mashirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni mashirika gani ya Umma hayana tija yanafaa kufutwa

    1. TMA (Tanzania Metrology....) What does A stand for) 2. TTCL 3. .....endelea Na haya yalitoa gawio la Samia?
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mashirika na Taasisi jengeni Shule za Sekondari za kutwa. Kutakuwa na uhitaji mkubwa Dodoma

    Mashirika hasa ya dini kama KKKT na RC pamoja na wawekezaji binafsi watusikie Wazazi wa Dodoma. Dodoma kuna uhitaji mkubwa sana wa Shule bora za Sekondari za kutwa, kwa sababu Mwakani 2027 Watoto watamaliza shule ya msingi wakiwa wadogo wengi katika wastani wa miaka 10 mpaka 11. Hivyo, wazazi...
  3. JamiiForums Tanzania Salam za Idd toka mashirika mbalimbali

    Vodacom inakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA EID EL-FITRI!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya kufuta ambayo ni useless

    Haya ni useless, rubbish, zero service to the people. Yanamilikiwa na watu binafsi. Yapo mengi ongeza 1. TMA 2. TTCL 3. IKULU 4.JWTZ 5. POLISI 6. INEC, 7. Takukuru, 8. ofisi ya msajili wa vyama vya siasa 9. ccm ONGEZA
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mashirika ya Haki za Binadamu yalivyokumbwa na changamoto wakati wa Uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025

    Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), yalikumbwa na changamoto za kiutendaji na kiusalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kichaa Trump kajitoa mashirika ya UN, akija mwingine say kutoka Democrats, anayarudisha!

    Let us wait and see baada ya miaka 3 iliyobaki ya Trump!
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema. Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya uma kwa sasa yaige utendaji bora na ufanisi wa Tanesco

    Utendaji wa sasa wa wafanyakazi wa Tanesco katika kushughulikia dharura za umeme zinapotokea, kwa kweli zinatufurahisha wateja kwani ni za haraka na za ufanisi mno.Sijajaua nani aliyeleta mwamko huu katika shirika hili la umma amblo mwanzoni zilikuwa haziridhishi. Ila kama ni ujio wa mtendaji...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania NGOs 30 za kimataifa zimeliandikia Baraza la Haki za Binadamu UN kuitisha kikao Maalumu kuzungumzia hali inayoendelea Tanzania

    Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ili kuzuia unyanyasaji zaidi. Katika barua iliyotolewa leo, mashirika 30...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia

    Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia. Tulieema ni kesi za uongo wanachochea moto wakifikiri wanauzima na kutafuta vitisho kumbe wanatutia hasira.
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Mashirika ya haki za binadamu yatilia shaka uchaguzi mkuu Tanzania

    Chazo cha mitandao kuzimwa nchi ni kuwa mashirika ya kutetea haki yameikandamiza serikali kuhusu uchaguzi usiohaki. Kufika kesho mitandao yote iliobaki itazimwaaa kbs. Vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa 12 asubuhi !! Hahaha aya huon muda mimi nitakuwa nimelala
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hamas walijipenyeza hadi mashirika ya UN, Maandamano yapo

    CCM wanaotaka maandamano wako hadi kamati kuu... Mwaambieni Msando hana uwezo wa kuzuia kinachokuja mbele
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ijue Google Ad Grant kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali, mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanahitaji mbinu bora za kuwafikia wadau, wafadhili, na jamii kwa ujumla. Moja ya fursa kubwa ambazo mara nyingi hazitumiki vya kutosha ni Google Ad Grant. Google Ad Grant ni mpango wa Google unaotoa matangazo ya bure ya...
  14. JamiiForums Tanzania Bodi ya wakurugenzi kwenye mashirika ya umma wawepo hata foreigner ili kuongeza ufanisi

    Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee Sina nia mbaya...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi za ma-ceo kwenye mashirika ya umma watakuwa wanafanyiwa interview ngumu sana na sio nyepesi

    Nafasi za ma-ceo kwenye mashirika ya umma watakuwa wanafanyiwa interview ngumu sana na sio nyepesi
  16. JamiiForums Tanzania Ntaifanya Tanzania kuwa kitovu cha mashirika ya kimataifa

    Tunafahamu baada ya mahakama ya mauaji ya kimbari kumaliza shughuli zao Arusha tunafahamu kuna kitu kikubwa Arusha kilipungua yaani ile Multiplier effects iliyokuwa inatokana na mahakama iliondoka Kama nchi kuna faida kubwa sana kuwa na ofisi za mashirika makubwa ya dunia kama nilivyosema hapo...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kwamba kazi za IT / Computer serikalini wana muda mwingi sana wa kupumzika bila kazi ?

    Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri. Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda...
  18. JamiiForums Tanzania Burkina Faso yafuta leseni za mashirika manne ya kigeni

    Burkina Faso imefuta leseni za mashirika manne ya misaada ya kiutu ya kigeni kuendesha shughuli zao nchini humo, na kusimamisha mashirika mengine mawili.Kwa mujibu wa amri ya serikali, iliyotiwa saini katikati ya mwezi Juni, inamnukuu waziri mmoja wa serikali akisema kuwa hatua dhidi ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mashirika bora ya Ndege Africa 2025, TZ chali

    Below are the best airlines in Africa in 2025: Rank Airline 1 Ethiopian Airlines 2 Air Mauritius 3 RwandAir 4 South African Airways 5 Egyptair 6 Royal Air Maroc 7 Kenya Airways 8 FlySafair 9 LIFT 10 Fastjet
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mashirika ya umma wao ajira zao huwa wanazitangazia wapi?

    Mko salama? Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu. Mashirika yenyewe ni haya. 1.Pssf 2.Nssf 3. Msd 4.wcf 5.Tanesco 6.Ewura 7.Latra 8.Tcaa 9.Tcra 10.heslb 11.CAG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…