mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. econonist

    JamiiForums Tanzania Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

    Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria. Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa umoja wa mataifa baada ya walinzi wa magodauni ya hamas kulikimbia jeshi la Israel

    moved
  3. ward41

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika tulipa uhuru kirahisi, Palestine wanakwama wapi?

    Vuguvugu la Uhuru barani Africa lilianza baada ya ww2. Mwishoni mwa miaka ya 50s, tayari baadhi ya mataifa yakaanza kupata Uhuru tena kwa njia rahisi sana. By 1980, tayari karibia mataifa yote yalikuwa huru Nchi za Asia na Latin America, ni Hivyohivyo. Kwa utajili wa Africa, wazungu...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa CHADEMA wako karibu mataifa yanayounga mkono uonevu?

    Ukaribu wa Sugu na balozi wa Marekani ni wa kiwango cha "infomer" au agent wa taifa hilo. Kila chadema wakipanga tukio, huwa linatanguliwa na balozi wa Marekani na Sugu kukutana. Possibly Sugu pia ni carrier anayelink chadema na ubalozi huo. Wengine wanasema kwamba akiwa anatoka katika ubalozi...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Netanyahu asema umoja wa mataifa lazima iondoe haraka majeshi yake Lebanon, asema uwepo wao unasaidia kuimarisha magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi hao. Netanyahu amemueleza Antonio Guterres Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa katika ujumbe wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel ni mataifa tofauti yenye baadhi ya siri za pamoja, bila kulijua hilo, Iran au yeyote dhidi yao, ni mfu atembeaye!

    Hili si suala la ushabiki wala kiimani. Uungwana siku zote ni kujitendea haki mwenyewe kwa kuukabili ukweli hata kama ni mchungu. Sote ni wafu watarajiwa na kwa mola tutarejea. Hata ipo tofauti linapokuja suala la kurejeshwa na binadamu wengine, ndiyo maana kelele zinapigwa. Rejea "Operation...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sura ya Chadema katika Magazeti ya Mataifa

    Kutana na taswira ya chama hiki kama ilivyoakisiwa leo kimataifa: Kwamba: Habari kamili iko hapa: Who is Freeman Mbowe? Why Tanzania’s ruling party is targeting the opposition leader Na hii ndiyo hali halisi.
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Yani Syria imegeuka kuwa dampo la biashara na shughuri haramu za mataifa maana ni ngumu kuwa detected hapo.

    Iran ndipo anapompatia silaha hezbollah Iran na Russia ndipo waapopeana silaha na usaidizi mwingine USA ndipo anapopatumia ku-attack adui zake wa middle east ISIS ndipo wanapouzia artifacts za kiajemi walizoiba iraq na syria. Turkey ndipo anapo patumia kupaamabana na resistance ya wakurdi.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mabunge Duniani wajihakikishia ushirikiano endelevu na Umoja wa Mataifa

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amethibitisha kuwa ushirikiano endelevu baina ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Umoja wa Mataifa (UN) ni wa muhimu katika kutekeleza ajenda mbalimbali za pamoja kwa manufaa ya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Aimiminia Sifa Na Pongezi Tanzania kwa Kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mataifa yenye Watu wenye Akili ndiyo huja na Mawazo yenye Akili kama haya

    MEXICO CITY - Mexico imetangaza rasmi mabadiliko makubwa katika Mahakama ambapo pamoja na mambo mengine Majaji sasa watapatikana kwa kupigiwa kura tofauti na utaratibu wa awali wa kuteuliwa. Chanzo: habarileo_tz Ngoja sasa nifanye tu Mpango niende Kuishi nchini Mexico na nihame Taifa ambalo...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  13. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Mataifa ambayo ni vigumu kuyavamia kijeshi duniani

    10 Countries that would be Impossible to Invade For many reasons some countries they say, can never be invaded. It is probably because of the geography or because their armies and people are so powerful that they are invincible. While we are of an humble opinion regarding any nation’s...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Mataifa ya wenzetu huchukua vijana wenye ufaulu class A+ wana negotiate mikataba sisi tunapeleka maprof wazee waliochoka!

    Katika moja ya comment zilizowahi kunishtua ni hii ya jobu aliyoitoa akiwa spika. Alidai kwamba wenzetu baadhi ya mataifa linapohusika suala la mikataba, hawana masihara hata kidogo huchukua vijana smart class A wenye uwezo mkubwa wa kusoma kuelewa na kufikiri kwa upana juu ya mikataba...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Marekani na unafiki katika mataifa mengine

    Marekani ni taifa ambalo mara nyingi linaonekana kama mfano wa demokrasia kwa mataifa mengine duniani. Hata hivyo, kuna muktadha wa kipekee ambao unahitaji kuangaliwa kwa karibu: wakati nchi hii inapojisifu kwa kuimarisha demokrasia na haki za binadamu, hali ya ndani ya nchi hiyo siyo kila...
  16. excel

    JamiiForums Tanzania Mungu Hailindi Israel Tena, Israel inalindwa na Marekani na Mataifa ya Ulaya

    Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu.. anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israel🤬🤬 Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila... Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi...
  17. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Italy walijitoa katika BRI ya China, hatimaye Waziri Mkuu wa Italy atembelea China kuomba kurudisha tena ushirikiano kati ya mataifa hayo

    Mwanamama Giorgia Meloni alishinda uchaguzi mkuu wa Italy mwaka 2023 na kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo ambalo pia ni member wa G7 na NATO. Alipoingia tu madarakani, kwa shinikizo la Marekani na mataifa mengine ya Ulaya akaiondoa Italy kutoka kwenye mpango wa China unaoitwa BRI na kumkosoa...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa mwenyeji wa kongamano la pili la umoja wa mataifa kuhusu utalii wa vyakula vya asili barani afrika

    Na Mwandishi Wetu- Zimbabwe Tanzania inatarajiwa kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili katika Bara la Afrika kwa mwaka 2025. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeshajua ni kwanini Mataifa jirani kadhaa na hata yanayojitambua ya Nje yanatudharau sana Watanzania japo wenyewe twajiona Wajanja

    “Mimi natamani kwenda nje, na ofcourse lazima nitaenda nje na ukiuliza Nchi gani nitakuambia tudondoke state hapo (Marekani), Madam (Rais Samia) tupeleke zetu state, mpigie simu Mzee Biden mwambie nakuja na Vijana akina Jay Z tuwakute pale tuzungumze, si umeona akina steve wanazungumza na...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni kwa mataifa yaliyoshibisha wananchi wake, kwa Afrika hazitufai.

    Kenya ni nchi lege lege, inayo practise jambo ambalo wakati wake bado haujafika, najaribu kujiuliza ilikuwaje taifa hilo likakubali muhimili wake muhimu sana kufanyiwa dhihaka na fedheha namna ile, #A perfect democracy is not for Africa. # wenzetu wachina waliona hili mapema sana wakaliepuka...
Back
Top Bottom