Ekari tano kulima ilinigharimu laki nne, nilipata vijana wanne kwa makubaliano unawapa sehemu ya kulala, wanatembea na kapu lao ndani wana sufuria. Wanaamaka asubuhi wanakwenda kulima mpaka saa tano wamemaliza. Wakirudi wanapika chakula chao wenyewe. Iliwachukua siku tatu kumaliza ekari tano...
Wasalaamu wana JF
Hata majumbani mwetu kuna miiko, hauwezi kupata mgeni na siku hiyohiyo unamkaribisha mpaka chumbani, Kuna matazamio na utaratibu maalum.
Kitendo cha Chandema kupata wahamaji kutoka CCM na siku hiyo hiyo kufanywa kuwa viongozi wa meza kuu Chandema na kuruhusu kufahamu mipango...
Mwaka juzi nilipita shamba la Alizeti la Mzee mmoja nikavutiwa na namna Alizeti yake ilistawi na ikiwa na afya.
Nikamfuata na kumpongeza sana kwa namna ameweza kuihudumia ile Alizeti akaniambia
"Hii alizeti mbegu siijui jina ila namimi niliomba kwa mtu na haoa unaiona sikutumia Mbolea na...
Na: Sauti ya Mdodomia
20/08/2020
Dodoma.
Ukiachilia kelele mbalimbali ambazo watanzania wamekuwa wakizisikia kutoka kwa vikundi vya watu wachache nchini. Lakini watanzania watamchagua yule wamtakaye kwa manufaa yao na manufaa ya Taifa lao la Tanzania.
Watanzania baada ya kusikiliza kwa makini...
Napatikana( Simanjiro) mji mdogo wa Orkesumet natafuta mtu mwenye mtaji tufanye biashara ya mazao kipindi hiki cha mavuno, mazao ya Mahindi na Maharage. Mawasiliano zaidi ni 0688057418 na 0757057873
December 30, 2019
Tanzania
Hali ya upungufu wa mavuno tishio la Usalama wa chakula Tanzania 2020 - 2021
Changamoto kubwa baada ya mafuriko na mvua nzito zisizo koma kukumba maeneo mengi ya Tanzania ni suala la usalama wa chakula kupitia akiba ya mazao kama mahindi, mpunga, mihogo, ulezi na...
Ama kwa hakika hayawi hayawi sasa yamekua, asiye na mwana aelekee jiwe ndio funzo la wahenga kwa yeyote atae shupaza shingo lake basi mvunjiko ndio halali yake.
Ni Tanzania ndio ni Tanzania tena kama sio Tanganyika mbabe na muasisi wa uchumi dynamic na usio na ulemavu katika sector moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.