Kwa Wadau ,Wamiliki wa media zinazoandaa maudhui,main au on line.
Mimi ni Muandaa miswada( screen plays),ngazi ya cheti. Nabadili story kuwa screenplay,na fanya screenplay breakdown kwa ajili ya kurahisha uzalishaji (production),budget n.kNafanya maongezo(addition) kwa stori zenye maudhui...