matokeo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Bunge ni matokeo ya Bunge kujaa wafanyabiashara tuwapunguze akina Shabiby, Nchambi, Abood, Musukuma n.k

    Bunge la Tanzania la awamu iliyopita lilikuwa dhaifu, CAG alisema, Makonda alisema, wapinzani wamesema sana. Makundi mbalimbali ya wananchi wanasema pia. Udhaifu wa Bunge ilikuwa ni matokeo ya kupeleka bungeni wabunge wanaoangalia masilahi yao na siyo kwamba ni wabunge dhaifu. Wabunge...
  2. JamiiForums Tanzania Course Gani nzuri kusoma kuanzia Certificate kwa matokeo haya?

    Mdogo wangu amemaliza kidato cha nne na kupata DvsnIII 25 CIVICS - 'C' HISTORY - 'C' GEOGRAPHY - 'C' KISWAHILI- 'C' ENGLISH - 'D' BIOLOGY - 'D' B/MATH - 'F' tukasubiria labda anaweza kupata selection ya Advance lakin hajachaguliwa, baada ya kushindikana hapo tukaona bas sio vibaya ikiwa ataenda...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Mtikila kufungua kesi ya Mgombea Binafsi, Tundu Lissu kufungua kesi kuhoji ni kwanini matokeo ya Urais hayapingwi Mahakamani!

    Tayari mpango mzuri na wenye maana kubwa sana katika Taifa letu unaendelea kuandaliwa. Uchaguzi wa Mwaka 2020 utakapokamilika tu na iwapo CCM watakuwa wameshinda kuna kesi itafunguliwa kwa umakini wa hali ya juu kuhusu kwa nini matokeo ya Urais hayapingwi Mahakamani. Kinachozuiwa nchini mwetu...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Mutharika: Amewataka wafuasi wake kupuuza matokeo yanayosambazwa na vyombo vya habari

    Ijapokuwa tume ya uchaguzi ya Malawi MEC bado haujatangaza matokeo ya uchaguzi wa urais uliorudiwa , ishara za mapema zinaonesha kwamba rais Peter Mutharika yuko nyuma ya mpinzani wake mkuu Lazarus Chakwera. Kulingana na mgombea mwenza Atupele Muluzi, ambaye alisema kwamba ametumwa na Mutharika...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoto hutenegezwa na Mungu kama EPSODE na si matokeo ya tukiwazacho mchana. Mungu yupo!

    Ndoto hutengenezwa na Mungu kama vile tamthilia ndiyo maana unaweza kuota ndani ya usiku moja matukio yote ukiwa darasa la kwanza na umbo na umri ukiwa mdogo, ukafaulu na kuingia sekondari umbo na kimo kikiongezeka hadi chuo kikuu, hapo ndipo unapoprove maisha yetu yameandikwa ktk kiganja cha...
  6. JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu nchini Malawi?

    Siku ya Jumanne ya terehe 23/06/2020 Wananchi nchini Malawi, walipiga kura katika uchaguzi wa marudio, baada ya yale ya awali yaliyompa ushindi Rais aliyeko madarakani, Peter Mutharika, kutenguliwa na Mahakama ya kikatiba nchini humo. Tukumbuke kuwa Peter Mutharika alitangazwa na Tume ya Taifa...
  7. JamiiForums Tanzania Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0. Toka jana Mzee katuonesha na Coach amekubali tufuate Masharti

    Wanayanga msiwe na mashaka Hatimaye kocha mzungu kakubali tuendelee na mila zetu. Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0. Hii itatuweka nafasi nzuri katika kuusakama Ubingwa. Simba wanaenda Poteza Mechi 5 nasi mkakati wetu ni kushinda mechi zote. Tumerudi kushirikiana na KAMATI YA WAZEE.
  8. JamiiForums Tanzania Wakopeshaji umiza kwa watumishi wa umma ni matokeo ya sera za CCM

    Mara kwa Mara ukiiangalia taarifa za habari utakutana na watu wanaoitwa wakopeshaji umiza. Hawa ni shylocks kwa lugha ya Kiingereza au ukipenda waite "mashailoki". Hawa jamaa wanawakopesha watumishi wa uma kwa masharti makali na ya aibu mno. Kwanza riba ni kubwa sana inaanzia 40%+ lakini pia...
  9. JamiiForums Tanzania Kila binadamu anastahili heshima kwa sababu ya ubinadamu wake: Mengine ni matokeo ya heshima na ama dharau

    Wakuu heshima kwenu. Niende kwenye somo tajwa hapo juu, leo mishale ya saa tisa alasiri mjini morogoro nilianzia Safar kuja jijini Dsm(jiji la Makonda). Tukiwa tumetoka mwezi mtukufu hata matendo yetu sisi kina meko yamenywea, nilipata siti moja na mrembo mmoja, sikutaka kuongea nae chochote...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Umezuia matokeo unataka nishani ya heshima kweli?

    Kuna mambo yanatafakarisha sana. Hivi kweli katika hali ya kawaida unazuwia data na kufuta kila aina ya uchunguzi. Alafuanatokea Taasisi auchombo kina liamuru Bunge kutoa nishani kwa kiongozi kwa kukabiliana vyema na hathari za Covid 19. Mimi nadhani kuna mahali tumepotoka kama taifa. Kiufupi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

    Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo. Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa...
  12. JamiiForums Tanzania Chadema imekosa hoja za kupambana na CCM na kwa mantiki hii wamekubali matokeo mapema

    Wahenga walishasema asiyekubali kushindwa si mshindani. Ila kukubali kushindwa hata kabla mtanange haujapigwa ni ishara mbaya sana. Chadema kama chama kikuu cha upinzani sasa kinaonyesha dalili zote kuwa kimenyoosha mikono juu. Kama ni vitani sasa wameka silaha chini na wameshakuwa mateka...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi unavyoishi ndiyo matokeo ya afya yako

    Mwezi January maisha yalikuwa tofauti na yalivyo sasa. Covid-19 tuliisikia tu kama hadithi kutoka Wahuan. Nilialikwa kwenye tafrija moja. Nilikutana na mwanaume wa Kitanzania, ni Mhandisi kitaalauma. Yule bwana anavutia sana, hana tumbo na kwa jinsi alivyopangilia mavazi yake, zaidi ya mvi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Mbowe anachanganya kwa pamoja madaraka ya KUB na Mwenyekiti wa Chadema na matokeo yake ni kutenda Uonezi!

    Kuna wakati Zitto akiwa Chadema aliwaeleza madhara ya kuweka kanuni inayomfanya mwenyekiti wa Chadema kuwa KUB iwapo ni mbunge na chama kimepata ridhaa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani. Madhara yake ndio haya tunayoyashuhudia sasa. Binafsi sikumbuki kama kuna kikao halali iwe halmashauri kuu...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matokeo ya Lockdown Kenya

  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi. Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Siasa kwenye Corona ni matokeo ya zuio la mikutano ya vyama vya siasa, wanasiasa wana " kiu" ya kuongea chochote wajulikane uwepo wao!

    Kuna baadhi ya vyama vya siasa vinatumia janga hili la Corona kutukumbusha kuwa na wao wapo baada ya kuwa wamesahaulika kwa miaka 5. Kwa sasa Corona inazungumzwa zaidi na wanasiasa kuliko wataalamu hali inayofanya hata mapokeo yake kwa baadhi ya watu kuwa na mrengo wa kisiasa. Hii haina afya...
  18. JamiiForums Tanzania Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo amethibitika kuwa ana maambukizi ya Virusi vya Corona. Amesema mbunge huyo anaendelea vizuri na Serikali inaendelea kumuangalia na kumpatia matibabu stahiki. Kwa mujibu wa maelezo ya mbunge huyo...
  19. JamiiForums Tanzania Hili janga litapita, lakini tuchukue hatua madhubuti

    Kwa sasa tunajua kuwa Dunia nzima tunapita katika mtihani mkubwa wa ugonjwa wa COVID_19. Kila nchi inahangaika kutafuta majibu ya changamoto hii. Mashirika ya kiserikali na asasi za kiraia zinajitahidi katika kutoa maelekezo na kupendekeza mbinu mbali mbali za kujikinga. Nchini kwetu kama...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ataka matokeo ya Urais yahojiwe Mahakamani

    Kauli hiyo ya kishujaa ameitoa ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akichangia kwenye bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu Pamoja na hilo pia amependekeza umuhimu wa kuwa na Tume huru ya uchaguzi , ambapo amedai kwamba pamoja na yeye kushinda kwa kishindo kwenye nafasi ya ubunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…