matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa tajiri kwa pesa za matajiri

    You can't start to be rich if you tagert money from rich people. To be rich target money from poor people. Poor people offer big market and demand. Because poor people are MANY and always are in NEED! Kibangubangu presents.
  2. JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimaro amelewa urafiki wake na matajiri

    Wasalaam JF, Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu. Yawezekana KKKT imemfanya Mch...
  3. JamiiForums Tanzania Mapambano ya matajiri wawili yakwamisha safari ya Yanga kurejea nyumbani

    Klabu ya Yanga ilikuwa jijini Lubumbashi kwa mechi yao ya mwisho na TP Mazembe na walitarajiwa kurejea nchini Tanzania juzi usiku. Hata hivyo, kulikuwa na vita ya kifamilia kati ya matajiri wawili jijini hapo. Tajiri namba moja wa Yanga, Ghalib Said Mohamed, alikuwa na faili zito la usajili...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo zinahangaika kujenga matundu ya choo hazipaswi kutoa msaada wa fedha kwa nchi matajiri duniani

    Tumesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari kuwa Tanzania imetoa dola za Kimarekani milioni moja (zaidi ya bilioni 2 na milioni 200) kwa Uturuki iliyopatwa na janga la tetemeko la ardhi mwezi ulliopita. Yapi Merkezi ni kampuni ya Kituruki inayojenga SGR kutoka Dar hadi Mwanza kwa zaidi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Wakati watoto wa masikini mnabishana kuhusu Simba na Yanga, matajiri na marafiki zao wanasiasa wanawagawia ajira nzuri watoto wao

    Nawakumbusha tu vijana. Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao. Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ifikirie kuwepo na siku ya Ugali Tanzania; watu wale ugali kama ishara ya kuenzi chakula hiki muhimu kilichokataliwa na wengi wenye mafanikio

    Kwenye maeneo yote yenye maendeleo aidha kwenye familia au jamii au walipokaa watu kwenye tafrija tunakutana na vyakula vifuatavyo; 1. Wali 2. Pilau 3. Viazi (chips) 4. Nyama 5. Ndizi nk Ugali umetengwa nakufanywa siyo chakula chakuliwa na watu maalumu. Sijajua tatizo ni chakula cha masikini au...
  7. JamiiForums Tanzania Warusi Matajiri wazidi kuongezeka licha ya Vikwazo

    THAMANI ya pamoja ya watu tajiri zaidi Urusi imeongezeka kwa dola bilioni 10.4 tangu Januari mwaka huu licha ya vikwazo vya Magharibi vilivyowekwa kwa wafanyabiashara wa nchi hiyo, Bloomberg imeripoti. Vladimir Potanin, mmiliki wa kampuni kubwa ya madini ya Norilsk Nickel, ameongoza kwa mara...
  8. JamiiForums Tanzania Wazee wa legacy wengi wao wanawachukia matajiri na ni mafukara wakubwa

    Wale wanaojifanya ni wazalendo na wazee wa legacy ya mwendazake wengi wao ni mafukara wakubwa. Wamepambana na maisha wamechoka na wamekata tamaa wamebaki kuwachukia matajiri wakihisi matajiri kama akina Rostam Aziz ndio wanaokula riziki zao. Aisee wazee pambaneni kama bado upo hai haina haja...
  9. JamiiForums Tanzania Zamani matajiri walitoa hela kwa masikini, sasa masikini wanawapa hela matajiri

    Nyakati zimebadilika kwelikweli, zamani mtu masikini alithaminiwa sana na kuonwa mtu wa kupewa msaada lakini sasa hali ni tofauti nahisi ubepari umeptiliza. Karne hii masikini anahenyeshwa kweli kweli siyo serikalini, kanisani wala msikitini matajiri wanazidi kutajirika masikini wanazidi kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Matajiri punguzeni Tambo mnatuua kisaikolojia vijana

    Elon Musk Jana amenipa hasira Sana ,yani kumbe sio wakina Diamond tu ,mo nawengine wengi kumbe mpaka majuu aisee punguzeni dozi hii matajiri mtatuua na mawazo
  11. M

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura umechelewa mno Kuliamua hili kwani 99% yao ni 'Matajiri' pengine hata Kukuzidi Wewe 'Boss' Wao

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camilius Wambura ametangaza kukifuta kikosi chote cha wakaguzi wa leseni za magari na watahini wa leseni na kuunda tume ya uchunguzi ili kuchunguza namna kikosi hicho kilivyokuwa kinatoa leseni kutokana na ongezeko la ajali za barabarani ambazo nyingi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

    Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu ! Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri. Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania 99% ya Viongozi, Mabosi Ofisini, Matajiri na Watu maarufu 'Wanarogwa' sana na mno na 'Chawa' wao

    Hakuna Chawa wa Kiongozi, Bosi, Tajiri au Mtu maarufu yoyote asiyezunguka kwa Waganga wa Kienyeji Kuroga ili asitoswe na awe anapiga Pesa za Bwerere.
  14. JamiiForums Tanzania Matajiri wa Qatar kuinunua Man United kwa £6b ambayo ni sawa na Tshs trilioni 16.9

    Kikundi cha wawekezaji kutoka Qatar wapo tayari kutoa ofa ya kuinunua Manchester United, ambayo haitowezwa kufikiwa na matajiri wengine wanaotaka kuinunua timu hiyo. Familiya ya Glazer, ambao ndio wa miliki wa klabu hiyo wanataka kuiuza kablu hiyo katikati mwa mwezi huu wa February. Mtandao...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nini haki ya mtoto pale makazi ya wazazi wao yanapobomolewa na Serikali?

    Serikali inapoamua kuchukua hatua dhidi ya masikini iweke usawa kama wanavyochukua Kwa matajiri. Tanzania hakuna tajiri anayekaa mahabusu, hakuna tajiri anayesota mahakamani, hakuna tajiri anayebomolewa nyumba Bila taratibu Kwa Sababu atadai fidia...Ila masikini Hadi huruma. Na pale tajiri...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi huyu jamaa anajiita Chief Godlove kwani hakuna sheria inayokataza kutukana mitandaoni? Yeye Kila siku Ni kutukana watu wasio matajiri

    Huyu jamaa mda wote ni kutukana watu wote wasio na kipato kama yeye. Kazi ni kupost magari na nyumba anazopigia picha. Anakera sana. Sio uungwana kama ni fedha ni zako sie zinatuhusu nini?
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tutengeneze matajiri wetu sisi wenyewe kwa makusudi kabisa

    Habari ndugu zangu, Naishauri serikali iweke vipaumbele vya kutengeneza matajiri wazawa weusi wenye asili ya ndani ya nchi tokea enzi za mababu. Mfano kama kwa Nigeria alivo Aliko Dangete,au hapa kwetu the Late Reginald Mengi. Hii Ina maana kubwa sana kwa nchi. Leo hii tajiri namba moja...
  18. JamiiForums Tanzania DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wawaondoe Mawakili wote waliohusika na plea-bargaining, wataingilia uchunguzi!

    Nadhani pamoja na kuufumua mfumo wa haki jinai, haya mambo yasiishie hapo. Ofisi ya DPP na Mwanasheria Mkuu wawaondoe mawakili wote waliokuwa wakifanya kazi ya kishetani pale kisutu na nchini kote, wawe desk officers ili wasiingilie uchunguzi. Hawa watu ni matajiri wakubwa kwa Sasa, na baadhi...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

    Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia. Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana. Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Watu 10 matajiri zaidi Duniani

    Kupitia jarida la World of Statistics limetoa orodha ya watu matajiri zaidi duniani au Mabilionea wa Wakati huu kulingana na Forbes, wameeleza kuwa Elon Musk ameondolewa namba moja kutokana na hasara aliyoipata mwaka 2022. Jukwaa hilo la kufuatilia utajiri linatoa masahihisho yanayoendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…