max

Max Payne is a neo-noir third-person shooter video game series developed by Remedy Entertainment (Max Payne and Max Payne 2) and Rockstar Studios (Max Payne 3). The series is named after its protagonist, Max Payne, a New York City police detective turned vigilante after his family was murdered by drug addicts. The series' first and second installments were written by Sam Lake, while Max Payne 3 was primarily written by Rockstar Games' Dan Houser.
The first game of the series, Max Payne, was released for Windows in 2001 and for PlayStation 2, Xbox, and Apple Macintosh in 2002; a different version of the game was released for the Game Boy Advance in 2003. A sequel, titled Max Payne 2: The Fall of Max Payne was released for PlayStation 2, Windows, and Xbox in 2003. In 2008, a movie adaptation, loosely based on the original game, entitled Max Payne, was released, starring Mark Wahlberg and Mila Kunis in the roles of Max Payne and Mona Sax, respectively. Max Payne 3 was developed by Rockstar Studios and released for PlayStation 3, Windows, and Xbox 360 in 2012.
In November 2021, Microsoft announced that in celebration of 20 years of Xbox, they would be adding over 70 more games to their backwards compatibility program. Headlining these games was the Max Payne trilogy, making the games available to play on Xbox One and Xbox Series X/SThe franchise is notable for its use of "bullet time" in action sequences, as well as being positively received by critics. As of 2011, the Max Payne franchise has sold over 7.5 million units. The film rendition received negative reviews but was commercially successful.In April 2022, Remedy announced that a remake of Max Payne and Max Payne 2 is in development, in a development agreement with Rockstar Games. The two games will be released as a single title.

View More On Wikipedia.org
  1. iPhone 17 Pro Max tusiichukulie poa likija swala la camera!

    Christina Koch akipiga selfie na Dunia kutoka space. Nasa wameconfirm iPhone 17 Pro Max imehusika.
  2. Mnisupport wimbo wangu! “Luku ya Sifuri” - Mad Max ft Google Gemini!

    Maisha magumu nimeona niingie kwenye game la Music. Kionjo cha wimbo wangu hapa, mnipe rate kati ya 1 hadi 5! Nimemshirikisha ndugu yetu mpendwa Google Gemini 😆
  3. Wanahitajika watu 10 wa mauzo na masoko kwaajili ya usambazaji wa bidhaa za Usafi (Tiles Cleaner) katika kampuni ya Max Pro Limietd

    Max Pro Limited ni Kampuni inayojihusisha na utengenezaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za Usafi kama vile Tiles Cleaner,Hand Wash Soap,Window Cleaner,Shower gel,Air Fresh,Car Shampoo,Hair Shampoo,Sofa Cleaner,Skin Care Products n.k.ambayo ipo Kigamboni Dar es Salaam. Max Pro Ltd...
  4. Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

    Moja kwa moja . Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano . Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo. Lengo...
  5. Live from Nairobi: Africa Editors Congress, Wahariri wa Africa Kujadili Changamoto za Media, Deo Balile wa TEF na Mkuu Max wa JF Ndani ya Nyumba!.

    Wanabodi, Niko hapa ukumbi wa Aga Khan University, kuwaripotia live, kinachoendelea kwenye huu mkutano ambapo Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile, atawasilisha mada ya Media Sustainability amid Digital Era. Miongoni maw watu muhimu nimewaona hapa, ni Boss wa JF, Mkuu...
  6. T

    Iphone 17 pro max vs Samsung S25 ultra. Ipi ninunue?

    Maoni yenu wakuu. Zote ziwe 512GB. ipi nichukue, ni mtumiaji wa ios na android pia. Nilitaka nibebe zote pamoja, lakin nataka nianze na moja. Kama kuna tofauti na hizo ambazo bora zaidi nakaribisha pia. Asanteni.
  7. Kuna jambo lina nipa mashaka ila kama litakuwa siri ila siku litakuwa wazi tu nchi hii.

    Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani. Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao. Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza kutumia mwanywa kuonesha inawapa watu ajira kumbe wanaenda kutumikia ajira za magendo. Kwa sasa nchi...
  8. Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

    Maisha yako speed. iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6. Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava. Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
  9. Azam Tv Max ndio App ya hovyo kabisa kuwahi kutengenezwa

    Imagine ubora wa Azam Tv lakini wanaangushwa na App yao. Watu wana studio kali, OB Van kali, Camera za kisasa. Mnashindwaje kutengeneza App yenu iwe imara muda wote? Mtu uko mbali na nyumbani unasema ngoja nicheki boli kupitia Azam max, unakutana na changamoto lukuki. Mara App igome...
  10. Q

    Pro max wengi wanajadili personality ya mtu badala ya issues.

    Sijui nani huwa anawaelekeza kitu cha kujadili maana huwa naona wanashambulia mtu badala ya kujibu mada husika. Kipindi tunajadili issues za TEC na maandamano walileta mashehe kuwashambulia viongozi wa TEC badala ya kujikita kwenye issue husika ya HAKI. Alipokuja Kitima badala ya kujibu hoja...
  11. Huyu ni Tapeli pro max

    Sijui kwa nini wana muamini huyu jamaa na media uchwara zikimpa umakini. Una kwambia ana udongo wa upako sasa.
  12. McLaren wamepokonywa point kwenye Las Vegas GP. Nafasi ya Max Verstappen kushinda taji la Driver Championship bado kubwa!

    Formula One sio kama michezo mingine, ambapo kipyenga kikipulizwa basi mchezo umeisha, kwamba ata makosa yakionekana baadae basi hamna namna kwani mchezo ushamalizika. Sasa, F1 mkimaliza race, mshindi akatangazwa, magari yanaenda kukaguliwa kuonesha kamakuna cheating yoyote imefanyika. Sasa...
  13. Hii pikipiki “Mecha 200” mnaionaje wazee kwa Million 3.5 max?

    Nimemiss thrills za pikipiki, ila sahivi nataka niende cheap. Kuna hii Mecha model naona inauzwa kwa brand ya King Lion au kwa Dayun ina cc 200, 4 stroke, air cooled, single cylinder, gear 5, top speed 100 km/h, dual disc brakes, monoshock suspension, LED lights, digital cluster nk. Bei yake...
  14. M

    Ni wakati wa Tanzania kumpa maua yake Meya mstaafu Max kwa kuvumbua kipaji cha Alphonce Simbu na majina mengine makubwa kwenye riadha

    Mwanzoni mwa mwaka 2006 nilifanikiwa kuona mtoto kama wa miaka 13 akiwa kwenye kundi la wanariadha waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Ilboru sec, Arusha mida ya alasiri. Alikuwa katoto kwelikweli kiasi kwamba hata wakienda mazoezi ya kukimbia umbali mrefu alikuwa mara zote ni wa...
  15. Bongo Movie wana vitu vingi vya kujifunza kupitia Trailer ya Mbosso ya MAD MAX kuliko kukaa kusifia viongozi na CCM

    Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM na viongozi serikalini. Mbosso ambae ni msanii wa mziki kuachia trailer ya MAD MAX iliyofanywa kwa...
  16. Njia ambazo wapinzani mnazitumia ni dhaifu pro max, kwa ufupi ni kwamba hamjielewi.

    Let us say Abdul ameiba mabilioni yenu na kununua gari ya Bilioni mbili kama mnavyoaminishwa. Tuassume ni kweli Samia ameuza bandari kama mlivyoaminishwa. Tuassume Kikwete anaendesha nchi kwa sasa kama mnavyojazwa upepo. Hapo mlipo mnasubiri CCM iachie madaraka kwa kelele za Mange Kimambi, yaani...
  17. Uzinduzi wa Tesla 5G Smartphone Mpya – Pi Max Kuchukua Soko la iPhone na Samsung?

    Kampuni ya Tesla, inayojulikana kwa ubunifu katika magari ya umeme na nishati safi, sasa imeingia rasmi kwenye soko la simu za kisasa kwa kuzindua Tesla Pi Max. Simu hii imeundwa kwa teknolojia ya hali ya juu na inalenga kushindana moja kwa moja na iPhone na Samsung katika soko la simu za...
  18. Azam mnatusumbua wateja wenu na hii Azam max yenu

    Habari za jioni, Jana nimetembelea Azam Mgodi. Nikaona nijisajili na Azam Max ili angalau habari muhimu zisinipite kwenye kipindi hiki Cha uchaguzi, niwe naperuzi na kufatilia taarifa nikiwa popote nje ya nyumbani. Adha ninayoipata najuta kutumia mda wangu kufika Mgodini na kumaliza bando...
  19. J

    Yanga yamuongezea mkataba Max Nzengeli wa miaka miwili

    Unadhani kwa sajili hizi wanazoendelea kufanya yanga,zinawaeza kuwa na manufaa makubwa kuelekea mashindano makubwa ya kimataifa ngazi ya vilabu?
  20. Ngoja Tuone kama "wese" la Mwamposa litaisaidia mbele ya Max nzegeli na Pacome Ngena Zuzwaa

    Kati fundi Aucho pembeni Pacoume Ngwena Zuzwaa kuna huyu Waziri Wa Kazi Maalumu (Max nzegeli) Kila mechi Lazima awaweke hakika Wese boy wameingia kwenye MFUMO. Dadekiiii, achana na Mudathri kuna Chama baba Anataka kuwaonesha namna gani Ganda la muwa haliishi utamu Oya weweee Kazi kubwa Leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…