mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni vyema Mataifa ya Magharibi (Ulaya na Marekani) wakaacha Unafiki mara moja

    Thread was deleted
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Habari zakutisha, Marais wawili wa mataifa makubwa kiuchumi hawajulikani walipo ila mmoja inasemekana kapinduliwa

    Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Ruto kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano Hussein Mohamed, Rais William Ruto atatoa hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) leo Jumatano saa 3 usiku katika Jiji la New York, Marekani. Katika hotuba yake ya kwanza kwa Umoja wa Mataifa, Ruto...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema amewasili New york kwa ajili ya mkutano mkuu wa umoja wa mataifa

    Huyu ndio kiongozi anayejitambua πŸ‘‡ With my wife Mutinta, we’ve arrived in New York for 77th Session of #UNGAβ€―β€―β€―. While here, we will illustrate how #Zambia is determined to be an economic centre whose central focus is creating meaningful jobs & business opportunities for all. Thanks for your...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha πŸ˜„.
  6. JamiiForums Tanzania Mataifa yaliyoizunguka Urusi kuzuia Warusi wanaopita mipakani kwa mamilioni

    Bara Ulaya kuzuia visa kwa Warusi, na hii ni pamoja na mataifa yaliyoizunguka Urusi, yaani Putin anapitisha taifa lake kwenye hali ngumu sana. ========= European Union foreign ministers have agreed to suspend a visa agreement with Moscow, making it harder for Russian citizens to obtain entry...
  7. JamiiForums Tanzania Libya: Umoja wa Mataifa watoa wito wa kusitishwa mapigano

    Wito umetolewa kusitishwa mara moja kwa mapigano makali yanayohusisha makundi mawili ya Kisiasa yanayowania kuchukua Utawala wa Serikali katika mji mkuu wa Tripoli. Taarifa ya Umoja wa Mataifa iliyoungwa mkono na Balozi wa Marekani nchini Libya, Richard Norland imesema kuwa mapigano hayo...
  8. JamiiForums Tanzania Suala la China vs Taiwan, vita ya Urusi na Ukraine. Kusema ukweli kuna mataifa yametu-disappoint sana. A luta continua

    Kiukweli niliwaamini sana Urusi, sasa sina imani nao. Hii vita kwa nguvu ambazo wanazo Russia ilikuwa waimalize ndani ya week moja zikizidi mbili. Sasa sielewi kwa nini wanapiga dana dana nyingi sana?! Russia ni Taifa ambalo tumekuwa tukitegemea liitishe Marekani. Sasa Ukraine ka nchi ambako...
  9. JamiiForums Tanzania Natamani viongozi wote wa mataifa ya Afrika waiunge mkono kauli ya Nana Akufo Ado

    Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja. Afrika tuoneshe kujitambua.
  10. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa kwa Vijana leo

    Ikiwa leo dunia inaadhimisha siku ya vijana duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa jamii kuwasaidia vijana kwa kuwekeza kwenye kuwapatia elimu na kuwajengea uwezo wa kiujuzi kupitia mikutano pamoja na kufanya mabadiliko katika mifumo ya elimu. Vijana, ni nusu...
  11. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Umoja wa Mataifa afukuzwa DRC

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemtaka msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa, Mathias Gillmann kuondoka Nchini humo haraka iwezekanavyo baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kumshutumu kwa kutoa "taarifa zisizoeleweka na zisizofaa" kuhusiana na Nchi hiyo Takriban watu 30...
  12. JamiiForums Tanzania Je, yanayoendelea Urusi, Ukraine, China na Taiwan yanaweza kusababisha Vita ya Tatu ya Dunia?

    Je, mizozo inayo endelea katika mataifa mbalimbali kama Russia na Ukraine, China na Taiwan inaweza pelekea vita ya tatu ya dunia?
  13. JamiiForums Tanzania Watano wauawa katika maandamano ya Kupinga Vikosi vya Umoja wa Mataifa Nchini DR Congo

    Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mamia ya Waandamanaji wanadaiwa kulazimisha kuingia katika kituo cha ujumbe wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Umoja wa Mataifa yathibitisha majeshi ya Ukraine kutumia raia kama ngao za kivita

    Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa Zelensky na majeshi yake ya Ukraine wamekuwa wakiwatumia raia kama ngao za vita. Umoja huo umetaja mapigano ya maeneo tofauti tofauti ambapo majeshi ya Ukraine yaliwazuia raia wasio na hatia wakiwemo wanawake, wajawazito, wazee, walemavu, wagonjwa, na watoto...
  15. JamiiForums Tanzania Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

    Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara...
  16. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Ulinzi ya USA ni kubwa kuliko jumla ya bajeti ya Mataifa yote Duniani

    BUDGET ya ULINZI ya MAREKANI ni USD 778 billion. Anafuata mchina Kwenye 240 USD billion. Ukijulisha BADGET zote za ULINZI ulimwenguni hatufiki 778 billion USD. Anaebisha lete facts sio blah blah. USA yupo sana, Tena sana
  17. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika ambayo yatakuwa na uwakilishi wa vilabu vinne kwa msimu wa 2022/23 michuano ya CAF

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho. β€’ Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ β€’ Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ β€’ Congo DR πŸ‡¨πŸ‡© β€’ Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ β€’ Guinea πŸ‡¬πŸ‡³ β€’ Libya πŸ‡±πŸ‡Ύ β€’ Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ β€’ Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ β€’ South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ β€’ Sudan πŸ‡ΈπŸ‡© β€’ Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ β€’ Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haina uwekezaji wenye tija kama Mataifa mengine yaliyoendelea

    Ukiangalia mataifa mengine utaona kwamba yamepiga hatua kubwa mno kimaendeleo kutokana na matumizi sahihi ya Rasilimali zao. Botswana na Nchi ya Falme za Kiarabu (UAE) especially Dubai au hata Libya utaona namna uwekezaji sahihi ulivyobadili kabisa maisha ya wananchi toka ufukara mpaka kuwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

    Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO. NATO sasa inawaza...
  20. JamiiForums Tanzania Msumbiji yachaguliwa Mwanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeichagua Msumbiji kuwa mwanachama asiye wa kudumu wa Baraza hilo kwa muhula wa miaka miwili kuanzia Januari 2023 Nchi nyingine zilizochaguliwa ni pamoja na Ecuador, Japan, Malta na Uswizi ambapo watachukua nafasi za India, Ireland, Kenya, Mexico na Norway...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…