Huo ni unabii ulioandikwa katika Zekaria 12:2 โ
โTazama, nitaufanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kulewesha kwa mataifa yote yaliyo pande zoteโฆโ
Mungu alimtumia Nabii Zekaria kutoa unabii huo wa ajabu kwamba Yerusalemu haitakuwa tu mji wa kawaida, bali utakuwa kikombe cha kulewesha.
Katika lugha...