Wanaukumbi.
Sina uhakika kama watu wengi hasa hawa washabiki wa wanaharakati wanaelewa uzito wa maneno haya kutoka kwa rais wa nchi. Sina uhakika kama wanaelewa anapofikia Rais wa nchi kutamka hivi wanaelewa nini kinatakiwa kufuata aunini maana yake kwa vyombo vya usalama vyenye jukumu la...
Kwa utajiri wote wa taifa hili, bado mnatumia mrija wa muungano kutunyonya? Ni muda wa kuvunja mrija na kuweka bomba (pipeline) la neema moja kwa moja kwenda Zanzibar
Kwakuwa watanganyika wamekosa uzalendo wanapigia magoti pesa na vyeo kuzidi taifa lao hio tayari ni tiketi ya kuweka bomba...
Wakuu Sote tunajua wazi sisi wanaume si wa mambo mengi.
Ni rahisi sana kumkuta mwanaume ana suruali mbili na mashati matatu na hawazi wala kuongelea mavazi na ameridhika nayo wala hajari.
Ni rahisi sana kwenda geto la mwanaume ukakuta hakuna lotion aina yoyote ila ana mafuta ya kupaka tu na...
Pamoja na kutoa baraka kwa vyombo vya dola kuwapoteza Watanzania ili amani iendelee kuwepo. Sheikh huyu amedai kuwa yeye alisikia kwa masikio yake Lissu akisema tutakinukisha.
Amekazia kuwa Lissu alipelekwa Mahakamani ili akatoe tafsiri sahihi ya kukinukisha.
Kwa mantiki hii na muktadha huu...
Ni jambo la ajabu sana , kuona mtu anapata madaraka kwa mjibu wa katiba. Halafu hapo hapo anatumia madaraka kuivuja katiba.
Huu ni ugojwa wa akili unao penda kushambulia watawala wa kiafrika. Kwetu Tanzania umeshambulia Samia kwa kiwango cha kumfanya mwendawazimu kabisa.
Kibaya zaidi...
Hellow!
Mungu alikuamini, akaona unafaa kubeba kiumbe chake na kukilea duniani.
Mungu alipomuumba mtu tumboni mwa mama yake, Kila kitu kilifanyika kwa usahihi
1. Tundu la pua Lina kazi yake kupitisha pumzi,
2. Matundu ya masikio Yana kazi yake, ndio maana Mungu aliyaweka tangu tumboni,
3...
Huenda vijana wa kisasa tunapitia changamoto kubwa za kidigital ni kwamba fursa zimekuja kutengeneza changamoto nyingi zaidi,uhalisia umefichwa na uongo unadhihiri pa kubwa.
Sikushangai unavyobet Ukapoteza Elfu 50 kwa siku,binafsi nilishawahi kubetia pesa ya Duka almost laki 3,nimekula pesa...
||
Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au...
ccm
david kafulila
dkt emmanuel nchimbi
dodoma
dr nchimbi
emmanuel nchimbi
kafulila
kitu
kumrithi
masikio
mkutano
mkutano mkuu
mkutano mkuu wa ccm
mkuu
nchimbi
nchimbi ccm
picha
tarehe
wazi
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu anasumbuliwa sana na koo na masikio kuwasha pia mwili kuwasha baada ya kuoga. Je tatizo linaweza kuwa ni nini!?
Hii ni moja ya mada inayozungumzwa sana baina ya watu, na ina maoni tofauti kutokana na mtazamo wa mtu na mtu.
Tunafahamu kuwa ni wazi suala la malezi ya watoto katika kipindi hiki yamebakia kwa wazazi wenyewe huku athari zikiwa ni kwa jamii, tofauti na zamani ambapo mtu mwenye umri na rika...
Soma kichwa cha habari cha video, halafu tazama na sikiliza wanachokiongea hao jamaa. Halafu, tafakari kwa kina.
https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=XxVL8cS2tKG4IkHv
Kama muda wako hautoshi au MB chache anzia hapa.
https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=SGqFhc3PLBRo94Gi&t=788
Habari wana Jf, miaka miwili iliyopita nilianza kujigundua kuwa na shida ya usikivu nilipoenda hospitali nikaambiwa shida yangu ilisababishwa na earphones hivyo usikivu wangu umeshuka na hakuna tiba mbadala. Shida niliyoipata tokea nipime usikivu zile sauti za vipimo huwa zinajirudia masikioni...
Palikuwa na mfalme mwenye masikio marefu kama ya punda. Siku moja mfalme alimuita kinyozi amnyoe nywele zake lakini asitoe siri kwa atakacho kiona.
Kinyozi alipo mnyoa mfalme akaona mfalme ana masikio marefu kama ya punda. Kinyozi alijizuia sana asicheke wakati anamnyoa mfalme.
Na alipo fika...
Kumpa mwanaume huduma zote za mke ikiwemo kumfulia, kumpikia,tendo la ndoa nk wakati hajakulipia mahari ni kuchafua nyota yako. Huo ndio ukweli japo mchungu
Mwanaume lazima umnyime haki za ndoa ili umuoneshe umuhimu wa yeye kukamilisha taratibu zote akuchukue kwenu na kukutumia kihalali...
Mwenye kujua uhusiano uliopo wa kisayansi hasa kikemia ni kivipi kisu ukikikatia vitunguu ukali wake unaondoka, binafsi mimi sijapata muda wa kufanya hio tafiti nithibitishe kama ni kweli au chai kama chai nyingine.
Habari ndiyo hiyo. Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà. Wanasubiri uanguke washangilie. Msiruhusu kitu kama hicho.
Msiwe wepesi wa kusahau. Mnadhani Mashinji (nadhani ndiye aliyekuwa amegombea uenyekiti? Nisahihisheni) angelipata uenyekiti Chadema ingelikuwepo?
Chukueni...
kuna family business ya close relatives naona inakoelekea sio kuzuri and i am so concerned, Binafsi nimepewa huu mkasa na moja wanafamilia ila nikaona mawazo yangu pekee yanaweza yasitoshe.
OK ipo hivi....
Inatokea mna family business mliachiwa na wazazi muisimamie.
Kaka mwenye nafasi kubwa...
Salaam wakuu,
Mimi nasumbuliwa na masikio yote mawili yanauma sana kama vile mtu anasukumiza matambara huko ndani, yakianza kuuma hivyo nasikia na kichwa kinaniuma na ninahisi kizunguzungu kwa mbali. Nilienda hospitalini Dr akasema Sina maambukizi ya sikio wala Sina uvimbe ndani ya sikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.