Tuhuma za Lissu kuhusu Abdul kuhonga watu zinaacha maswali mengi na tata sana,
1. Kwa nini Abdul ndiye anahonga watu na sio watu wa CCM au serikali?
Kwa nini hawakutumika watu magwiji wa hiyo michezo ambao wasingeacha alama au ushahidi ikiwa wangeweza au hata wangeshindwa kumuhonga Lissu...