mbalimbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Zijue njia mbalimbali za kuzikwa wafu.

    Kuzika wafu ni moja ya desturi muhimu katika jamii zote duniani, na njia zake hutofautiana kulingana na imani za dini, tamaduni, mila na mazingira. Hapa kuna njia mbalimbali zinazotumika: 1. Kuzikwa ardhini (kaburini) Hii ndiyo njia maarufu zaidi duniani. Mwili wa marehemu huoshwa, huvikwa...
  2. JamiiForums Tanzania Meli za misaada kutoka maeneo mbalimbali za flotilla zinaanza safari Barcelona kuelekea Gaza.

    Wanaukumbi. Flotilla iliyobeba misaada ya kibinadamu na wanaharakati, ikiwa ni pamoja na mwanaharakati wa hali ya hewa wa Uswidi Greta Thunberg, wanatarajiwa kuondoka kutoka Barcelona Jumapili kujaribu "kuvunja kuzingirwa haramu kwa Gaza", waandaaji walisema. Meli hizo zitaondoka katika mji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Uzi Maalum kwa ajili ya kampeni za vyama mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

    Habari zenu wanaJF wenzang Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu. Kama una taarifa, una...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta wauzaji wa jezi za timu mbalimbali

    Habari.? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu natafuta wauzaji wajumla wa jezi za timu mbalimbali hasa jezi za msimu huu, yeyote mwenye kujua wapi naweza kupata namomba anisaidie..
  5. JamiiForums Tanzania App Ya Mapishi na Vyakula mbalimbali

    Wataalamu wenzangu wa Flutter, hii hapa tena Mapishi App β€” jukwaa la kipekee kwa wapenda kupika App hii inaruhusu wanawake (na wote wanaopenda kupika) kupost vyakula, kushare mbinu, na kujifunza mapishi mbali mbali. Kila recipe inakuja na maelezo ya kina: jinsi ya kuandaa, viambata, muda wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kivuli cha Tuhuma Kinachowakabili Baadhi ya Vigogo wa CCM

    Tanzania Abroad TV @AbroadTanzania 1. Mkataba wa kifisadi wa ITPL ambao unaihusu kampuni ya Tanesco. 2. Mikataba ya kifisadi ya kufua umeme na kuliuzia shirika la Tanesco; ufisadi wa mikataba ya Richmund, Dowans, Symbion, na mingineyo; 3. Ufisadi wa kutisha uliofanywa na kigogo wa CCM huko...
  7. JamiiForums Tanzania Mada fikirishi. Je CCM kugawa vitu mbalimbali kwa wananchi kipindi hiki cha kampeni ni rushwa ama si rushwa???

    Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo. Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu?? Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili...
  8. JamiiForums Tanzania Aina mbalimbali za mapaa ya nyumba

    Hizi ni aina mbalimbali za mapaa/miezeko ya nyumba, je ipi ni chaguo lako pendwa? mimi nimependa butterfly:)
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Maeneo mbalimbali ya Tanzania

    Wakuu, kama kuna picha za maeneo mbalimbali za Tanzania naomba tuje kushare hapa tupate kuona mandhari mbalimbali ya Tanzania Post kuanzia miji, vijiji hadi vitongoji. Naanza 1. ARUSHA Hapo ndio Chuga 2. MWANZA Jiji safi kabisa kutoka kanda ya ziwa 3. MBEYA Jiji zuri la nyanda za juu...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wakatoliki kupitia TEC wametoa nyaraka mbalimbali lakini hazifanyiwi kazi. Je watapiga kura?

    Wakuu,
  11. JamiiForums Tanzania Wakatoliki na mafundisho: Simulizi mbalimbali za maisha ya watakatifu

    Mtakatifu MARIA GORETTI Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano wa kifamilia. Maria alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto sita. Baba yake, Luigi, alifariki akiwa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

    Chama kimekatika na hakuna wa kukemea. Tararibu zimekiukwa kila mahali Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwa.
  13. JamiiForums Tanzania Profile za Wana JamiiForums mbalimbali kwa mujibu wa akili mnemba/ akili unde/ akili kinyanyamshenzi

    Mshana Jr ni msanii wa Tanzania anayejulikana kwa kazi za ujuzi wa uigizaji wa vichekesho, hasa kupitia mitandao ya kijamii kama YouTube, TikTok na Instagram. Anajulikana kwa ucheshi wa kipekee, lugha ya Kiswahili yenye lafudhi ya mtaani, na uwasilishaji wa maisha ya kawaida kwa njia ya...
  14. JamiiForums Tanzania Aina za gia za magari mbalimbali (car transmission)

  15. JamiiForums Tanzania War zone: Chambuzi mbalimbali za silaha na vifaa vita

    Tuzichambue hizi ndege mashuhuli na maalum kwa kazi maalum katika uwanja wa vita. Nazileta kwenu BOMBERS: Tu-160M & B-2 Spirit. ~( Bila ushabiki wala upendeleo wa upande wowote) lets beginning. KATEGORI Tu-160M B-2 Spirit KASI mach 2+ (over supersonic) mach 0.9 ( subsupersonic)...
  16. JamiiForums Tanzania Matoleo mbalimbali ya simu za Nokia katika picha

  17. JamiiForums Tanzania Nimechoka kuigiza, mara kadhaa nimekua nikiona matumizi ya neno "KOBAZI" kwenye nyuzi mbalimbali humu jamvini. Naomba anaejua anisaidie maana yake

    Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio. Juzi nimeuliza nikaambiwa ni viatu lakini kila nikiangalia uhusiano kati ya viatu na comment za watu jamvini nakua sielewi kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Vitabu vya Mafunzo ya Kutengeneza vitu mbalimbali vya Biaashara

    🍞 JE, UNATAKA KUTENGENEZA VITAFUNWA VYA BIASHARA? Kitabu hiki kinakuonesha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza vitafunwa vitamu vinavyouzwa sana kama: βœ… Maandazi βœ… Chapati βœ… Vitumbua βœ… Halfcake βœ… Kababu za mayai na vingine vingi! πŸ“˜ Softcopy PDF – Toleo la 1 πŸ’° Bei: TZS 15,000 πŸ“± WhatsApp: 0612...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geita: Kamati mbalimbali zaundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Huku Serikali ikiwa inaendelea na juhudi za kuhakikisha huduma za kijamii zinawafikia wananchi haswa maeneo ya vijijini, kamati mbali mbali ambazo zimeundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo, hususani kwenye nyanja za Elimu na Afya, zimetakiwa kuhakikisha zinafuatilia hatua kwa hatua...
  20. JamiiForums Tanzania Special Thread: Uzi Maalumu kwa Ajili ya Kujifunza Jinsi Ya Kuandika Prompt mbalimbali kuziweka kwenye Akili Mnemba

    Kabla ya Yote Thread Hii inahusu Prompt zote, Maandishi Ramani,vitabu,tafsiri , barua,uandishi, Utengenezaji wa Kila Kitu haijajikita Kwenye picha Peke yake.., Kwahiyo nawaomba Mod Wasiunganishe na Uzi wowote.. Nimeona Wengi tukisumbuka Kutengeneza Prompt mbalimbali Kwa Ajili ya Matumizi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…