mbali

Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hazina za Mjerumani zinazopatikana nchini

    Habari zenu, Kuna suala linanitatiza kuhusu hazina zilizofichwa na mjerumani kwenye mikoa tofauti tofauti Tanzania hususan dhahabu. Kuna wanaoamini hizo hazina zilifichwa kwa nguvu za giza, lakini inarepotiwa kuwa wageni wazungu kwa nyakati tofauti wamekuwa wakija na kuchukua hizo hazina na...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka ya 1990s timu yetu ilikuwa na golikipa muathirika wa Ukimwi,timu pinzani waliogopa kumsogelea wakawa wanapiga mashuti ya mbali ili asiwaume meno

    Leo nimekumbuka kisa cha timu yetu miaka ya 1990,kipindi hicho ukimwi ni ugonjwa hatari kweli kweli ,hakuna cha ARV wala nini. Tulikuwa na golikipa muathirika na yeye alijijua kuwa ameathirika ikitokea umemsogelea anatishia kukuuma na meno. IKipigwa kona wachezaji wa timu pinzani wanakaa mbali...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inapoteza muda tungekuwa mbali kama taifa

    Hili sio kwa Raisi Samia pekee ni utamaduni hata wakati wa Kikwete 1. Wakati wenzetu wa South Afica na Kenya wana enda na katiba zao za Dunia ya sasa Tanzania tunapoteza muda . Kikwete aliweka jitihada fake za kisiasa badala ya kujali nchi mwaka 2014 na 2015 kama nchi tumepoteza muda wote huu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania TIGANA LUKINJA WA TVE: Mbona kama "mfumo" unamuweka mbali huyu genius wa soccer?? Anaweza akaipeleka Tanzania mbali kidogo..

    Huyu jamaa yupo poa sana, na kama ana changamoto basi ni za kibinadamu tu, ninahisi anaweza akalisogeza mbele kidogo soccer la Tanzania..
  5. JamiiForums Tanzania Fei Toto awaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC

    Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC akiwa ametoa pasi za mwisho za magoli (assists) 12 huku wanaomfuatia wakiwa na 7 Soma: Jean...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake msipoacha kutambiana hamtafika mbali. Inuaneni

    Kuna kampeni nyingi mno tofauti tofauti zinazohusu wanawake. Vikundi vya ujasiriamali ni vingi mno vya wanawake. Ila pamoja na yote bado wanawake ni tegemezi kwa wanaume ambao hatuna hizi harakati zao wala vikundi. INASHANGAZA. Sababu kuu ni wao wenyewe kuoneana wivu na kutambiana kipuuzi. Hii...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA mnahitaji tangazo jipya bora la TONE TONE, hili la sasa halitafika mbali

    Tangazo la TONE TONE la CHADEMA la sasa linaonyesha zaidi ufahari na lenye kuwakilisha mazingira ya tabaka la mjini na kishua zaidi. CHADEMA, halina msisitizo na msisimko wa wale mnayopigania au kuhitaji kutoka kwa jamii kama chama.
  8. JamiiForums Tanzania Profesa mwenye akili alie baki ccm, achilia mbali prof.mwandosya

    Wasomi wengi Tanzania wameacha taaluma zao kujifucha ccm kutafuta fusa na uchawa. Madokta, na maprofesa walioko ccm wengi ni machawa, elimu zao na usomi wao wote wameutupa na kuchagua uchawa, maprofesa waliopo ccm ni mmoja tu alie baki ni Anna Tibaijuka, Wengine wote ni machawa. Ccm wanzishe...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

    Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
  10. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Nani kama Mama ndio mjue Timu Kataa Kuoa Kataa Ndoa Tuliona Mbali sana

    Kisa cha Ally Kamwe na Baba yake kinawasanua wabishi wote, sisi tumekaa pale tunawaangalia na haubadirishi msimamo, kuoa ni ushetani na kuoa ni gereza huwezi kwa ujinga wako na upofu ukabeba shida za mwanamke unachanganya na za kwako. Wakati mwanamke anakuja na shida zake ili kujikwamua na...
  11. JamiiForums Tanzania Mwijaku kuwa makini sana na Kauli zako za kumtaka Shemeji yako Aziz K apigie mbali ili atufunge tarehe 8, kwani tutakupiga / utapigwa uje Kutulaumu

    Yaani umealikwa katika Futuru kwa Aziz K kutokana na Njaa zako, umeshiba unaanza kumwambia Aziz K atufunge J'Mosi.
  12. JamiiForums Tanzania Aina mbali mbali za uyoga

  13. JamiiForums Tanzania Katika malighafi zote za bunifu na sanaa mbalimbali, malighafi zitokanazo na miti zinaongoza kwa mbali

    Huu utafiti umetokana na mada za ubunifu nilizopost mwezi uliopita kwenye majukwaa mbalimbali Malighafi zitokanazo na miti na mazao yake zimejitokeza karibia kila mahali Hapa Nita post bunifu mpya Kali na nzuri zitokanazo na hiyo miti na bidhaa zake
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nakukumbusha tena kaa mbali na mtu Kigeugeu

    Huyu mtu ni hatari sana atakuingiza kwenye matatizo kibao na kuna muda hutojua kama ni yeye kwa sababu mkiwa naye anaongea hivi ila mkiachana tu anaongea mengine. Mtu kigeugeu mtakubaliana jambo fulani kwa pamoja ila likigeuka likawa na matokeo tofauti na matarajio tayari anakugeuka unaonekana...
  15. JamiiForums Tanzania Trump ameshajiondoa kufadhili miradi ya afya kabla ya siku 90? Je, ameona siku 90 ni mbali?

    Wakuu mwanzo ilisemwa kuna siku 90 za US kuangalia haya mambo ya ufadhili ndo waamue, lakini tokea jana zimeanza kuzunguka statement kama hiyo hapo chini kwenye mitandao. Kunani huko anayejua kinachoendelea?
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki Anaependa Tour Tuwe tunasafiri kila mwaka kwenda nchi mbali mbali!

    Wakuu niko na obsession ya kusafiri kama wale youtuber shida sijapata company . Au mtu mwenye hoby kama yangu. So naishia kugairi kila mara Imagine sijafika hata BURUNDI tu. Kusafiri mwenyewe naona ni Risk sana hasa nchi za ugenini. Tuanze na nchi za Africa kwanza Mawazo tafadhari
  17. JamiiForums Tanzania Ubunifu mchanganyiko: unaweza kuona jinsi tulivyoachwa mbali na wenzetu

    Hapa ni plastic free society.. Wanajaribu kupunguza matumizi ya vifungashio vya plastic vyenye madhara
  18. JamiiForums Tanzania Tips rahisi na zisizo na gharama unaweza kufanya kusuluhisha changamoto mbali mbali

    🔨Kama una pasi ya umeme iliokona na uchafu na unataka kuisafisha haraka. Iwashe ipate moto then chukua wax yamshumaa usugue katika pasi. Jinsi wax inavyoyeyuka inaondoka na uchafu. Ukishamaliza zima pasi ipate ubaridi then tafuta kitambaa au tissue ufutie mabaki. 🔨Kama ukitaka kukumbuka kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ukristo pia unakataza madeni kabisa achia mbali riba

    Ukisoma vitabu vya Biblia takatifu vya Warumi 13:8 na Methali 22:7 vyote mtawalia vinasema msiwiwe na mtu chochote na kwamba mkopaji ni mtumwa wa mkopeshaji...sasa nyi wakristo mmepigwa marufuku kabisa kukopa ila mnakaza fuvu. Muokoke.
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…