUINADI ILANI YA CCM BUKOMBE KUANZA SEPTEMBA MBILI

  8. Sibusiso Kubheka Aweka Historia Mpya ya Mbio za Ultra Running

    Katika historia ya michezo ya riadha duniani, tarehe hii itaendelea kukumbukwa kwa muda mrefu. Mwanariadha kutoka Afrika Kusini, Sibusiso Kubheka, ameweka rekodi ya aina yake baada ya kuvunja rekodi ya muda wa saa 6 katika mbio za kilomita 100, akimaliza kwa muda wa 5:59:20 kupitia mradi wa...
  9. B

    Hatimaye Mange Kimambi afurahishwa hadharani na uamuzi wa Samia Kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge Tanga

    Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
  10. Waziri Kombo apokea na kuanzisha Kifimbo cha Mbio za Mfalme wa Uingereza

    Waziri Kombo apokea na kuanzisha Kifimbo cha Mbio za Mfalme wa Uingereza Katika Viwanja vya Michezo vya Jakaya Mrisho Kikwete, Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amepokea Kifimbo cha...
  11. Napendekeza, kwa ajili ya usalama barabarani mazoezi ya kukimbia mbio za marathoni yafanyike kwa njia ya mtandao

    Badala ya kukimbia barabarani ,washiri kwa kujiunga kwa kutumia linki ya mtandao huku wakifanya mazoezi haya ya kukimbia marathoni katika maeneo maalumu na mahususi kwa ajili ya michezo na mazoezi kama vile viwanja vya michezo, na wengine wanaweza kushiriki wakiwa hata nyumbani kama wana...
  12. I

    Muarabu kutoka Uganda anaongoza mbio za umeya New york

    Hivi tunavyoongea kijana wa miaka 33 mzaliwa wa Kampala Uganda Zohran Mamdani anaongoza mbio za umeya kwenye jiji kubwa duniani la New york ,akipambana na mpinzani wake meya aliyeshika kiti hicho awali Cuomo. Zohran ambaye hakuwa na uwezo mkubwa wa kifedha kama mpinzani wake huyo ambaye anapata...
  13. Kuelekea Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari: Matukio katika picha ya washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run)

    Picha zikionesha matukio tofauti ya Washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run) za Kilometa Tano zilizofanyika leo Aprili 27, 2025 ikiwa ni kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ambayo yanafanyika kwa siku tatu Jijini Arusha Mbio hizo zilizoshirikisha Wadau mbalimbali...
  14. Tazama muda unavyokwenda mbio

    Hapa ilikuwa hata kabla ya kugunduliwa Whatsapp, Instagram, majalida haya yalichukua umaarufu mkubwa sana Tanzania na Kenya. Utandawaza unakuja kwa kasi sana siku hizi ni Tiktok na blogs za umbea tu.
  15. Mbio za mwenge na matumizi ya watoto qa halaiki.

    Wana bodi huu upuuzi wa kutumia watoto katika halaiki na kuwalipa 3,000/= ni aibu. Yaani watoto washiriki mazoezi kwa muda wa wiki tatu(3) na gharama za usafi ni kwa wazazi, kisha baada ya kukamilika zoezi hilo wanaambulia tracksuits na Shilingi 3,000/=. Wakati wakuu wa idara wanapewa nauli...
  16. T

    Mbio za Ubingwa wa EPL katika uchesi wa video

  17. Mwanaume mdada akikuita "Boss" Kimbia mbio nyingi saanaa

    Hapo umeelekezwa kibra. Ni tumsalie sala ya mwisho tu. Uzi tayari.
  18. D

    Natoa wito VETA ifutwe haraka mana ni kichaka cha ccm kikwepa jukumu la kuwapa ajira vijana. Watanzanua tuamke tunapelekwa mbio sana.

    Baada ya ccm na serikali kuharibu kila kona hasa kuanzia awamu ya tano, sasa ccm imekuja na a very constructive strategy ya kuwahadaa vijana kwamba mpaka waende VETA baada ya kumaliza degree, phd au uproffesor ndo iwaajiri. Hi ni danganya toto ukweli ni kwamba ccm imeshindwa na inatafuta pa...
  19. Thierry Henry asema katika mbio za Tuzo ya Ballon d'Or, Raphinha yupo mbele ya Mohamed Salah

    Nguli wa soka Thierry Henry amesema kuhusu Tuzo zijazo za Ballon d'Or, Mbrazil wa Barcelona FC, Raphinha ana nafasi kubwa kutokana na takwimu nzuri na ameonyesha kiwango Bora zaidi ya Mohamed Salah wa Liverpool Amesema "Raphinha ana Magoli 11 katika UEFA Champions League, anafanya vizuri katika...
  20. Wanawake mnafanya jogging na marathon mnatutega

    Nyie mademu wa jogging mtakuja mtuuwe jamani Mnavaa vinguo vya kututega Sisi wanaume marijali tulishiriki jogging na marathon zenu, tutatoka tumemaliza kila kitu Tusiige wazungu Mwanamke wa kizungu hata avae kichupi hawezi kumshawishi mwanaume kihisia, huku kwetu maumbo ya kibantu afu umevàa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…