Wanawake msipoacha kutambiana hamtafika mbali. Inuaneni

Wanawake msipoacha kutambiana hamtafika mbali. Inuaneni

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,321
Reaction score
43,924
Kuna kampeni nyingi mno tofauti tofauti zinazohusu wanawake. Vikundi vya ujasiriamali ni vingi mno vya wanawake. Ila pamoja na yote bado wanawake ni tegemezi kwa wanaume ambao hatuna hizi harakati zao wala vikundi. INASHANGAZA. Sababu kuu ni wao wenyewe kuoneana wivu na kutambiana kipuuzi. Hii huwavuruga sana na kuishia kujikuta wanafanya uovu ili kwenda sawa na wenzao.

Nimekuta hii post huko Insta ambapo wanawake wanatambiana mali wanazomiliki. Ni post ya kipuuzi mno ambayo haiwajengi zaidi ya kuwabomoa kihisia.
Screenshot 2025-03-15 185313.png


Ninawasihi wanawake mpendane na kuinuana kiuchumi badala ya huu ujinga wa kuchukiana.
 
Mada ilitakiwa iwe

'sisi Wanawake msipoacha kutambiana mtafika mbali.. inuaneni'
Hivi si punde nami nilitaka nimkumbushe mleta mada,kwamba mbona nanyi wanaume mnachukiana sana... maana naona kilasiku comments zikimdiss mleta mada wanaume wenzie wakimwita mmama
 
Hivi si punde nami nilitaka nimkumbushe mleta mada,kwamba mbona nanyi wanaume mnachukiana sana... maana naona kilasiku comments zikimdiss mleta mada wanaume wenzie wakimwita mmama
Hehehe!!!
 
Duh,
Yaani mtu athubutu ku share thamani ya raslimali zake zote mtandaoni ?!

Wanafundishana ujinga
 
Back
Top Bottom