mbagala

Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    JamiiForums Tanzania Taa za barabarani Gerezani - Mbagala hazitumiki?

    Naomba ufafanuzi kwanini taa za barabarani za kuongozea magari na vyombo vingine vya usafiri njia ya Gerezani-Mbagala hazitumiki na wakato huohup mradi wa ujenzi wa mwendokasi umekamilika.
  2. JamiiForums Tanzania KERO Yard ya GSM Mbagala imeongeza tatizo la foleni

    Ni kweli tunataka maendeleo ila kiukweli naona kabisa Yard ile kua pale jeshini sio sehemu sahihi. Kwa mtazamo wangu ilibidi isogezwe huko nje ya miji kuliko pale. Mfano usiku huu malori yamefunga njia moja(yamepaki barabrani) magari yanapita kwa shida kutoka Sabasaba hadi Zakhem. Mamlaka...
  3. JamiiForums Tanzania Responded Wananchi wa Mbagala Rangitatu wadai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara wakati kesi iko mahakamani

    Wananchi hawa wa Mbagala Rangitatu, Dar es Salaam, wamedai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara zao na Manispaa ya Temeke wakati kesi iko mahakamani, tukio hilo limetokea Mei 2, 2026. Wananchi wanadai wana zuio la Mahakama Kuu na kesi ipo mahakamani ila Manispaa ya TEMEKE walifika ghafla Mei...
  4. JamiiForums Tanzania Mbagala (Dar): Baadhi ya maeneo ya barabara yaliyokuwa yanazibwa na 'machinga' yaanza kuwa wazi

    Baadhi ya wafanyabiashara wa biashara ndogondogo (machinga) waliokuwa wakifanyia shughuli zao katika maeneo yasiyo rafiki, hususan barabarani na kwenye njia za watembea kwa miguu, wameanza kupisha na kuondoka katika maeneo hayo. Tukumbuke kuna mdau aliwahi kuleta andiko hapa jukwaani akieleza...
  5. N

    JamiiForums Tanzania KERO Mitaa ya Mbagala Kuu tuna kero ya takataka, ni zaidi ya miezi mitatu hakuna gari la taka

    Kero ya matakataka Mitaa ya Mbagala Kuu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hakuna gari la taka lilopita mtaani kwetu. Matakataka yamezagaa na ukizingatia sehemu za wazi ambazo Watoto wanacheza, Serikali ya Mtaa haijachukua maamuzi yoyote. Ni hatari kwa afya. Maeneo ya Mbagala Kuu ni Mitaa ya Mbagala...
  6. JamiiForums Tanzania SOLVED KERO Uholela wa maegesho na biashara ndogo unavyosababisha foleni kubwa Dar Jioni – Bunju, Gongolamboto na Mbagala Rangi 3

    📍 – Bunju “B” Kwa wanaopita barabara ya Bagamoyo jioni, hasa eneo la Bunju ‘B’, hali ya foleni imekuwa ya kawaida kila siku. Tatizo kubwa ni: Daladala kuegesha kiholela barabarani badala ya kuingia kituoni Kusubiri abiria kwa muda mrefu (kupakia taratibu) Wafanyabiashara wadogo (machinga)...
  7. JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Mbagala Chamazi area

    Plot Available For Sale. Location: Chamazi, Mbagala area. Descriptions: *14km from main road (Kilwa rd) or Dar es Salaam port. *The area is fully fenced, with water and electricity within the premises. *There are 2 big logistics companies near, Suhara logistics and Inaara investments. *The area...
  8. JamiiForums Tanzania Maendeleo Mbagala Rangi 3 yamekuja na Kushamiri kwa biashara ya ukahaba

    Wakuu kheri ya mwaka mpya. Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri kwa biashara. Mabaa yamejengwa, Nyumba za wageni na za kupanga kupelekea sasa kuongezeka kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Mbagala mapema leo, shughuli zarejea

    https://youtu.be/-ZUtT726xT0
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mwendokasi Mbagala yaanza majaribio kubeba abiria

    Hii siyo kwamba mtoto anaringishiwa nyonyo wakuu? Jana Ajira elfu 41, leo Mwendokasi Mbagala inaanza kubeba abiria kuna vimatukio flani hivi kama vya kupoza moto. === Ni rasmi mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya pili barabara ya Mbagala (Kilwa), yameanza majaribio leo, Msemaji wa Serikali...
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza kukosekana kwa huduma ya umeme Mbagala na Kigamboni

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MBAGALA NA KIGAMBONI Jumatatu, 08 Septemba 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa maeneo ya Mbagala na Kigamboni kuwa kumetokea hitilafu ya umeme leo tarehe 08 Septemba 2025 katika njia ya...
  12. JamiiForums Tanzania Design ya vituo vya mwendokasi vya Mbagala na Tegeta havivutii na vimechoka kuliko vituo vya zamani

    Habari wadau. Sijajua ni macho yangu au nini. Hii design ya hivi vituo sijui imezingatia kitu gani maana havivutii ata kidogo. Inamaana wahandisi wameshindwa ata kuiga ramani ya vituo vya zamani walivyojenga wenzako? Pia cha kushangaza vituo hivi vimechoka kuliko vituo vilivyojengwa phase ya...
  13. JamiiForums Tanzania DART yaendelea kupiga kalenda usafiri wa Mwendo kasi Mbagala

    Huduma ya mabasi ya mwendokasi iliyotarajiwa kuanza leo Septemba Mosi, 2025 katika barabara ya Mbagala, imesogezwa mbele ikiwa ni sababu ya kutokamilika kwa miundombinu muhimu kama mageti janja na kituo cha kujazia gesi. Akizungumza lna gazeti la Mwananchi leo Jumatatu, Septemba mosi 2025 ...
  14. JamiiForums Tanzania Industrial Plot For Sale at Mbagala Chamazi

    Plot Available For Sale. Location: Chamazi, Mbagala area. Descriptions: *14km from main road (Kilwa rd) or Dar es Salaam port. *The area is fully fenced, with water and electricity within the premises. *There are 2 big logistics companies near, Suhara logistics and Inaara investments. *The area...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Usalama wa watembea kwa miguu na wachuuzi wa biashara Mbagala rangi 3; Mamlaka zipo likizo?

    Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani. Kinachoshangaza zaidi...
  16. JamiiForums Tanzania Industrial Plot For Sale at Mbagala Chamazi

    Plot Available For Sale. Location: Chamazi, Mbagala area. Descriptions: *14km from main road (Kilwa rd) or Dar es Salaam port. *The area is fully fenced, with water and electricity within the premises. *There are 2 big logistics companies near, Suhara logistics and Inaara investments. *The area...
  17. JamiiForums Tanzania Plot available for Sale at Mbagala Chamazi

    Plot Available For Sale. Location: Chamazi, Mbagala area. Descriptions: *14km from main road (Kilwa rd) or Dar es Salaam port. *The area is fully fenced, with water and electricity within the premises. *There are 2 big logistics companies near, Suhara logistics and Inaara investments. *The area...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mahali hapa dar kuna uchawi kuzidi Chanika,chamazi na Mbagala ???

    Duh haya maisha sio poa sikutegemea kama dar es salaam jiji lenye kila aina ya starehe , kwamba na penyewe uchawi upo , yaani kuna uchawi balaa,sio poa hususani maeneo ya Mbagala, Chanika na chamazi dar nimeishi maeneo mengi ila sio kwa hayo maeneo yaani uchawi ndo ulipo lala, bora hata mikoani 😜
  19. JamiiForums Tanzania KERO Hizi foleni za Mbagala, Buza zimekuwa kero sana

    Foleni zimekuwa ni jambo la kawaida, hasa kwa wanaosafiri kuelekea maeneo ya Mbagala au Buza, ambako safari inaweza kuchukua hadi saa tatu kufika, sehemu ya kufika ndani ya lisaa limoja hata kama umbali si mrefu. Hali hii imekuwa kero kwa wakazi na imekuwa ikikwamisha shughuli nyingi za kila...
  20. JamiiForums Tanzania Heavy Industrial Plot For Sale at Mbagala Chamazi

    Plot Available For Sale. Location: Chamazi, Mbagala area. Descriptions: *14km from main road (Kilwa rd) or Dar es Salaam port. *The area is fully fenced, with water and electricity within the premises. *There are 2 big logistics companies near, Suhara logistics and Inaara investments. *The area...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…