Je, unatumia kifaa cha Android?
Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu?
Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...