maskini

Maskini is a union council of the Lower Dir District in the Khyber Pakhtunkhwa province of Pakistan.
Lower Dir District has 37 union councils with a population of 797,852, according to the 1998 census report. The population growth rate of the Lower Dir District was 3.42% per annum between the 1981 and 1998 censuses.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuwa masikini katika karne hii nikujitakia wenyewe

    Nashangaa sana kuona vijana wengi tunaendelea kuwa maskini katika Karne hii ambayo imejaa fursa kibao just imagine watu kama kiboko ya wachawi , na manabii kibao Akina chif godlove wanatajirika kwa ujinga ujinga tu akina mwijaku na wengine wengi kibao alafu kuna akina sisi ambao tunaendelea...
  2. JamiiForums Tanzania Kama kila kitu kina faida na hasara zake. Je, kuna faida gani za kuwa masikini?

    Kama kila kitu kina faida na hasara zake je, kuna faida gani za kuwa maskini?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Viongozi: Je, tunachukulia kwa uzito wa kutosha?

    Katika dunia ya leo, hotuba ya kiongozi si maneno tu—ni taswira ya taifa, dira ya wananchi, na wakati mwingine ni ujumbe wa kimataifa unaobeba heshima au aibu ya nchi. Ndiyo maana inapotokea hotuba yenye makosa ya wazi ya lugha, taarifa zisizo sahihi, au ujumbe usioeleweka, wananchi wengi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mnadhani wananchi wa Iran na Venezuela wanajali Marekani kuchukua mafuta ? wananchi ni maskini, wanauawa, wamekimbia nchi, watakataaje msaada ?

    Hakuna free lunch hapa duniani. Lakini afadhali kusaidiwa na mtu wa mbali unajua kabisa atachukua sehemu flani ya rasilimali kisha awaache muendelee na maisha mengine kwa uhuru kuliko kuongozwa na ndugu yako mlafi, kakuacha katika umasikini, Mbaya zaidi ukimhoji, mnapigwa risasi au kufungwa...
  5. JamiiForums Tanzania Usiwakandamize Maskini Utaumia

    Amo 8:4-5 SUV [4] Lisikieni hili, ninyi mnaopenda kuwameza wahitaji, na kuwakomesha maskini wa nchi, [5] mkisema, Mwezi mpya utaondoka lini, tupate kuuza nafaka? Na sabato nayo, tupate kuandika ngano? Mkiipunguza efa na kuiongeza shekeli, mkidanganya watu kwa mizani ya udanganyifu; Nabii Amos...
  6. JamiiForums Tanzania Sifa kuu tano za Mtu Maskini au utakuwa Maskini

    SIFA KUU TANO ZA MTU MASKINI AU UTAKUWA MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Umaskini ni kama nguo. Yes ni Vazi ambalo mtu huamua kulivaa au pengine huweza kuvalishwa. Lakini asilimia kubwa ni vazi ambalo MTU huamua mwenyewe kulivaa. 2. Maskini ana sifa zake ambazo humtambulisha na...
  7. JamiiForums Tanzania Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha. Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa...
  8. JamiiForums Tanzania Sifa kuu za mtu maskini ni zipi ?

    Sifa kuu za mtu maskini ni zipi ?
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawawataki wanaume maskini

    Unadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania tajiri, Wananchi maskini– What is going on?

    Ukiangalia Tanzania kwa macho ya wazi bila ujinga, bila woga, bila kuogopa nani atasema nini, utajua huu ni mojawapo ya nchi tajiri sana duniani, sio Afrika tu, hata baadhi ya nchi za Ulaya tumewazidi big time. Tuna nini? Madini: Dhahabu, almasi, nickel, lithium, uranium, tanzanite (ambayo ni...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa shekhe Kishk anasema maskini wa mwisho peponi atapewa bikra walau wawili(2)

    Kumbe huko peponi kutakuwa na maskini kama huku duniani. Hili sikulijua mie wallah. Kwahiyo Allah atakuwa na ubaguzi? Aidha ameongeza kusema kuwa hata zile bikira zitakuwa zinarudi kila wanapofanya tendo.
  12. JamiiForums Tanzania Tafauti pekee ya kimawazo kati ya tajiri na maskini

    Kabla kuelezea tafauti zao, vitu ambavyo wanafanana ni kila mmoja anapenda kukaa kwenye rika lake,mfano matajiri hupenda kujitenga na matajiri wenzao likewise maskini Lakini tafauti kubwa ni Kichwa cha tajiri: Kwann yule mzee amesogea sana kuliko mm, lazima niongeze miradi nataka kua 1 kichwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini

    Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini Mataifa yote duniani huwa yanapambana kuongeza idadi ya matajiri ili kiwango cha umasikini kishuke ikiwezekana kuondoka Taifa lolote duniani linakua haraka endapo idadi ya maskini ni...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi tunajua nyie hamfi mnapewa pesa kuua maskini wenzenu. Tunakuja tena mtuue sawa

    Nye si mwapewa mamilioni ili muue maskini wenzenyu wanaotetea haki zao. Mwataka muwe tajili kama Elon Muski. Hehee! Mwatii amri haramu kumwaga damu za wenzenyu mliambiwa nye hamfi. Mayii! Mwambieni awaongezee posho zaidi ili mtuue zaidi. Twataka mwaka huu muwe mamilionea. Mle bata kwa pesa...
  15. JamiiForums Tanzania Maskini akipata

    Baba wa taifa(my foot) aliachia juzi tu hapa mwaka wa 1985, akamuachia Mzee Rhuksa ambaye kwa maoni yangu.... ndiye baba wa kweli wa taifa. Tukumbuke kuwa sera kuu ya baba wa taifa ilikuwa ni "watu wengi wenye akili, na utajiri hawawezi kutawaliwa, wataleta vurugu". Hivyo basi baba yenu...
  16. JamiiForums Tanzania Maskini: Mimi maandamano yananisaidia nini? Acha raia wapigwe shaba tu!

    Naomba tupate KOMENTS fupifupi juu ya uyu mwamba ambaye ameridhika na umaskini mpaka kufa kwake.
  17. JamiiForums Tanzania Oktoba 29 inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini

    Tarehe 29 October inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini. Mimi nipo mstari wa mbele kupigania mabadiliko na kusimama na watanzania kwa hali zote, nime mwaga machozi kwa kutambua kuwa watanzania walikufa kwa kunipigania mimi na wewe...
  18. JamiiForums Tanzania Maskini Millard Ayo

    Alikataa kupost taarifa za maandamano sasa anawaza aanze vipi kupost taarifa za polisi kuwataka watu kuwa ndani saa 12.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Sauti za Maskini by Rosa Ree

    Wakuu wa JF habari, Tusikilize Wimbo wa Msanii wa Hip hop hapa Bongo Rosa Ree Sauti za Maskini una ujumbe wetu humu ndani Goddess Mama Jay Naiangalia Dunia kutoka chini ingawa nastahili kuwa juu Muhanga mimi mfalme nayetembea kwa miguu ujasiri sina wa kusema maana haki sina Maskini...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kuuawa baada ya kwenda kupora ardhi ya maskini huko Katavi

    Nimeangalia document zangu hapa nilizofoji majina ya watu ili nimililoshwe ardhi ikanikumbusha hii kitu. Tukio hili ni la kweli na lilinitokea mwenyewe miaka ya 2006. Nikiwa kijana mdogo na Nikiwa nimemaliza chuo kikuu mwaka 2006, nikaajiliwa serikalini nikiwa zonal ya ofisi yetu pale Mbeya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…