mavunde

Anthony Peter Mavunde (born 2 March 1984) is a Tanzanian politician who has been a member of the ruling party CCM since 2006. He is the current Deputy Minister for Agriculture and a Member of Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Dodoma: Wazazi Wamshukuru Mbunge Mavunde kwa Ujenzi wa Uzio Shule ya Msingi Uhuru

    Wananchi na wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru Jijini Dodoma, wamempongeza na kumshukuru Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde kwa ufadhili wa ujenzi wa uzio wa shule hiyo ili kuboresha mazingira rafiki ya wanafunzi kusomea tofauti na awali ambapo muingiliano ulikuwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde Azindua Magari 25 ya Tume ya Madini

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAGARI 25 YA TUME YA MADINI Ikiwa ni mkakati wa kuimarisha usimamizi katika Sekta ya Madini hasa kwenye ukusanyaji wa maduhuli, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amezindua magari mapya 25 kwa ajili ya kusambazwa kwenye Ofisi za Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa sambamba...
  3. Waufukweni

    Geita: Anthony Mavunde aahidi kuingiza Tsh. Trilioni 1 Katika Mfuko wa Serikali kutoka Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amezungumza mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini leo tarehe 13 Oktoba, 2024, mkoani Geita. amesema kuwa Wizara ya Madini imejipanga kuingiza Tsh. trilioni 1 kwenye mfuko wa...
  4. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde - Maonesho ya Madini Geita Kuboresha Kufikia Hadhi ya Kimataifa

    MAONESHO YA MADINI GEITA KUBORESHWA KUFIKIA HADHI YA KIMATAIFA-MAVUNDE - Rais Samia Suluhu Hassan kufunga maonesho -I dadi ya washiriki wa nje ya nchi waongezeka - RC Shigela aeleza mpango wa kujenga majengo ya kudumu na kuboresha miundombinu 📍Bombabili EPZ, Geita Waziri wa Madini Mh...
  5. Stephano Mgendanyi

    Usimamizi Thabiti wa Madini Mkakati Utakuza Uchumi wa Afrika - Waziri Mavunde

    - Awapongeza Rais Samia na Museveni kwa msimamo wa uongezaji thamani madini - Azitaka nchi za Afrika kuwa na mkakati wa pamoja wa uvunaji wa rasilimali Madini - Uganda yavutiwa na maendeleo ya sekta ya madini nchini Tanzania 📍Kampala, Uganda Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amezitaka...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mavunde Azindua Ujenzi Jengo la Mapumziko Hospitali ya Mkoa wa Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AZINDUA UJENZI JENGO LA MAPUMZIKO HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA DODOMA MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini, Mh. Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto...
  7. Roving Journalist

    Waziri Mavunde awataka Watanzania kuchangamkia manunuzi ya bidhaa ya Tsh. Trilioni 3.1 migodini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amewataka watanzania wanaoshiriki kwenye mnyororo wa thamani wa sekta ya madini kuchangamkia fursa kubwa iliyopo ya manunuzi ya bidhaa na utoaji huduma migodini ambayo kwa mwaka wa fedha 2023/24 jumla ya kiasi cha Tsh Trilioni 3.1 zimetumika katika eneo la...
  8. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde Awataka Watanzania Kuchangamkia Manunuzi ya Bidhaa ya Trilioni 3.1 Migodini

    WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA MANUNUZI YA BIDHAA YA TRILIONI 3.1 MIGODINI -Azindua rasmi Chama cha Watoa Huduma na Wauzaji wa Bidhaa Migodini -Afurahishwa na Watanzania kuzingatia ubora -Awataka kushirikiana na kusaidiana -Rais Samia apongezwa kuvutia uwekezaji Dar es...
  9. Roving Journalist

    Waziri Mavunde: Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji utakaoongeza thamani ya Madini ndani ya Nchi

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima ufanyike Tanzania. Mavunde ameyasema hayo leo Bali, Indonesia wakati wa majadiliano juu ya manufaa ya Madini Mkakati katika...
  10. Stephano Mgendanyi

    Kikao cha Taasisi za Fedha na Waziri wa Madini, Mavunde

    ANTHONY MAVUNDE, WAZIRI WA MADINI, TANZANIA Mwaka jana mwezi Septemba, nilifanya kikao na Taasisi za Fedha na Benki zote nchini chini ya mwamvuli wa Taasisi ya Umoja wa Benki nchini (TBA). Madhumuni ya kikao kile ilikuwa ni kujadiliana kwa pamoja namna nzuri ya kuifikia sekta ya madini kwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde Ageuka Mbogo; Ataka Mradi wa Dhahabu Magambazi Uanze Uzalishaji Mkubwa

    WAZIRI MAVUNDE AGEUKA MBOGO; ATAKA MRADI WA DHAHABU MAGAMBAZI UANZE UZALISHAJI MKUBWA -Awataka wamiliki wa leseni kufuata masharti kwa mujibu wa Sheria*, -Awapa mpaka 1 Septemba 2024 kujibu hoja za matakwa ya kisheria -Mgodi una wastani wa Wakia 700,000 -Wananchi wa Handeni-Tanga waishukuru...
  12. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya Waziri Mavunde Yaleta Faraja kwa Wachimbaji Wadogo wa Lemishuko, Simanjiro - Manyara

    ZIARA WAZIRI MAVUNDE YALETA FARAJA KWA WACHIMBAJI WADOGO WA LEMISHUKO, SIMANJIRO-MANYARA - Eneo la Lemishuko kurushwa ndege nyuki ya Utafiti - Serikali kutatua changamoto ya Maji,Umeme,Barabara na Zahanati - Aongoza Harambee ya ujenzi wa Zahanati Lemishuku - Jengo la Kituo cha ununuzi wa...
  13. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde na Waziri Mchengerwa Kukutana Kushughulikia Tozo za Halmashauri Kwenye Madini

    WAZIRI MAVUNDE NA WAZIRI MCHENGERWA KUKUTANA KUSHUGHULIKIA TOZO ZA HALMASHAURI KWENYE MADINI -Hii ni Kufuatia Changamoto za tozo za Halmashauri zilizowasilishwa na wachimbaji Morogoro -Waziri Mavunde awapongeza Morogoro kuvuka lengo la makusanyo ya maduhuli -Serikali kuongeza nguvu ya Utafiti...
  14. JanguKamaJangu

    Waziri Mavunde apiga marufuku wageni kutumia leseni za wachimbaji wadogo

    WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ameweka wazi makusanyo ya maduhuli kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo ni Shilingi Bilioni 753 huku akipiga marufuku kwa wageni kuingia kwenye leseni za wachimbaji wadogo. Mavunde pia ametangaza operesheni maalum kwa watumishi wasio waadilifu na kumtaka Katibu...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde: Kampuni ya Tembo Nickel Yafanikiwa Kusafisha na Kuzalisha Madini ya Nikeli, Shaba na Kobati Kwenye Kiwanda Kilichopo Kabanga, Ngara.

    WAZIRI MAVUNDE: TEMBO NICKEL YAFANIKIWA KUSAFISHA NA KUZALISHA MADINI YA NIKELI, SHABA NA KOBATI KWENYE KIWANDA KILICHOPO KABANGA, NGARA, HII NI HABARI NJEMA Kampuni ya Tembo Nickel ambayo Serikali ya Tanzani ni mbia, imepata mafanikio ya kihistoria - kwa mara ya kwanza! Tembo Nickel kupitia...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mavunde Aahidi Ujenzi wa Kivuko Kinachounganisha Kata ya Msalato na Miyuji

    MBUNGE MAVUNDE AAHIDI UJENZI WA KIVUKO KINACHOUNGANISHA KATA YA MSALATO NA MIYUJI Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde akiongozana na Diwani ya Kata ya Msalato Mh. Nsubi Bukuku kukagua eneo la kivuko kinachotakiwa kujengwa katika Mtaa wa Senje kuunganisha kata ya Msalato na...
  17. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde Aagiza Leseni za Utafiti 45 Mkoani Rukwa Kurejeshwa Serikalini

    WAZIRI MAVUNDE AAGIZA LESENI ZA UTAFITI 45 MKOANI RUKWA KUREJESHWA SERIKALINI -Ni Leseni ambazo hazifanyiwi kazi na kuzuia maelfu ya wachimbaji kuchimba -Eneo lililorejeshwa la ekari 812,383 ni kubwa zaidi ya Wilaya ya Sumbawanga -Wachimbaji wadogo na wawekezaji waliotayari kupewa kipaumbele...
  18. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde: Umeme Kuongeza Uzalishaji wa Madini Mkoa wa Katavi

    UMEME KUONGEZA UZALISHAJI WA MADINI MKOA WA KATAVI-MAVUNDE Waziri wa Madini Mh . Anthony Mavunde amewaeleza wachimbaji wa mkoa wa Katavi kwamba utekelezaji wa mradi wa kuingiza Katavi kwenye gridi ya Taifa itasaidia upataikanaji wa uhakika wa umeme na hivyo kupelekea kuongezeka kwa uzalishaji...
  19. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya Mbunge Mavunde Yaleta Matumaini Mapya Kata ya Hombolo Makulu

    ZIARA YA MBUNGE MAVUNDE YALETA MATUMAINI MAPYA KATA YA HOMBOLO MAKULU - Kuanzisha ujenzi wa Zahanati Mtaa wa Maseya - Shule Mpya kujengwa Kitongoji cha Mgona ngholongo - Atoa vifaa vya ujenzi kukamilisha ujenzi wa ofisi za Mitaa - Wananchi wamshukuru Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa miradi ya...
  20. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde Azindua Timu ya Kuandaa Andiko la Vision 2030

    ● Prof. AbdulKarim Mruma kuiongoza Timu ●Wapewa Hadidu za Rejea 14 muhimu kujenga uchumi wa nchi kupitia madini ● Tanzania kufanya Utafiti wa eneo la asilimia 50 nchi nzima kufikia 2030 ● Sekta za kilimo, Afya, Maji na Viwanda kunufaika na utafiti Dodoma Waziri wa Madini Mhe. Anthony...
Back
Top Bottom