mashuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni fedheha Serikali kujinasibu kukusanya bil 291 kupitia utalii huku ikichangisha raia maskini pesa na tozo kandamizi

    Kwanini kuwe na tozo za miamala ya simu na benki kama utalii tu unakusanya bil 291? Kwa nini serikali inaruhusu michango ya maendeleo mashuleni wakati utalii unazlihsa pesa ambazo zinatosha kuhudumia mashule na kujenga matundu ya vyoo. Unajinasibu nini?
  2. B

    JamiiForums Tanzania SoC03 Waraka kutoka mashuleni na vyuoni

    ( MDUDU WA AJABU ANAETESA ULIMWENGU SASA KAINGIA MASHULENI NA VYUONI ) Mwanafunzi mmoja wa kidato cha sita anaejulikana kama Nathan, tulikutana mwezi uliopita wakati tumekutana mazungumzo yetu yalikuwa kuangalia namna wanafunzi na wanachuo wanavyoishi wakiwa shuleni na vyuoni, yeye nathani...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Andiko kuhusiana na suala zima la kudhibiti utoro wa wanafunzi mashuleni

    Utoro wa wanafunzi mashuleni ni tatizo kubwa ambalo linahitaji kushughulikiwa kwa dhati katika suala la utawala bora na uwajibikaji. Tatizo hili linasababisha athari mbalimbali ikiwemo kupungua kwa ufaulu, kuongezeka kwa idadi ya watoto wanaoacha shule na kuathiri maendeleo ya taifa kwa ujumla...
  4. JamiiForums Tanzania Nashauri kuwe na somo la Basic Computing shuleni hasa sekondari

    Hili wazo nilikuwa nalo kitambo tu ila nimepitapita humu nimekutana na rasimu kiukweli sijaisoma ila kama hili wazo ambalo nataka kulitoa hapa lipo basi wamecheza kama pele CCM DAIMA MAFISADI TUWATIMUE (Kibwagizo) Somo hili ningeshauri lianzie form one upto form four na Advance Katika miaka...
  5. JamiiForums Tanzania Walimu wamegeuza pesa ya chakula mashuleni kuwa posho zao wanajilipa

    Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi. Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu. Chakula hakina ubora. Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Michango shule ya sekondari Borega

    Shule ya sekondari Borega ,iliyoko mkoani Mara ,Musoma vijijini kwakweli imezidisha michango kwa wanafunzi mpaka kero. Cha kushangaza tunapofanya malipo wanafunzi hawarudi na risiti, tulitangaziwa kusitishwa kwa ada kwa wanafunzi wa Elimu ya juu ,lakini form six wa awamu hii bado wanalipa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

    Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni Ijumaa, Aprili 14, 2023 Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura...
  8. JamiiForums Tanzania Je, dawa za meno zinazogawiwa mashuleni zinaharibu homoni za watoto wa kiume?

    Salaam Kuna audio inasambaa mitandaoni kwamba kuna dawa za meno zinagawiwa Mashuleni ambazo zinaharibu homoni za kiume. Kwamba TBS ilithibitisha. Je, kuna mtu ana uhakika na hizi taarifa au ni Uzushi tu wa mitandaoni. Wizara ya Elimu inajua hiki kitu na Uliruhusu? Msililize huyu anachoongea
  9. JamiiForums Tanzania Mswaki na Dawa zinazotolewa mashuleni ni salama?

    Wakuu habari, Kwa mwenye uelewa tusaidiane. Watoto wa shule za primary wamekua wakipewa dawa za meno na mswaki kwa lengo la kuhamasisha usafi wa kinywa. Licha ya nia kua nzuri lakini pamekua na sintofahamu ikidaiwa dawa za meno zinazotolewa zina madhara kwenye upande wa hormones. Wadau mnaopita...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la madawati mashuleni

    Natamani Waziri Mkuu atangaze kila wilaya/Mkoa umalize hii kero ya upungufu wa madawati; Watoto wanateseka jamani..... Wiki iliyopita nikiwa Kisaki/Kilosa, nilipita shule inaitwa Kichangani shule ya msingi, yenye wanafunzi takribani 850 huku ikiwa na madawati kama 40hivi tu pengine niseme ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hii hoja ya mimba shuleni imekaaje?

    Maana hapa Soudy katupa kombora katikati ya watunga sheria na wale waliopinga watoto kurudi shulen!!!👇👇👇👇
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tuwatumie wafungwa kutekeleza mpango wa lishe mashuleni wenye matokeo makubwa

    Rais wa JMT, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Waziri wa kilimo, Mhe. Hussein Bashe na wengine wanaohusika Ninawapongeza sana viongozi wangu kwa kuwekea mkazo kilimo kiasi cha kilimo kuonekana ni ajira kwa vijana. Mipango na mikakati ya wizara ya kilimo inayobuniwa chini ya waziri Bashe inatoa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sumbawanga: Disko zipigwe Marufuku mashuleni

    Katika pitapita zangu basi nikakutana na wanafunzi (KE na ME) wakicheza Disko huku mwanaume akiwa amemkumbatia mwanafunzi mwenzake wa kike. Nimejifikiria sana manufaa ya huu uchafu mashuleni nikaona kwanini serikali isiharamishe huu upumbavu huko mashuleni? Angalia hii video chini harafu utoe...
  14. JamiiForums Tanzania Unyama wa Walimu, Serikali imulike ukatili wa walimu dhidi ya wanafunzi mashuleni

    Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza. Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi utadhani wako kwenye tamasha la Karate. Wanawazaba watoto vibao vya uso, ukatili mbalimbali...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uchache wa madawati mashuleni limekithiri litatuliwe hivi...

    Ni jambo la kusikitisha kuona hadi sasa idadi kubwa ya wanafunzi wa shule ya msingi na hata sekondari wakiwa wanakaa chini katika shule zetu si mjini wala vijijini. Japo tunapongeza jitihada za kuongeza madarasa bado inashangaza Sana kuona hao wataalam wa mipango wanashindwa kuona ukakasi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Hofu yatanda kwa wazazi, watoto kufundishwa kulawitiana mashuleni. Tufanye nini kuokoa watoto wetu?

    Hello! Hofu imewakumba Wazazi kufuatia kuripotiwa Kwa taarifa kwamba Watoto wamekuwa Wakifundishwa kulawitiana wakiwa Mashuleni. Shule ndio zilikuwa kimbilio la Wazazi lakini nako sio salama tena, kama jamii tunaelekea wapi? Yale maadili ya Watznzania Yako wapi? Kila siku tunaingia makanisani...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko kuhusu kugharamia Fedha za Elimu Bure shuleni

    Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika. Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi...
  18. JamiiForums Tanzania Enzi hizo kwenye mitihani ilikuwa akili kidogo, ujanja mwingi

    Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani. Baadhi ya matukio Tuko necta ya fomu 6 kuna demu mmoja aka kamatwa na ki karatasi kimekunjwa kwa ustadi mkubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Uzalendo ni Ushujaa - ongezeni hili huko kwenye mitaala mashuleni

    Enzi za shule za msingi miaka mingi iliyopita tulikuwa tunafundishwa nyimbo za taifa, historia na hata ukubwani kuaminishwa kuwa kuonyesha uzalendo wa taifa mtu anaweza kuvaa mavazi fulani yenye bendera ya nchi n.k. Kitendo kilichofanywa na kijana Majaliwa katika ajali ya ndege ni kitendo cha...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali kugawa vishikwambi kwa walimu Nchini

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga amesema serikali ina mpango wa kugawa Vishikwambi vilivyotumika katika zoezi la sensa kwa walimu wote kwa lengo la kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji. Akijibu maswali ya Wabunge, leo Septemba 15, 2022 Jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…