matumizi mabaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    DOKEZO Matumizi mabaya ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Kakokonko

    Habari za jioni watanzania wenzagu. Leo nimepokea taarifa kutoka kwa mtu wangu wa karibu aliyeko kigoma na kunihadithia matukio ya kuttisha na nimeona nilete hapa wa watalam tusaidiane. Kwanza ameanza kwa kunitumia ujumbe ulioandikwa na mwananchi wa kawaida nami naomba niuweke hapa wote...
  2. Matumizi mabaya ya neno 'Mlonganzila'

    Mlonganzila ni jina la Hospitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na hii inatokana na hosipitali huwa kujinasibu kuwa wana uwezo wa kufanya BBL yaani Brazilian butt lift...
  3. Rais wa TLS, Harold Sugusia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji, kupisha Uchunguzi wa matumizi mabaya ya Milioni 670 za LAAC

    Wanabodi, JF, kama kawaida yetu, be the first to know!. Chama cha Wanasheria Tanganyika, kwafukuta, rais wa TLS, (r ndogo), Wakili Msomi, Harold Sugusia akunjua makucha, kupitia The Governing Council, amempiga panga kwa kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, kwa kipindi cha miezi...
  4. K

    SGR, JNHPP, daraja la Busisi na ndege 13 ni Matumizi mabaya ya madaraka ya Hayati Magufuli. Rais Samia achana navyo

    Mama Samia hongera kwa kazi nzuri. Kwa hayo niliyotaja hapo juu yalifanywa na Magufuli bila kutushirikisha private sector. Nakuomba ubinafsishe Kwa private sector ili Selikari ikusanye mapato na kulipana posho nzuri huku tukihakikisha wananchi wa vijijini wenye nyumba za ovyo wanalipia pango la...
  5. Wabunge nchini Marekani wamepiga kura za kumwondoa Rais Biden madarakani kwa tuhuma za Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kuitajirisha familia yake

    Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka. Matokeo ya kura, Wabunge 221 wameunga mkono, wabunge 214...
  6. Dar: Mtumishi wa Wizara ya Ardhi akutwa na hatia ya Matumizi mabaya ya Madaraka na Kughushi Nyaraka

    Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kughushi Nyaraka, mtumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliyetambulishwa kwa majina ya Melchiory Rutayuga Mukandala. Keshi hiyo iliyowasiliswa na Jamhuri kupitia Taasisi ya Kuzuia na...
  7. Kutumia magari ya Serikali kwenda kumpokea Makonda ni matumizi mabaya ya kodi za umma

    Magari ya umma. Yanatumika kumpokea kada wa CCM. Hii sio fair kabisa. Kodi tunalipa watanzania wote sio wanaCCM peke yao. Sasa kwa nini kodi zetu zitumike kwenye shughuli za CCM?
  8. Tanzania ina matumizi mabaya kwenye pesa za walipa kodi, utitiri wa mamlaka za udhibiti zisileta tija

    Lengo la sera ni kuondoa changamoto zinazoikabili jumua/jamii, mfano tunayo changamoto ya umeme katika taifa letu, bunge limekaa kikao cha kupitisha sheria/sera ya umeme kwa kumgaia udhibiti na mamlaka shirika la umeme kudistribute na allocate eletricity, halkadhalika EWURA, LATRA, CNA CAG vyote...
  9. Kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara ni matumizi mabaya sana ya akili kwa Ma HR wengi nchini.

    Pana matakataka mengi yanafanyika Serikali hasa kwa watumishi wa umma inatakiwa mamlaka ilitazame hili. Huu utaratibu wa kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara mwisho wa mwezi je ulizingatia afya ya akili ya aliyebuni utaratibu huu?. Unakuta mtumishi kapata kesi ya...
  10. Viongozi BAKWATA - Simiyu wadaiwa kusimamishana kwa muda usiojulikana kisa matumizi mabaya ya madaraka

    Viongozi sita wakiwemo Mashekh wawili wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Wilaya za Meatu na Bariadi mkoani Simiyu, wanadaiwa kusimamishwa uongozi wao kwa muda usiojulikana kutokana na tuhuma mbalimbali wanazodaiwa kutuhumiwa. Imedaiwa kuwa viongozi hao walisimamishwa na Mkutano Mkuu...
  11. Tanroad Iringa, haya ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi

    Wakuu! Habari za muda huu, sijui ni nani anayewashauri hawa TANROAD wa Iringa, mwezi wa pili mwanzoni waliipa tenda ya kuziba viraka kwenye Barabara ya Iringa to Dodoma Kampuni iitwayo TS Solutions (T) Limited ya Kipunguni, Kizinga area Dar es salaam. Kampuni hii imefanya kazi hiyo katika...
  12. Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022 leo Machi 29, 2023 Ikulu ya Magogoni, Dar es salaam. CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
  13. DOKEZO Matumizi mabaya ya ofisi na maandalizi ya upigaji pesa za miradi ya maji-Mpanda

    MATENGENEZO YA GARI TOYOTA HILUX VIGOR DFP 6939 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mpanda (Eng Hussein Salum Nyemba) aliyepewa usukani na wizara ya Maji kuiongoza taasisi hiyo muhimu kwa ajili ya ustawi wa wananchi wa Mpanda kuanzia tarehe 31-08-2022. Wiki moja baada ya kuanza majukumu yake mapya...
  14. Matumizi mabaya ya IDs za Wakongwe wa JF, wanasema Gudume yupo Twitter

    Wanasema "hata akienda juu Kapungu hafikii kwa Mungu" ndiyo. Sisi wazee wa zamani tumekutana na mengi hadi kufika umri huu...kutekwa kisiasa,kiuchumi na kimapenzi pia. Lakini tumeweza ku survive katika jamii yenye kujawa watu na viumbe visivyo vya kawaida. Hivyo wanaotumia IDs zetu bado...
  15. Uganda: Bunge lapitisha faini ya Tsh. Milioni 9 kwa matumizi mabaya ya mitandao

    Bunge limepitisha adhabu hiyo au kifungo cha miaka 10 au vyote kwa pamoja kufuatia marekebisho ya Sheria ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta ya mwaka 2011. Marekebisho hayo yayonasubiri kutiwa saini na Rais yanalenga kudhibiti matumizi yasiyofaa ya taarifa au data, kukataza ushiriki wa taarifa...
  16. T

    SoC02 Matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, chanzo cha maovu na kupoteza uelekeo kwa vijana

    Habari ndugu mwana Jamii Forum, haswa wa Jukwaa la ‘Stories of Change’ ni matumaini yangu u mzima wa afya, karibu katika chapisho hili. Andiko hili litajikita katika kuelezea jinsi gani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yameweza kuleta athari pamoja na matokeo hasi katika jamii zetu, bila...
  17. Tanga: Watendaji Bodi ya Mkonge wahukumiwa kwa Matumizi mabaya ya Mamlaka

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga, Septemba 13, 2022 iliwahukumu Shabani Mapinda aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi na Imani Mduruma aliyekuwa Meneja wa Bodi ya Mkonge Nchini kifungo cha mwaka Mmoja jela kwa matumizi mabaya ya Mamlaka. Katika Shauri la Uhujumu Uchumi Namba ECC 06/2022, washtakiwa...
  18. Kalamu ya Mkali: Kuundwa kwa Kamati ya Mwigulu ni Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma

    HII NI HUJUMA NA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA WANANCHI. Hebu tutazame kiasi gani cha fedha zitafujwa kupitia hii Kamati kwa kitu ambacho jibu liko wazi,tozo ni "Poll Tax," kwa hiyo wananchi hawapaswi kutozwa,vitafutwe vyanzo vingine vya mapato,na vipo.. 1) Hao wajumbe 200 kila mmoja atalipwa...
  19. T

    SoC02 Wahadhiri wa Elimu ya juu na Matumizi mabaya ya ratiba za masomo

    WAHADHIRI WA ELIMU YA JUU NA MATUMIZI MABAYA YA RATIBA ZA MASOMO. UTANGULIZI; Kwa kawaida, miaka ya masomo kwa elimu ya juu huwa ina mihula miwili yaani muhula wa kwanza na wa pili wa masomo. Wahadhiri wengi wamekuwa wakitumia vibaya muda uliowekwa wa masomo na hivyo kupelekea malimbikizi...
  20. Rais Samia: Baadhi ya maafisa wa Polisi huiba mafuta ya Serikali kuendeshea vyombo vyao binafsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa/ Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, leo tarehe 30 Agosti, 2022 == Samia Suluhu Hassan amesema anazo taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…