mawasiliano

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), established by the TCRA Act No. 12 of 2003, is an independent Authority for the postal, broadcasting and electronic communications industries in the United Republic of Tanzania. It merged the former Tanzania Communications Commission and the Tanzania Broadcasting Commission. The TCRA is accountable to the Communications and Technology Ministry. The Information Communication and Technology (ICT) sector reform in Tanzania is notable in that development was influenced by regional, political (national) and technological factors. Tanzania is one of the few African countries to liberalise the communications sector whereby the Converged Licensing Framework (CLF) is used as a key strategy, in terms of the Tanzania Communications Regulations. Since inception in 2003, the TCRA has issued a number of regulations to administer the sector, but still faces a number of challenges such as the roll-out of services to under-serviced rural areas.

View More On Wikipedia.org
  1. Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyoleta mapinduzi katika sekta ya afya

    Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania. Mradi huo utakaogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 13.5 unalenga kutumia teknolojia ya akili bandia za mifumo ya kompyuta kwa kimombo Artificial...
  2. Sekta ya mawasiliano ya simu ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi

    Mabadiliko ya kidijitali yamekuwa moja ya chachu kubwa ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini. Juma lililopita, Umoja wa Forodha Ulimwenguni (WCO) uliweka bayana kwamba Tanzania inaweza kunufaika kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza katika teknolojia. Akizungumza jijini Dar Es Salaam, Katibu...
  3. Tufanye haya ili kuhakikisha sekta ya mawasiliano ya simu Tanzania inaendelea kukua na kustawi

    Tanzania imepata mabadiliko makubwa ya teknolojia katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. Leo hii, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 11 wanaotumia mtandao wa intaneti kupitia simu zao za mkononi. Maendeleo haya ni fursa ya kubadili maisha na kukuza maendeleo ya mtu mmoja mmoja na nchi kwa...
  4. Tatizo ni mfumo wa mawasiliano au? Aliyeshtakiwa makosa 280 ateuliwa kuwa M/kiti Bodi ya VETA

    Mashtaka yalisomwa January sita ila kesho yake DPP akaondoa kesi mahsksmani kimya kimya. Sijui alipewa maagizo? ==== Peter Maduki, ambaye alishtakiwa kwa makosa 280 yakiwamo ya kughushi, kuwasilisha nyaraka za uongo pamoja na utakatishaji fedha, ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa mwenyekiti...
  5. Fanya hivi kuepuka kukosa mawasiliano utakapofungiwa na TCRA kama hujasajili kwa alama za vidole

    Muda wa kutumia simu kadi ambazo hazijasajiliwa unafika ukingoni January 20 huku kukiwa na siku mbili tu mbele. Watanzania lukuki bado hawajakamilisha zoezi hili muhimu huku sababu kubwa ikitajwa ni NIDA kuwa na mwendo wa kinyonga, pamoja na hayo TCRA wametoa msisitizo kuwa hawataongeza muda...
  6. Mvua yaua watatu, yakata mawasiliano ya Songwe, Rukwa na Katavi

    Mvua zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Rukwa, zimeendelea kusababisha maafa baada ya kusomba madaraja manne katika barabara kuu ya Kasansa-Kilyamatundu inayounganisha mikoa ya Songwe, Rukwa na Katavi iliyopo bonde la ziwa Rukwa wilayani Sumbawanga huku ikisababisha vifo vya watu watatu...
  7. Sekta ya mawasiliano ya simu inavyokua kwa kasi nchini Tanzania

    Mwaka mpya ni wakati wa kutafakari yaliyopita, tulipokosea, tulipofanikiwa na namna gani tufanye vizuri zaidi. Tumeingia pia muongo mpya (2020 hadi 2030) kwa hiyo pia ni miaka kumi kutafakari nini tumefanya miaka 10 iliyopita na nini tufanye miaka 10 ijayo. Bila shaka muongo uliopita (2010 hadi...
  8. Rushwa nje nje kituo cha mabasi Ubungo Mawasiliano

    Sidhani kama hiyo kitu itaisha Unapoingia mawasiliano watu wamejipanga wanasimamisha kila gari. Na kila gari konda anashuka anaweka 3000 anasokota kwenye risiti ya zamani akifika anakabidhi risiti anageuka. Ukikaa kituo cha kwenda Mbezi unaweza kuhisi ni movie. Mbaya mmoja anasimamisha zaidi...
  9. J

    Waziri Jaffo na DC Joketi imarisheni mitandao ya mawasiliano wilayani Kisarawe

    Si vema watu wakakosa mawasiliano wanapokuwa kwenye shughuli zao wilayani Kisarawe kwa sababu ya matatizo ya network. Hivyo niwatie moyo mbunge Jafo, DC Joketi na hata yule almaarufu wa hapo Kisarawe ndugu Kingwendu jitahidini kwa pamoja mlimalize tatizo hili kwa sababu minara yote mikubwa iko...
  10. Waziri wa mawasiliano kabla ya kufungia line zetu mkawafunge kwanza NIDA

    Leo tarehe23_12_2019 Watanzania wengi wamejiandikisha Nida ili kupata namba za kitambulisho waweze kusajili line zao,wapo watanzania ambao hawajapata hizo namba hadi leo.wakati walishajiandikisha toka mwezi wa kumi. waziri wa mawasiliano unapokuja hadharani kusema utazifungia line za watanzania...
  11. TCRA: Laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa namba za NIDA zitafungwa kufikia Desemba 31, 2019

    Mamlaka hiyo imesema kwamba hakuna laini ya simu itakayofungwa kabla ya tarehe hiyo. Aidha, imesema wananchi wanatakiwa kwenda kusajili laini zao kwa kutumia vitambulisho vya uraia, na kuthibitisha usajili huo kabla ya muda uliowekwa kwa kuwa hakutakuwa na mabadiliko ya kuzifunga. Akizungumza...
  12. Mahakama 52 Zaunganishwa na Mkonga wa Taifa wa Mawasiliano

    Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kimefanikiwa kuziunganisha mahakama 52 nchi nzima na Mkonga wa Taifa wa Mawasiliano. Kitendo hicho kitasaidia urahisi wa mawasiliano miongoni mwa mahakama mbalimbali hivyo kuwezesha uhamishaji wa mafaili, Jambo litakalopunguza muda wa kufuatilia rufaa...
  13. TTCL hoi kwenye soko la mawasiliano nchini

    Hapa chini ni takwimu zilizotolewa na TCRA kuhusiana na mgawanyo wa soko miongoni mwa makampuni mbalimbali ya mawasiliano hapa nchini. Wasiwasi ambao Watanzania wengi tunapaswa kuwa nao kutokana na takwimu hizi ni uwezekano kwa serikali hii kuzi "Fastjet"-isha Vodacom, Tigo, Airtel, nk ili TTCL...
  14. Serikali yazindua kituo cha Tehama Chato

    Serikali imesogeza huduma za mawasiliano kwa wananchi wa Chato kwa kuzindua kituo cha Tehama, Telesenta Chato mkoani Geita baada ya kukamilisha usimikaji miundombinu ya mawasiliano kituoni. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe jana alizindua kituo hicho cha Tehama ambacho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…