maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Maswali kuntu kwa Wenye viapo vya Kuilinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977

    Jana katika kikao chao na Waandishi wa Habari, Mawakili wa Tundu Antipass Lissu anayetuhumiwa kwa makosa ya Uhaini na Uchochezi waliutaarifu Umma wa Watanzania rasmi kuwa Tundu Lissu aliyepo gereza la ukonga; 1. Amezuiliwa kufanya sala kwa mujibu wa dini yake ya Ukatoliki ikiwemo kushiriki...
  2. JamiiForums Ila wabongo, yani mtu kaleta topic ya kusikitika akikumbuka maisha ya jela, ila haya ndio maswali ya kwanza wanamuuliza 🤣

    Post: Comments:
  3. JamiiForums Ili niamini kuwa kweli Wafanyakazi wa Tanzania wameongezewa kweli Mishahara yao 'Meidei' ya Leo naomba nijibiwe haraka Kwanza haya Maswali yangu....

    1. Kwa income ipi ya sasa hadi ipandishwe kwa Kiwango hicho? 2. Exportation capacity kwa Taifa kwa sasa ni ipi? 3. Kwa ulipwaji mkubwa wa Madeni je, tuna Jeuri ya kuwa na Fedha ya Kulipa Mishahara kwa 35%? 4. Tumeshaweza kuziba mianya mikubwa ya Rushwa nchini hadi tuweze kuwa na jeuri ya...
  4. JamiiForums Waliotaka kuniona, maswali yasiwe mengi

    Na niweke wazi, nimeoa na hakuna nafas ya kuongeza mke mwengine.
  5. JamiiForums Maswali magumu kwa rais Samia kuhusu uchaguzi ujao

    Mheshimiwa Rais Daktari, mbemba maono, kipenzi cha Watanzania Samia Suluhu Hassan, Naomba unijibu maswali haya kuhusiana na msimamo wako juu ya uchaguzi ujajo uliosema utakuwa wa amani. Amani vipi bila maridhiano ya namna ya kuufanya? Amani vipi wakati polisi wanatumika vibaya na kinyume cha...
  6. JamiiForums Bunge Live Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu

    Wanabodi Naangalia Bunge Live kupitia TBC Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu- Watch https://www.youtube.com/live/Q2K-fa_9lmQ?si=Y9V-RXLXorXsgR5P Paskali
  7. JamiiForums Uzi maalumu kuelekea mtihani wa kidato cha nne, Maswali na majibu pamoja na Solving karibu tujiandae pamoja

    Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA). Here we go!. Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo. Civics History English Kiswahili Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
  8. G

    JamiiForums Level ya diploma information and communication technology nauliza maswali ya practical interview yana base wapi

    Wadau kwa aliewahi kufanya usaili wa vitendo kwenye level ya diploma in information and communication technology ni kipengele gani huwa wana deal nacho
  9. E

    JamiiForums Maswali lukuki ajali, kifo bosi Tanesco

    Wakati aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (Tanesco), Gisima Nyamo-Hanga akizikwa nyumbani kwao katika eneo la Migungani mjini Bunda mkoani Mara kufuatia ajali iliyoondoa uhai wake na dereva wake Muhajiri Haule, maswali bado yanagonga vichwa kuhusu ajali hiyo. Miongoni mwa maswali...
  10. JamiiForums Msanii wa Muziki Patience Namadingo amuuliza maswali magumu na kutoa hoja nzito Rais wake wa Malawi, Chakwera

    Patience Namadingo’s bold address to President Chakwera: A wake-up call for Malawi In the video, Namadingo expresses his excitement about attending the meeting, describing how overjoyed he was upon receiving the invitation to engage in a conversation with President Lazarus Chakwera. Addressing...
  11. JamiiForums Msaada wa maswali ya written Utumishi nafasi ya Planning Officer II mwenye madini share please

    Wadau nakwenda kupambania bahati yangu tarehe 25 mwezi huu, mwenye madini juu ya maswali ya written kada ya planning officer Fanya kushare
  12. S

    JamiiForums Mazingira ya ajali ya Mkurugenzi wa TANESCO hata katika picha yanatia shaka sana. Polisi wajibu haya maswali

    Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli? Sasa...
  13. JamiiForums Maswali Yanayoulizwa kuhusu Matumizi ya Akili mnemba katika Taaluma ya Uandishi Wa Habari

    Maswali yanayoulizwa mara kwa mara 1. Je, AI inaweza kuchukua nafasi ya waandishi wa habari wa kibinadamu kabisa? Hapana, AI inatazamwa vyema kama zana inayoongeza uwezo wa uandishi wa habari, lakini uangalizi wa kibinadamu na uamuzi wa kimaadili unasalia kuwa muhimu kwa kudumisha ubora wa...
  14. JamiiForums Mahojiano na Sky News : Msemaji mkuu wa serikali ya Israel kujibu maswali muhimu aliyoulizwa

    Moja kwa moja. Juzi juzi nilikuja na mada chini hapo kuhusiana na tukio la IDF kuua watu wanaotoa Huduma za kitabibu Gaza wakiwa kwenye ambulance na kueleza uongo wao katika taarifa ya awali waliyotoa kuhusiana na tukio hilo amabalo sasa hivi limezidi kuchafua taswira mbaya ya IDF baada ya...
  15. B

    JamiiForums Maswali magumu ya waandishi kwa G55 ya CHADEMA

    https://m.youtube.com/watch?v=8X9aksS1quw Baada ya press conference, kundi la G55 waulizwa maswali magumu na waandishi wa habari juu ya wao G55 kupinga No Reforms No Election 2025 wakati uamuzi huo ni wa chama: Chief Odema wa Star TV , John Marwa wa Jambo TV maswali 5 magumu , Humphrey wa...
  16. R

    JamiiForums Awalalamikia TRA kuwa kuna watu walikuwa na mitihani kabla ya interview, kaweka maswali yaliyotoka na majibu yake

    Katika ukurasa wa TRA kuna mdau katoa taarifa kwamba kuna watu walishakuwa na pepa kabla ya kuingia chumba cha mtihani. kaweka ushahidi wa marking scheme ya maswali yaliyotoka na majibu yake, ikumbukwe watahiniwa hawakuruhusiwa kuondoka na karatasi la maswali. Comment ipo kwenye chapisho...
  17. JamiiForums Maswali kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Kuhusu Sheria ya kuanza kwa utaratibu wa vitinmaalum CCM 2030

    Swali la Kwanza Kuna wabunge wa viti maalum waliokuwa madarakani kuanzia mwaka 2020 hadi 2025, na sasa wanatarajia kugombea tena. Ikiwa watashinda, watakuwa madarakani hadi mwaka 2030. Swali langu ni: Je, hawa wabunge wakichukua fomu kuomba kugombea mwaka 2030, watakuwa wanakubali sheria mpya...
  18. JamiiForums The Numbers Gang 26, 27 and 28: Uliza maswali utajibiwa na wanajua kuhusu makundi haya hatari zaidi duniani.

    Kwa ambao wasio na ABCs za kundi hili... The Numbers Gang ni genge la wahalifu hatari zaidi ndani ya magereza ya South Africa. Chanzo cha kuanza kwake bado hakijafahamika ila kuna stories tofauti tofauti. Hoja yenye mashiko zaidi ni ile ya lilianzishwa kutetea maslahi ya wafanyakazi weusi...
  19. JamiiForums Wabongo mnaoshi ulaya acheni sifa za kijinga

    Wabongo mnaoishi ulaya acheni sifa za kijinga . Mkipata wekezeni Hizo hela mnatuma huku kwa ndugu zenu wanakunywa mapombe kuhonga then mkifia huko majuu maiti zenu zinashindwa kusafirishwa Watoto wenu mnawaacha katika umasikini. Mkizeeka pia mnatia aibu. Kuna mmoja ameona amefia huko majuu...
  20. T

    JamiiForums Watu wenye akili ni watu wakutafuta facts na wenye maswali Magumu na watawala hawawapendi Africa

    Kwanini Africa haiwezi kuendelea ni kwa sababu watu wenye akili na uwezo mkubwa kuona kesho hawapendwi na watawala... Why? Watawala wanapenda chawa na chawa siku zote wanauma Tena wanauma sana na mwishi wanadhoofisha... Umewahi kaa au kulala sehem Kuna chawa? Mara zote kwa aina hii ya uongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…