mazingira magumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya, Nkaiti Health Center ya Babati - Manyara tunafanya kazi katika mazingira magumu

    Sisi ni Watumishi wa Afya katika Nkaiti Health Center iliyopo Minjingu, Halmashauri ya Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara eneo la ndani karibu na Hifadhi ya Tarangire, tunaomba sana msaada wa kupaza sauti juu ya changamoto kubwa tunazokutana nazo, kwani mazingira ya kazi na maisha kwa ujumla ni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Itigi tunafanya kazi Mazingira Magumu

    Tumeajiriwa toka Januari 2026 wenzetu wachache wamepata mshahara wa Januari na Februari wengine malipo yetu bila ya sababu za msingi hatujapata chochote hadi sasa hivi. Wengine wetu walijitolea kufanya kazi toka muda huo hadi sasa lakini mazingira yamekuwa magumu. Halmashauri hakuna jibu la...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nyamagana, Mwanza: Miundombinu mibovu inasababisha mazingira magumu kwa wanafunzi wa shule ya msingi Kanindo iliyoko kata ya Kishiri

    Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii. tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na mradi usha kamilika lakini utekelezaji wa kusambaza maji bado ni changamoto. Shule ya msingi kanindo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto kwa madaktari tarajali Hospital ya Rufaa ya Amana

    Madaktari tarajali katika hospital ya rufaa ya Amana wanafanya kazi kwenye mazingira magumu licha ya uwongozi wa spital kujuwa changamoto zao hasa katika kitengo cha dharura (emergency department) 1. Mazingira magumu kazini Mazingira magumu ya kazi Kufanya kazi kwa saa nyingi (hadi 72...
  5. Meerkat

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengine kutoka Mazingira magumu huibuka na kufanikiwa?

    Kuna vijana wanaotoka kwenye mazingira magumu lakini wanashinda changamoto na kufanikiwa maishani. Unadhani ni nini kinachowasaidia kufanikisha haya licha ya changamoto kubwa wanazopitia? Na sisi sote tunaweza kujifunza nini kutoka kwao?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Aziz kii anakosolewa sana lakini huwa anaivusha timu kwenye mazingira magumu

    Mashabiki wa Yanga hizi karibuni wamekuwa wakimkosoa sana kuwa ameshuka viwango na hata wengine kudiriki kusema auzwe. Nadhani asingefungwa jana na timu kutolewa kelele zingepigwa sana kama jinsi Prince Dube alivyopondwa jana. Tusiwakatie tamaa wachezaji
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mashirika gani yanasaidia wanafunzi wanaotokea mazingira magumu , kidato cha 1 - 4

    Ndugu wana jamiiforum ni matumaini yangu nyote mnaendelea vyema. Nina mdogo wangu anaenda kidato cha pili sasa , lakini kutokana na chanagomoto za kiuchumi nina wasiwasi huenda si ndoto yangu tu hata yake huenda ikafa. Amesoma shule ya msingi na kufanikiwa kuwa na ufaulu wa juu hatimaye...
  8. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Ustawi wa Jamii wana wajibu gani katika kusimamia malezi ya watoto wanaoishi kwenye mazingira Magumu?

    Salamu wana bodi. Kuna haja ya ustawi wa jamii kuongeza mikono yake kuwafikia watoto hasa walio na umri wa chini ya miaka 5, wanao ishi katika mazingira magumu. Kuna wakati, Dunia inazunguka na kumuweka mtoto katika mazingira magumu sana, mpaka unajiuliza mtoto ameikosea nini hii dunia mpaka...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nimeshtushwa Lissu kutaka Wamasai waishi mazingira magumu!

    Tundu Lissu kupitia akaunti yake ya mtandao wa X amewachochea Wamasai wa Ngorongoro wasihame kwa hiari kwenda Msomera, Handeni. Nimeshtushwa mno! Nimejiuliza, Lissu ni katili hivi kumbe? Kumbe Lissu ni adui wa ndugu zetu Watanzania wa jamii ya Wamasai? Kwa sababu wahenga wanasema adui yako...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto zikikunyoosha usitafute wa kumlaumu, komaa mpaka uwe kati ya waliofanikiwa kwenye mazingira magumu

    KILA SIKU KUNA WATU WANAFANIKIWA KWENYE MAZINGIRA UNAYOONA NI MAGUMU. 1. Kipindi unalaani mahusiano kuna ndoa kila siku zinafungwa. 2. Kipindi unasema hakuna ajira kuna wanaoajiriwa kila siku 3. Kipindi unasema biashara ngumu kuna ambao wanauza mpaka wanakataa wateja. 4. Ukisema mshahara mdogo...
  11. OLS

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na ranks, kwa score bado mazingira ya habari ni magumu

    Mei 3, watu wengi walifurahi kuona Tanzania imepanda kwa nafasi 40 kwenye uhuru wa habari duniani. Yaani mwaka 2023 ilikuwa ya 143, lakini mwaka 2024 imekuwa ya 97. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Reporters without Borders. Hata hivyo, ripoti ile inaweka score kwa kila nchi na kila score ina...
  12. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Walimu wengi Kuomba Kazi kuboresha Daftari la mpiga kura Basi ni kielelezo tosha Maslahi ya Walimu ni Duni...

    Wasalam mabibi na mababu... Toka tarehe 14/4/2024 Tume huru ya uchaguzi imetoa tangazo la nafasi za kazi za muda katika kuboresha Daftari la kudumu la mpiga Kura. Katika Jambo lililonishangaza ni kuona wimbi la walimu kuomba hizi nafasi, imani yangu inaniambia hizi ilikuwa n nafasi za kuomba...
Back
Top Bottom