matonya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia amkabidhi nyumba ya kuishi mwananchi wa kata ya Ilomba mtaa wa Matonya

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson amefanya ziara katika kata ya Ilomba ambapo amewatembelea na kuwapa tabasamu watu wenye ulemavu na wanaoishi kwenye mazingira hatarishi. Dkt. Tulia amekabidhi...
  2. JamiiForums Tanzania Matonya: Nimelaani vikali kupewa kesi ya ubakaji

    Matonya amesema "inamuumiza sana na siwezi kuisema kiukubwa lakini naweza kusema hiyo picha mbaya ya ubakaji ndio inaniumiza zaidi kwa kweli walioamua kuiweka hivyo au kuipanga hivyo mpaka ikanikuta nipo kwenye gereza la Shimo La Tewa nimelaani vikali sana na Mwenyezi Mungu namuomba sana...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Matonya aachiwa kwa Dhamana baada ya kukaa Gerezani siku 20 kwa tuhuma za ubakaji Mombasa

    Mwimbaji wa Tanzania Matonya ameachiwa huru kutoka gereza la Shimo La Tewa lililopo Mombasa, ambako alikuwa akishikiliwa kwa takriban siku 20 kufuatia tuhuma za ubakaji. Msanii huyo, ambaye amekanusha vikali tuhuma hizo, amepewa dhamana baada ya kutimiza masharti ya bondi ya shilingi 500,000 za...
  4. JamiiForums Tanzania Matonya aendelea kusota rumande Kenya, amlilia Diamond Platnum amsaidie

    Wakati Msanii mkongwe wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania, Sefu Shabani, maarufu kama Matonya akiendelea kushikiliwa na mkono wa sheria huko nchini Kenya, ndugu wa karibu anayefahamika kama Omary ambaye yuko nchini Kenya ameelezea kukwama kwa mawasiliano na kuomba msaada wa haraka kutoka kwa...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo Fleva Sensation And Vaileti Hit Maker Matonya Charged With Rape In Kenya

    Tanzanian musician Sefu Shabani, better known by his stage name Matonya, has been detained in Kenya after being accused of rape. According to a statement released on X by Kenya's Director of Public Prosecutions (DPP), the 43-year-old disputed the charge when he appeared in court in the seaside...
  6. F

    JamiiForums Tanzania matonya mwanamziki

    Aliyeimba nyimbo vaileti ameshikwa kenya kwa kosa la kunajisi msichana .Angenunua papuchi badala ya kunajisi wauzaji(kahaba) ni wengi na bei ni kati ya 200 to 2000 za kenya.Sasa huenda atafungwa miaka mingi kama 20.
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msanii wa Tanzania Matonya Afikishwa Mahakamani Mombasa kwa Tuhuma za Unyanyasaji wa Kijinsia

    Msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania, Matonya, amekamatwa na kufikishwa mahakamani mjini Mombasa akituhumiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia, katika kesi iliyozua mjadala mkubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki. Matonya, ambaye jina lake halisi ni Sefu Shabani Ramadhan, alifikishwa mbele...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Matonya ashtakiwa kwa ubakaji nchini Kenya

    Msanii wa Bongo Flava, Matonya (Sefu Shabani Ramadhan), amefunguliwa mashtaka ya ubakaji mjini Mombasa, Kenya kufuatia tukio linalodaiwa kutokea Aprili 7, 2026. Matonya, anayejulikana kwa nyimbo kama “Vaileti” na “Anita”, alikanusha mashtaka hayo mahakamani na kuachiwa kwa dhamana ya shilingi...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna video inamuonesha anayesadikika kuwa ni yule Vaileth wa Matonya akiwa katika hali mbaya na uraibu

  10. JamiiForums Tanzania Doreen Kissia: Serikali ituletee umeme katika Mgodi wa Ikombo Hill - Kijiji cha Matonya (Mpwapwa) ili kupunguza gharama kubwa za uendeshaji

    Mmiliki wa mgodi wa Ikombo Hill uliopo katika Kijiji cha Matonya, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Bi. Doreen Kissia, ameibuka kuwa mfano wa kuigwa katika sekta ya uchimbaji wa madini ya shaba, akiwa mwanamke pekee anayeongoza mgodi unaotoa ajira kwa zaidi ya asilimia 98 ya wakazi wa vijiji vya...
  11. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Matonya “bado ni kiza” ufanyiwe remix wakati wake muhimu ni sasa

    Hii nyimbo kwa wanao ifahamu ilikuwa nyimbo ya maana sana. Anasema Bado ni kiza na marashi ya dunia hayasikii anajihisi yupo kuzimu anaishangaa sayali hii, iliyojawa wanasiasa, Vicheche na wasanii. Kuna jumbe nyingi sana na ata mwalimu Nyerere huko aliko lazima yupo anashangaa sana kuhusu hii...
  12. JamiiForums Tanzania Huu uzi uwafikie wale matonya wote wanaopambania kupata vocha za bure

    Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100. FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa jasho na kufanya kazi. Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
  13. JamiiForums Tanzania Matonya alivunja katiba ya bongo flava, hakushitakiwa

    Masterplan ya Tanga kuitawala Bongo Flava, ilianza kwa kutambulisha silaha yao ya maangamizi "Matonya", ambaye kinyonge, alilia “Uaminifu” akimshirikisha Bwana Misosi. Jamhuri yote ya Bongo Flava ilisaluti talanta ya Matonya. Halafu akapotea masikioni mwa watu. Tanga ikachekwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…