kibokomchapaji
Senior Member
- Aug 18, 2017
- 165
- 307
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kimefanikiwa kuziunganisha mahakama 52 nchi nzima na Mkonga wa Taifa wa Mawasiliano.
Kitendo hicho kitasaidia urahisi wa mawasiliano miongoni mwa mahakama mbalimbali hivyo kuwezesha uhamishaji wa mafaili, Jambo litakalopunguza muda wa kufuatilia rufaa mbalimbali.
"Matumizi ya TEHAMA yatasaidia kuepusha upotevu wa mafaili, na muda wa kufuatilia rufaa kutoka mahakama moja hadi nyengine" anasema Mwanasheria Husein Hamid