matangazo

  1. Yoda

    Ni watu maarufu wanasilimu kwa kasi bongo au watu kusilimu huambatana na kampeni kubwa ya matangazo?

    Wabillahi taufiq, Nimeona taarifa za kusilimu kwa watu maarufu wa mitandaoni bongo hivi karibuni, kuanzia Pierre Liquid, Snura majanga na Gigy money. Watu wakisilimu taarifa zao hujaza sana mitandaoni kuanzia kusilimu kwao, kufunga ndoa za Kiislamu na kwenda kuhiji Mecca. Sijawahi kuona...
  2. Pakome

    Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  3. Pakome

    Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  4. Yoda

    Hakuna biashara za kutangaza kwenye mabango ya matangazo ya miji?

    Ukitembea miji na majiji karibia yote sasa hivi kuanzia Dar es Salaam na kwingine mabango ya matangazo barabarani bado yamejaa matangazo ya CCM ya uchaguzi ya Chagua Samia, October Tunatiki n.k Hii ni baada ya miezi matatu ya kile CCM walichojiaminisha ni uchaguzi. Uwepo wa matangazo ya CCM ya...
  5. Fbn

    Tanesco sasa mnaleta matangazo pika kwa umeme unit ndogo mumeshindwa kupunguza bei za unit na kuboresha umeme.

    Sio mpenzi sana wa TV ,Leo tarehe 2 nipo nyumbani nikaona niangalie habari ITV. Sasa naona tangazo la Tanesco linaitwa pika kwa umeme,Yani wanajisifu majiko yana tumia unit ndogo yana uzwa tanesco. Ina maana Tanesco wameshindwa kutatua shida za umeme kufanya umeme kununulika kwa unit ndogo...
  6. Fbn

    Kuna matangazo mengi ya mtandaoni ya mikopo ila TCRA na BOT wanajua pesa waliolipwa kwa uongo na uchochezi.

    Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu. Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili. Embu tupate Futuhi ya watoa mikopo
  7. Fbn

    Hivi siku hizi Vodacom kwenye M-PESA inatuma matangazo ya michezo ya kubeti

    Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa. Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya. Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje uwe wa michezo wakati M-PESA sms ni kwa ajili ya jumbe za miamala.
  8. Munch wa Annabelle

    Anaesema TBC wanarusha matangazo yao HD huyo hana tofauti na taahira

    Embu kwanza nicheke Yani ni kituko kama unaangalia sinema za Dj mack Uzi tayari
  9. ChekoFagia

    PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
  10. Bawabu wa pili

    Wananchi wameanza kuandika matangazo ya maandamano ya D9 njia zote

    Wananchi wameanza kuandika matangazo ya maandamano njia zote za kuingia maemeo ya Ibada ili kesho watu wasome matangazo
  11. Criss

    Nimekutana na link za matangazo ya silaha. Je, ni mtego kwa raia au ndiyo washaingia?

    Tangu tarehe 02 November 2025 nimeanza kukutana na link za matangazo ya siraha. Bei zao nikuanzia laki moja hadi laki nane na elfu sitini za kitanzania. Mwanzo nilidhani watakuwa ni matapeli ,nilitamani kuwapuuza lakini akili ikaniambia hebu sogea nao mbele kidogo uujue ukweli . Nikaonyesha...
  12. Mafyangula

    GE2025 Baadhi ya maeneo ya Iringa kumetapakaa matangazo ya kuhamasisha watu kuandamana Oktoba 29, 2025

    Katika baadhi ya maeneo Mkoa wa Iringa kumeonekana matangazo yalibadikwa yakieleza au kuhamasisha maandamano ambayo yatafanyika Oktoba 29, 2025 ambapo pia siku hiyo itakuwa ni siku ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu! Katika hayo mabango yameeleza kwanini watu waandamane? Moja ya sehemu ambapo...
  13. H

    Airtel wamepunguza kutuma matangazo ya bure kwa wateja wake ila Yas, Vodacom,nk bado wana kiburi

    Ni wazi matangazo ya bure ya mitandao ya simu yanakera sana,sana,sana, yawe ya serikali au ya mtandao husika. Ni vyema kuwe na kipengele cha kukubali matangazo au kusitisha na kiwepo kipengele cha kuwajibu wote wanaotuma sms za bure zenye maslahi yao. Tcra msijiamini sana na mnapaswa kufungua...
  14. H

    GE2025 TCRA tunaomba msitishe sms za bure za TAKUKURU, INEC, nk laini tunazomiliki siyo kwaajili ya matangazo ya bure bali mawasiliano, acheni kiburi

    Tumechoka na kiburi chenu TCRA na makampuni ya somu haiwezekani sisi tununue simu na laini halafu nyie mpitishie matangazo yenu bure wakati sisi tunalipia bwana. Kila sekunde ni matangazo tu hadi chaji zinaisha hatulipwi chochote mnanifaika nyie tu sasa wekeni basi option ya matangazo mtu...
  15. OleWako

    Hivi Vodacom mnatuonaje kwa huu utapeli mnaojaribu kufanyia?

    Leo nilinunua kifurushi cha intaneti kwa njia ya mpesa. Muamala ukatoka freshi, intaneti ikashika. Ghafla nikaletewa ujumbe ukisema salio langu halitoshi nichukue mkopo wa Tsh. elfu 4!🤔🤔 Bahati nzuri nilicheki salio langu kabla sijaendelea, na lilikuwepo la kutosha! Utaratibu huu ni halali...
  16. H

    Biashara ni matangazo

    Tangazo
  17. Thinn

    Huduma za Graphics Designing. Tuwasiliane kama unahitaji huduma hizi kwa ajili ya biashara na matangazo.

    1. Uandaaji wa logo ya kampuni, biashara au huduma, lebo za bidhaa mbalimbali na muonekano wa vifungashio. 2. Uandaaji wa matangazo ya aina mbali mbali kwa ajili ya huduma, bidhaa au biashara yako. 3. Uandaaji wa tovuti kwa ajili ya biashara, huduma au bidhaa ulizo nazo. 4. Uandaaji na usimamizi...
  18. sway fast movers

    Huduma bora za kuhamisha ndani ya Tanzania na Afrika Mashariki

    Karibu huduma zetu za kuhamisha. Tupo Tanzania nzima na nchi za Afrika Mashariki: Uganda, Kenya na Burundi. Tunatoa huduma za kuhamisha makazi, kusafirisha na kupanga mizigo, kukodi gari, pamoja na wafanyakazi wa kusaidia. Pia tunakufungia AC, TV, dish, electric fence na mengineyo. Piga...
  19. Invisible

    TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya biashara yoyote au mawasiliano yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF wala...
  20. LIKUD

    Amini kwamba: Matangazo ya nje ( Out door adverts) yana impact kuwa zaidi kuliko matangazo ya mtandaoni ( Digital Adverts)

    Nianze kwa kutoa hongera kwa fans wangu wote ambao mlinimiss na ambao mmefurahi kuniona tena kwenye jukwaa hili pendwa. Back to the point. Amini kwamba matangazo ya nje ( Outdoor Adverts) ya na impact kubwa kuliko matangazo ya mtandaoni. Ndio maana kampuni kama JCDecaux ambao wameanza ku...
Back
Top Bottom