matangazo

  1. JamiiForums Tanzania Waajiri acheni utapeli wa kutoa matangazo ya ajira Kwa Vijana bila kuweka wazi kiwango cha mshahara

    Yaani unataka mtu awe na degree, experience ya miaka kibao, skills za kutosha, afanye kazi under pressure, lakini kwenye mshahara unaweka kimya Boss, unatafuta mfanyakazi au unatafuta mtu wa kujitolea? Kama ni siri sema! Wekeni hata salary range basi, watu wajipime kabla hawajapoteza muda na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania BAKHRESA acha kutuibia watanzania Sinema zetu tumelipia ila imejaa matangazo, kila baada ya dk 5 matangazo, huu ni wizi. TCRA mko wapi? Basi iwe bure

    Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2. Hii channel mtu amejipinda amelipia sh 12,000 kwa mwezi. Ni kipindi cha saa 1 moja...
  3. JamiiForums Tanzania MATANGAZO YA TAHADHARI YA EL NIÑO YANATUTIA HOFU BADALA YA KUTUPA MAJIBU YA KUFANYA

    Matangazo ya mara kwa mara kuhusu El Niño yameanza kuwapa hofu baadhi ya wananchi. Wakati mwingine mtu anafikia hatua ya kusita hata kufanya mambo ya msingi kwa sababu anawaza, “Itakuwaje?” Maana ukweli ni kwamba, nyumba nyingi tunazoishi ni za hali ya kawaida tu na si kila mtu ana uwezo wa...
  4. JamiiForums Tanzania China yaanzisha utaratibu wa kuwasherehekea wanasayansi kwenye mbao za matangazo

    Wakati watawala wetu wanahangaika na kina Pipitida, Mwijaku na Dotto Magari Wachina wao wameuamua kuwatrendisha wanasayansi ili kuwahamasisha watoto na vijana wao kujikita kwenye Sayansi zaidi.
  5. JamiiForums Tanzania Biashara matangazo jamani

    Karibu, mkatiwe Tango Financial Analyst Chizi Maarifa loose Nut secretarybird joex
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini makampuni ya simu mmeruhusu kusajili line za matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation, ili wawatapeli wananchi?

    Vodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
  7. JamiiForums Tanzania Matangazo ya uongo ya uwekezaji yanayodai kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika soko la hisa DSE

    TAARIFA KWA UMMA DSE imebaini matangazo bandia ya uwekezaji yanayodai kwa uongo kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika DSE. Matangazo haya HAYAJARUHUSIWA wala KUIDHINISHWA na DSE Usibofye. Usishiriki. Usitume pesa. Daima hakiki taarifa za uwekezaji kupitia tovuti rasmi ya DSE na kurasa...
  8. JamiiForums Tanzania Matangazo ya Betting yadhibitiwe

    Tasnia ya michezo ya bahati nasibu imezidi kuimarika Tanzania ikitajwa kushika number 6 barani africa. Pamoja na mafanikio yanayoweza kupatikana kwa uwekezaji na kodi , biashara hii inatakiwa kufanywa kwa tadhari na udhibiti. Kikawaida michezo hii haipaswi kuchezwa na watoto under 18 lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Operesheni ya kuondoa Spika za matangazo Kariakoo Yaiva!

    Jiji la Dar es Salaam limeanza rasmi operesheni ya kuondoa spika za matangazo ya biashara zinazotajwa kusababisha kelele katika maeneo mbalimbali ya biashara, hususan Kariakoo, kwa lengo la kurejesha utulivu na kuboresha mazingira ya wafanyabiashara pamoja na wanunuzi. Hatua hiyo inalenga...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tumia haya maneno Manne kwenye matangazo yako ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua fulani

    Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu ya Mananuzi,kununua Bidhaa zako nk LAKINI Leo nitamalizia maneno mengine matatu ya kuyatumia...
  11. JamiiForums Tanzania Azam media wapo biased sana kwenye matangazo yao, kila siku ni marudio ya Highlights za Feisal tu

    Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ambayo inamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya kupata kibali

    Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa waziri wa afya au ofisa aliyeidhinishwa na waziri. Kauli hiyo imeolewa bungeni leo Na Naibu Waziri wa Afya...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna Group FB linaitwa “Mabaharia Sailors SA” la Watanzania waliopo South. Aisee, kila siku matangazo ya mwili unarudishwa Tanzania

    Katika pitapita feeds za Facebook nilikuta a na ili group: [MABAHARIA(sailors)SOUTH AFRICA. Sijakosea kuandika, linaitwa ivo ivo, lina member kama Elfu 50+ na liko Active kinoma. Katika kusoma soma nilikutana na admin wao anaitwa MohamediT Msangi, aisee jamaa kila siku anatangaza Mtanzania...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kumshawishi mtu afanye kitu unachokitaka kwenye Matangazo Yako, ujumbe wako nk kwa kutumia maneno haya matano

    Rafki mpendwa Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua Twende pamoja Neno la kwanza ni Neno WEWE Hili neno wewe Lina Nguvu zaidi kwenye Ushawishi kwa sababu Binadamu...
  15. JamiiForums Tanzania Usikose! Matangazo ya Moja kwa Moja Ikulu

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz #TanzaniaYetuSote #NchiYetuKwanza #MaendeleoEndelevu
  16. JamiiForums Tanzania Serikali kuanza 'kuchunguza' matangazo ya massage mitandaoni

    Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, imeanza kufuatilia kwa kina malalamiko ya wananchi kuhusu matangazo ya huduma za massage yanayosambazwa mitandaoni, hususan Instagram. Waziri Dkt. Dorothy Gwajima ameeleza kuwa hatua hiyo inakuja baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ni watu maarufu wanasilimu kwa kasi bongo au watu kusilimu huambatana na kampeni kubwa ya matangazo?

    Wabillahi taufiq, Nimeona taarifa za kusilimu kwa watu maarufu wa mitandaoni bongo hivi karibuni, kuanzia Pierre Liquid, Snura majanga na Gigy money. Watu wakisilimu taarifa zao hujaza sana mitandaoni kuanzia kusilimu kwao, kufunga ndoa za Kiislamu na kwenda kuhiji Mecca. Sijawahi kuona...
  18. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  19. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna biashara za kutangaza kwenye mabango ya matangazo ya miji?

    Ukitembea miji na majiji karibia yote sasa hivi kuanzia Dar es Salaam na kwingine mabango ya matangazo barabarani bado yamejaa matangazo ya CCM ya uchaguzi ya Chagua Samia, October Tunatiki n.k Hii ni baada ya miezi matatu ya kile CCM walichojiaminisha ni uchaguzi. Uwepo wa matangazo ya CCM ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…