Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema Mtambo huo utazimwa Januari 11, 2023 saa 12 asubuhi ili kufanya matengenezo ya Mabomba Makubwa ya Inchi 48 na 36 eneo la Mlandizi na Visiga.
Maeneo yatakayokosa Maji ni Chalinze, Mboga, Ruvu Darajani, Ruvu JKT, Vigwaza...