mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuungua masoko: Kukithiri usimamizi mbaya wa Halmashauri zetu

    Sasa hivi kuungua masoko huria si kitu cha ajabu. Masoko yanaungua kila leo. Soko Kuu Kariakoo Soko la Karume Soko la Mbagala Soko la Moshi Soko la Geita Soko/Mall ya Mwanza Haya ni ndani ya hiki kipindi kifupi tu. Nenda Masoko mengine hapa Dar, hali ni ile ile. Uchafu wa wiki iliyopita bado...
  2. JamiiForums Tanzania Dhambi ya Ukabila ni Mbaya tumeanza na Wamasai wengine Watafuata

    Miaka 61 baada ya kuwa na Tanganyika huru leo tunashuhudia kampeni kubwa na ya aina yake katika taasisi mbali mbali hapa nchini ya kuwataka wamasai ambao wamekuwa wakiishi katika maeneo hayo kwa zaidi ya miaka 60 kutakiwa kuya hama makazi yao ambayo vizazi na vizazi wamekua wakiita nyumbani...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa kikosi hiki cha Simba SC, nawashauri mashabiki wajiandae kisaikolojia maana hawatafika popote

    Takwimu za Asec mimosa ligi kuu mechi 7 win 7 point 21 na wanaongoza ligi Huku upande wa simba mambo yako hivi. Morrison Lwanga- injury Chama Mugalu kibu denis- injury Hawa ni wachezaji watakao kosekana mechi ya shirikisho zidi ya Asec mimosa. Mimi ni yanga damu ila Kusema kweli simba hawatoboi
  4. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, kubalini kwamba sio udikteta wote ni mbaya

    Wanabodi, Inabidi tusome nyaraka za wakati katika kipindi ambacho wapinzani wanaishiwa nguvu. Labda kupungua kwa ushawishi wa vyama vya upinzani umesababishwa na chama tawala. Vile vile labda sera zao zimepitwa na wakati. Maoni mbali mbali kuhusu harakati za vyama vya upinzani yametolewa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Madai ya watu kuishi Hifadhi ya Ngorongoro na wanyama pori kuwa ni kuvutia utalii ni ujinga

    Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo. Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

    Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali na taarifa (MECIRA) kimeitaka serikali kuchukua hatua madhubuti za haraka na dharura ili kunusuru maisha ya wananchi jamii ya kimasai wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro iliyopo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro sambamba na kunusuru mazingira na...
  7. JamiiForums Tanzania Tumsaidieni Rais Samia kufikia malengo ya pamoja; Kumvunja moyo na kumchanganya kwa unafiki na roho mbaya sio sawa

    Ndugu zangu, ili tufanikiwe kwenye jambo lolote kama taifa, ni lazima tuwe na ‘collective effort’ kuyaendea mafanikio hayo. Hata tuwe na Rais mwema na muadilifu kama Malaika, hatuwezi kuwa na taifa lenye uadilifu na mafanikio ya maana ikiwa tutafikiri kuwa yeye pekee ndio mwenye jukumu la...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mwenendo mbaya wa Simba SC ufuatao ni ushauri wa bure kwao

    1. Mtimueni upesi Kocha Mkuu Franco, Msaidizi wake Matola na Meneja Rweymamu. 2. Mpeni Kazi kwa Kipindi hiki Kocha Ndayiragije kisha asaidiwe na ama Pawasa au Mgosi kisha Meneja awe ni Nico Nyagawa. 3. Wachezaji watafutiwe haraka Mwanasaikolojia na nampendekeza awe ni mwana Simba SC Chris...
  9. JamiiForums Tanzania Kamati ya roho mbaya Simba SC chini ya Gentamycine yachakazwa na kakamati kadogo ka roho mbaya ka Mtibwa Sugar

    Wakuu kuna mdau humu ndani anajiita GENTAMYCINE huyu amekuwa akijinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa figisu za aina zote,yaani kama angekuwa mwanajeshi tungesema ni kamanda wa kikosi cha SEAL (Sea,Air and Land)Namaanisha ukimsikiliza. Za ndani baada ya kuandika maandiko kibao juu ya FIGISU...
  10. JamiiForums Tanzania Epuka kujitibu mwenyewe kwa taarifa za mtandaoni. Muone mtaalam wa afya kila unapopata dalili mbaya za kiafya

    (Picha: The Sheriff) Umewahi kupata dalili ya afya ambayo haijawahi kutokea hapo awali na ukaanza kujiuliza ni nini kinachoweza kuwa tatizo? Of course, huenda jibu lako ni kama langu pia, "Kabisa!" Sasa basi, inapotokea hivi hatua ya kwanza inayopaswa kufanyika ni kuwasiliana na mtoa huduma wa...
  11. JamiiForums Tanzania "Ukiwasaidia watasema una kiherehere, usipowasaidia watasema una roho mbaya" Usisaidie Masikini na wajinga; Acha Wafe!

    Wakuu Kwema! Mtu Fulani ataniona Nina roho ngumu na mbaya lakini vyovyote anionavyo sitajali. Ninayoyaongea ni kweli Kabisa, na wengi nafahamu mtakuwa mashahidi. Niliandika hapa👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/usisaidie-masikini-acha-wafe.1796080/ Na leo nasisitiza, usisaidie masikini...
  12. JamiiForums Tanzania Wahanga wa Moto wa soko la Karume wachangiwe pesa, ikiwa ni janga la bahati mbaya

    Wakuu Kwema! Ajira Hakuna! Tumetoka familia Masikini Sana. Nina rafiki zangu wengi waliokuwa wanauza uza mitumba Yao pale Karume. Mitaji Yao wameipata Kwa mbinde Jamani! Ndugu zangu wote tunajuana humu nchini, Sisi ni masikini Sana, tunatafuta pesa Kwa taabu na nguvu nyingi, hatuwezi sema ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli mtaani hali ni mbaya, cha kushangaza viongozi hawajali kabisa

    Hali ni mbaya hali ni mbaya kupita maelezo, mitaani hali inazidi kuwa tete vitu havishikiki bei nashangaa imekuaje kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa wa ghafla namna hii? yani vitu vimepanda bei kwanzia dawa ya mswaki mpaka vifaa vya kielekroniki na vifaa vya ujenzi, mfumuko wa bei huu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze 2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji 3. Jafo Mbunge wa Kisarawe 4. Kipanga Mbunge wa Mafia 5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Job Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu kwa mtu asiyehusika ni bahati mbaya au makusudi?

    Ni vigumu kuamini kuwa Mheshimiwa Ndugai hajui utaratibu wa kikatiba wa kujiuzulu nafasi ya uspika. Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania spika au naibu spika anaweza kujiuzulu nafasi yake kwa kuandika barua kwa BUNGE na kuisaini. Spika atahesabika kuwa amejiuzulu baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

    Nchi ya Tanzania kuelekea 2025 Rais Samia Suluhu amedhibiti mfumuko wa bei|| US, UK, Uturuki, Ujerumani hali ni mbaya. === Nchi tajiri kabisa dunia ya Marekani inayomiliki zaidi ya asilimia 20 ya Uchumi wote wa dunia hii nayo ni muhanga wa hili, Marekani inashuhudia mfumuko mkubwa na mbaya...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Pale ambapo mzazi mwema anapata watoto watukutu na watoto wema wanapata mzazi mbaya

    Kama umejaaliwa kuwa kwenye familia ambayo tabia zako na za mzazi wako zinaendana, yaani mambo mengi yakiwa yanaenda sawia baina yenu basi mshukuru mungu umebahatika sana. Nimeshuhudia sana mifano mingi ambapo mtoto safi amekua akitaabika kutokana na mapungufu makubwa aliyonayo mzazi wake. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nimebaini Watanzania ni Vinara wa mambo haya

    NIMEBAINI WATANZANIA NI VINARA(SUPERPOWER) WA MAMBO HAYA; Anaandika Robert Heriel. Kwa wasomi wa somo la Historia watakubaliana nami kuwa hapa Duniani kuna mataifa ni superpower na yapo yalikuwa hivyo. Mpaka sasa taifa la Marekani ndio superpower wa Dunia yetu huku taifa la Uchina likimpa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Kuna genge lenye roho mbaya ndani ya CCM

    Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua. Wamejawa na uchu wa madaraka, rushwa na upendeleo. Ni ndumi la kuwili, wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana. Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

    hizi siasa za kutuaminisha eti mnakopa ma trioni kwa ajili ya miradi ya maendeleo na kujifanya hamuoni hali zetu sisi tuliozingatia kitabu kama mlivyotuagiza ni uzandiki mtupu. Leo hii tunaonekana kama mizigo kwa wazazi na ndugu nyie mko bize kulumbana kisa uchu wa madaraka, tunakoelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…