Je haya ni matokeo ya Septemba mosi 2019?

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,767
4,035
Wanajamvi,
Kama tujuavyo, Septemba mosi 2019, mkuu alikutana na na watendaji wa kata zote nchi, je haya yanayotendeka sasa kuhusiana na huu uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika siku za hapa usoni ni moja ya maazimio na maagizo waliyopewa hawa watendaji?

Inasikitisha sana mambo yanayoendelea, tamisemi imeshindwa kutoa majibuya kujitosheleza. Wamebaki wakisema kama mtu ajaridhika, basi akate rufaa. Je wanashindwa kushughulikia/kuzuia tatizo, je likishatokea ndo wataweza kulishugulilikia? Hizo rufaa zitatupwa hadi 2025.
Nawasilisha
 
Unataka kusema haya ni maelekezo ya Rais??? Yeye anahusika vipi hapo?
 
Back
Top Bottom