KATA ya Mzingani, Tanga, nyumbani kwa Ali Mohammed Kibao, ni eneo la tukio. Watu wanazomea, makofi yanapigwa na mayowe ya kushangilia. Ajabu, mkusanyiko ni wa msiba. Shughuli ni mazishi.
Ali ndiye kichwa cha habari cha msiba. Amefariki dunia. Mazingira ya kifo yanaogofya kupita kiasi. Ali...