matendo

Conquest of the Crystal Palace, known in Japan as Matendōji (魔天童子 (まてんどうじ), Demon Heaven Boy) is a 1990 Nintendo Entertainment System platform game developed by Quest and published by Asmik Corporation of America (subsidiary of J:COM).

View More On Wikipedia.org
  1. Heci

    Umeua ili kutamalaki, hongera sana. Baada ya kichambo sinagogini ndio unajidai unatenda matendo ya huruma?

    Kuna vitu vinafanana sana lakini viko mbali kabisa. Hekima imefanana sana busara lakini ni vitu viwili tofauti. Hekima ni karma ya Roho Mtakatifu, inatoka kwa Mungu. Busara ni akili ya kibinadamu iliyojaa maneno matamu na ya kilaghai ili kuufarahisha umma, busara haina suluhisho la kudumu Bali...
  2. Pdidy

    Trafiki Kawe/na polisi kanzu wanahitaji kubadilishwa haraka kwa tuliowaona leo tena mbele ya kituo

    Inasikitisha sana sana anyway Mnamu saa tano asbh tar 18 feb Traffic mmoja mwembamba akishirikiana na wenzie watatu wakiwa mbele ya kituo cha polisi kawe walianza kukamata pikpik.. toyo... na bajaji Hatujakataa kukamata njia walizotumia ni hatarishi mh rto hata rc wetu aliepita alipiga...
  3. R

    Polisi nanyi hamuaminiki milele, taarifa hii hakuna mwenye akili anaweza kuiamini kutokana na matendo ya kuteka watu na kusema hamuhusiki

    Polisi hamuaminiki. Mmeteka watu maelfu mnasema hamihusiki, at the end of the day inafahamika pasi shaka kuwa you are the CULPRITS. Soka yuko wapi wakati aliripoti Chang'ombe na mkasema hamuhusiki.
  4. Genius Man

    Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao

    Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao. Hatutawaacha wala kukubali upumbavu wowote kwa naman yoyote ile.
  5. ELI COHEN

    Ponografia inakufundisha kuwa ngono ni burudani, nina uhakika hii ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa ufuska na watu kufanyiana matendo ya kinyaa

    Ok, hakuna jipya katika dunia, lakini sometime back matendo ya ngono yalikuwa faragha na ngono haikuwa hyped namna hii, ngono ilionekana kama jambo la siri, aibu na muda mwingine sacred. Ila sasa hivi binti wa miaka 19 ndio anakufundisha style, kijana wa kiume ameruka na mademu wee hadi...
  6. adriz

    Kwa nini wavuta bange wengi ni wahuni , matendo na akili zao zimepinda ?

    Moja kwa moja. Kwa utafiti usio rasmi ; Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo ...
  7. Smartkahn

    Mwanasiasa yeyote, Hakikisha unajua hesabu ya Matendo na maneno yako kabla hujazungumza

    Tunatarajia kushuhudia mwanasiasa hasa yule mashuhuri(public figure), kuzungumza hoja zilizofanyiwa utafiti na zikathibitishwa kwa uchambuzi wa kina na scope pana. Weledi katika hutuba unahitajika sana, kamwe usije ukajitolea tu maneno kichwani mwako utaharibu mambo. Hayohayo maneno unayotamka...
  8. DMmasi

    Mnyang'anyi na matendo halali

    Salam Tunajenga tabia kisha tabia zinatujenga, naam uko msemo wa mtaani unasema "mwizi akiibiwa anaumia zaidi ya mtafutaji halali" labda ni sahihi sababu njia anayotumia kujitafutia ameshaibariki kama tendo halali la kujipatia umiliki. Wanyang'anyi, ndio hawa kwa matendo yao na ukwapuzi wao...
  9. Pakome

    Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini

    Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini Mataifa yote duniani huwa yanapambana kuongeza idadi ya matajiri ili kiwango cha umasikini kishuke ikiwezekana kuondoka Taifa lolote duniani linakua haraka endapo idadi ya maskini ni...
  10. R

    Tuomboleze vifo vya wenzetu kwa matendo na si maneno

    Tusiomboleze wenzetu kwa maneno, tufanye vitendo Wamekufa kwa sababu yetu, walitaka sisi wote tuishi kwenye nchi nzuri yenye uchaguzi huru na wa haki, uhuru wa vyombo vya habari, utawala wa sheria na sio amri za watu binafsi wanaojipa nchi kua mali zao, uwajibikaji wa viongozi na kuheshimu haki...
  11. The Father of All

    CCM looh CCM kitendawili katima maana na matendo!!!

    CCM, kwa sasa, inaweza kuwakilisha vitu vingi mfano: Chama cha mauaji Chama cha machawa Chama cha manywinywinywi Chama cha mafisadi Chama cha Matapeli Chama cha maimla Chama cha mamluki Chama cha mazwazwa Chama cha majambazi Chama cha magabacholi Chama cha maajabu Chama cha madhambi Chama cha...
  12. H

    Watawala wa Tanzania, viongozi wa CCM na WanaCCM, Wanaimba Amani na Umoja, Lakini Mioyo na Matendo Yao Yanadhihirisha Walivyojaa Ushetani na Uharamia

    Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM. Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
  13. Magufuli 05

    Si kila mtu anapaswa kutembelea kaburi la Mwl. Nyerere,wengine ni wachafu kwa matendo

    Imekuwa ni fashion kwa wanasiasa kila anayekwenda Mara lazima aende kwenye kaburi la Nyerere. Imekuwa ni kasumba ya kwenda kujikosha ionekane kwamba wanafuata misingi ya Mwalimu. Lakini hebu niwaulize swali nyinyi mnakwenda hapo. 1. Je matendo yenu na ya Mwalimu Nyerere yanaendana? 2. Je falsafa...
  14. K

    Naamini Viongozi wote huwa wanaenda kusali au kuswali,je haya matendo yenu mnayoyafanya huwa mnaonekana vipi na waumini?

    Nakumbuka siku zile kuna mtu alikaa kimya kwa utulivu huku akiombewa na Mchungaji Mwamposa,naamini hata huko msikitini huwa anaomba Vivyo hivyo tulimuona na kikweta naye akiwa kanisani ingawa hatujui kama aliombewa Hapa nataka kusema hakuna kitu kibaya kama kumdhihaki Mungu,najua watu wengi...
  15. Just Pray

    GE2025 Eric Shigongo: Buchosa tulikuwa tunasafiri masaa tisa hadi Mwanza, sina pesa za kugawa mnihukumu kwa matendo yangu

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa barabara za sasa ni bora zaidi kuliko za miaka iliyopita, ambapo zamani ilichukua hadi saa 9 kusafiri kutoka Buchosa hadi Mwanza Mjini. Shigongo ameongeza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake, mapato ya halmashauri yameongezeka na...
  16. McLaren

    GE2025 Musiba: Kama kuna mtu yeyote nilimkosea, naomba anisamehe. Ule ulikuwa ni ujana

    Wakuu, Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi. Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu. Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo...
  17. Poppy Hatonn

    Karma : Jinsi matendo maovu na mema yanavyolipwa

    Mtu akifanya makosa anapelekwa motoni Jehanam zipo nane; Reviving,Black Line, Crushing, Howling, Great Howling,Heat, Intense Heat,na Ultimate Torment Wauawaji wanapelekwa Reviving Hell. Hawa ndio wauaji waliomuua mtu mstaarabu. Kuzunguka hii Reving Heli zipo hell nyingine. Kwamba Ile...
  18. Brain Kingdom

    Je, Utekaji, kupoteza na kuua viumbe wa Mungu ni dhambi ambayo inaweza kurithiwa na vizazi vya wanaotenda matendo hayo?

    Ndugu wanajamii, binadamu, jamii na mataifa yote kwa ujumla, naomba kwa dhati ya moyo mkunjufu mnisaidie majibu. Je, matendo yangu maovu yanaweza kugeuka kuwa sehemu ya uzao wangu na ukawa intra na inter generational, dhana ile intergenitic DNA. Nimewaza hivi baada ya kusikia na kuona...
  19. Carlos The Jackal

    Huwezi Mtenganisha MULIRO na Matendo ya kiovu yanayoendelea Nchini. Maelezo yake ynaonyesha pia kuwa Jeshi la Polisi limeshindwa KAZI ya kulinda Taifa

    Huyu Jamaa kama ni Roho mbaya, basi ni Shetani ,amejawa Kiburi, jeuri ya Mamlaka kiasi kwamba Licha ya kua anajua anaongea Upumbavu anaelewa fika hamna wa Kumfanya kitu chochote. Huyu Jamaa kama tutapata Taarifa zake Binafsi za Akaunti za Benki ni wazi atakua na Mabilioni Kadhaa ya Fedha ...
  20. KING MIDAS

    Matendo ya ukiukwaji wa haki za binadamu yanafanya watu wawachukie sana watu wanaojipendekeza kwa watu dhalimu. Mrisho Mpoto kapatwa na ujumbe mzito

    Ona alichojibiwa CHAWA kindakindaki Mrisho Mpoto
Back
Top Bottom