matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wazungu na matajiri hawaangushwi na mapepo?

    Nalikuwa kijana sasa ni mtu mzima sijawahi ona mzungu kaangushwa na mapepo ama tajiri akiombewa mapepo yamtoke! Walokole kwa aina zenu FPCT,TAG,UFUFUO,MUNGU WA BENDERA,MASANJA MKANDAMIZAJI CHURCH,GEODAVY CHURCH,MWAMPOSA CHURCH mtusaidie. Hao wenye mapepo ni ngumu sana kuwaona romani katoliki...
  2. JamiiForums Tanzania Matajiri wausiwa kudai nchi bora kutokana na ajali ya Anthony Joshua

    Haijalishi una utajiri kiasi gani binafsi kama Mnigeria, sote kwa pamoja ni maskini. Maskini sana. Hili unalielewa tu wakati wa dharura. Moto unazuka lakini hakuna huduma ya zimamoto. Ajali inatokea lakini hakuna huduma ya kwanza, hakuna gari la wagonjwa, hakuna mfumo. Leo, bingwa wa ndondi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Dangote vs Farouk na nafasi ya matajiri wetu katika vita dhidi ya rushwa

    Mvutano kati ya bilionea namba moja Afrika, Aliko Dangote dhidi ya Boss wa mamlaka ya usimamizi wa bidhaa za petrol Nigeria bwana Farouk ndio mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wiki hii. Kwakifupi sana, Dangote anamshutumu Farouk kuhujumu sera za nchi ya Nigeria kukuza uzalishaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanasema waandamanaji Wana wivu na matajiri, mbona Mo Dewij na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao?

    Kuna majitu yanasema waandamanaji wamefanya vurugu kuchoma masheli maduka magari eti kisa wivu Sasa najiuliza kama wivu mbona hawa matajiri mo na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao inakuaje nyie choka mbaya wenye viduka vya nguo na vya simu muchomewe na hao mafisadi wachomewe ujue mnatatizo...
  5. JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zasitisha safari kupisha kimoja kati ya uchaguzi au maandamano. Matajiri hawataki kuweka Mali Hatarini

  6. JamiiForums Tanzania Matajiri tunzeni hela. Ferrari ya kwanza ya umeme “Ferrari Elettrica“ inakuja soon!

    Kama Enzo Ferrari akifufuka leo, atalia kilio cha mbwa. Ferrari ni maarufu kwa v12 ila sasa it’s officially, wanakuja full EV. Jana, Ferrari wametangaza power terrain, battery na specs za EV yao ya kwanza wanayoiita “Ferrari Elettrica“! Itakuja na jumla ya motors nne, mbili mbele na mbili...
  7. JamiiForums Tanzania Inasemekana watu wengi wenye hii alama kwenye sikio wana hatma ya kuwa matajiri

  8. JamiiForums Tanzania Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia nyumba za Ibada na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya

    Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia Makanisani na Misikitini na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya Wanaongoza kutia huruma na kujiona wanateswa na kutendwa vibaya na kila mtu aliyeko mbele yao kwao ni mbaya Wanaongoza kukesha kwa Waganga...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri (watu waliofanikiwa) hudhani masikini ni wavivu?

    Kabla ya yote, kwanza pita katika Thread 'Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika' kisha ndo tukae kujadili title ya uzi huu hapo juu “Nikwanini Matajiri (Watu waliofanikiwa) Hudhani Masikini ni Wavivu?” Si Nasibu na Omari pekee ndio wamekuwa wakwanza...
  10. JamiiForums Tanzania MUHOOZI: KAGAME NA MUSEVENI NI MATAJIRI KULIKO ELONI MUSK HUYO ELON WENU NI MASIKINI KWA HAWA WAWILI

    Uzi tayari
  11. JamiiForums Tanzania Vita ya Akili Unde (AI) ni kubwa kati ya matajiri

    VITA YA AKILI UNDE (AI) NI KUBWA KATI YA MATAJIRI Kwa sasa bidhaa adhimu katika sekta ya teknolojia ni Akili Unde (AI) ambayo ukiitazama kwa umakini utaona kua dunia ijayo ni dunia itakayoendeshwa kwa Akili Unde karibu kila nyanja ya maisha ya binadamu. Hii ni fursa na ni changamoto mpya...
  12. JamiiForums Tanzania Tafiti Zinaonyesha 75% ya Matajiri Tanzania ni Wajasiliamali

    📊 TAFITI ZINAONESHA! ✅ 75% ni Wajasiriamali ✅ 15% ni Wawekezaji ✅ 7% ni Wanamichezo ✅ 3% ni Wasanii ❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu 👉 Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia sahihi ya kuelekea kwenye utajiri? Ni wakati wa kuanza kuwekeza, kuanzisha biashara, au kuongeza...
  13. JamiiForums Tanzania Matajiri watabaki kuwa Matajiri na Masikini wataendelea kuwa Masikini tu

    MTOTO WA MO AKIJIANDA KUENDESHA MALI ZA FAMILIA ZILIZO TAFUTWA TANGU ENZI ZA MABABU ZAKE HUKU MIMI NIKIJIANDAA KURITHI JINA NA UKOO NA LAANA WANAZO NIPA NDUGU AMBAO SIWAPIGII SIMU. Kitu kipekee Masikini anachorithi wazazi wakiwa hai ni Uchawi na Matatizo na wala sio mali
  14. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanin wapinzani dhaifu kiuchumi hususani Chadema masalia wanaumizwa sana na hali ya CCM kua na wanachama matajiri wa hoja, mali na fedha?

    Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu? My friends, ladies and gentleman, Chama cha siasa ambacho kimeshindwa na hakiwezi kujikomboa chenyewe kiuchumi kwa mikakati yake na hazina ya wanachama wake, kamwe...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Hili fungate la CCM na matajiri, subiri tuone

    Bila shaka kibwagizo cha wimbo tuliipenda wenyewe, kinaendelea kujidhihirisha kwa kasi ya 5G. Mungu atupatie uhai tushuhudie yatakayotokea nchini. HIVI NINI MAANA YA STATE CAPTURE?
  16. S

    JamiiForums Tanzania Sijaona lisilo la kweli alilosema Polepole; anzia CCM kukiuka katiba hadi kujiuza kwa matajiri

    Ukweli ni kwamba Polepole ameanza kunikumbusha enzi za Nyerere katika misimamo yake na kuonyesha anasimamia sheria na taratbu na miiko na maadili (integrity) katika uongozi. Sasa anazidi kujionyesha kuwa tofauti sana na genge la wahuni walioishika serikali na nchi kwa ujumla, na ni wazi...
  17. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe jinsi Hayati Magufuli alivyokataa pesa za Matajiri akiwemo Mzee Mengi katika kampeni zake

    Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe. Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje? Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kwa maskini na taifa matajiri wanapokuwa karibu sana na watawala

    Nimesthushwa sana humu jukwaani wanaoshabikia michango inayoitwa ya matajiri kukifadhili chama cha mapinduzi. Ukweli ni kwamba tajiri hata mara moja hata kwa bahati mbaya hajawahi kuwa na mapenzi mema kwa maskini Siku zote huwaza namna ya kumtumikisha na kumakuma huyu maskini hadi tone lake...
  19. JamiiForums Tanzania Orodha ya Watu 10 Matajiri zaidi Tanzania, Mo Dewji aongoza kwa Tsh. Trilioni 5.5

    Mtandao wa Billionaires.Africa umetaja majina ya watu 10 matajiri zaidi nchini Tanzania, ukizingatia vigezo vya uwekezaji, ushawishi, na mchango wao katika maendeleo ya uchumi wa taifa. Orodha hiyo, inaonyesha mabilionea hao wanatoka katika sekta mbalimbali zikiwemo viwanda, mawasiliano...
  20. JamiiForums Tanzania Siri wanazotumia matajiri wakubwa wa kariakoo kuendelea kuwa matajiri na kutoshikika

    SIRI WANAZOTUMIA MATAJIRI WAKUBWA WA KARIAKOO KUENDELEA KUWA MATAJIRI NA KUTOSHIKIKA Usipozijua utaendelea kuwashangaa Ukitaka kujua Tanzania kuna matajiri, Nenda kariakoo. Hizi ni baadhi ya siri tu wanatumia kuendelea kukuza utajiri wao... 1. Group Buying ya Nguvu wanaungana makundi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…