mashirika ya umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dennis Robert Shughuru

    Bodi ya wakurugenzi kwenye mashirika ya umma wawepo hata foreigner ili kuongeza ufanisi

    Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee Sina nia mbaya...
  2. Dennis Robert Shughuru

    Ma-CEO wa mashirika ya umma wanatakiwa wafanyiwe interview na debate kabla hawajapewa kazi

    Kuna mwaka waziri flani wa nishati kutoka jimbo moja mkoa wa Tanga aliteuliwa kuwa waziri baada ya mda akamteua mtu anayeitwa maharage kuwa CEO wa TANESCO yule jamaa sidhani kama alikuwa na hata experience ya mambo ya kuongoza hata kampuni ya ukandarasi ya umeme, ule ni mfano mmoja wapo ya mingi...
  3. Tanzanians

    Nafasi za ma-ceo kwenye mashirika ya umma watakuwa wanafanyiwa interview ngumu sana na sio nyepesi

    Nafasi za ma-ceo kwenye mashirika ya umma watakuwa wanafanyiwa interview ngumu sana na sio nyepesi
  4. K

    Hivi haya mashirika ya umma wao ajira zao huwa wanazitangazia wapi?

    Mko salama? Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu. Mashirika yenyewe ni haya. 1.Pssf 2.Nssf 3. Msd 4.wcf 5.Tanesco 6.Ewura 7.Latra 8.Tcaa 9.Tcra 10.heslb 11.CAG
  5. Waufukweni

    Rais Samia apokea gawio nono la TSh. Tril 1.28, ongezeko la 68% kutoka Taasisi na Mashirika ya Umma

    Leo, Juni 10, 2025, Rais Samia amepokea gawio nono la Shilingi Trilioni 1.28, michango kutoka kwa taasisi na mashirika ya umma, ikiwa ni ongezeko la asilimia 68. Hafla hiyo imefanyika Ikulu, Dar es Salaam. "Mbele yako leo hii Mhe. Rais ninayofuraha ya kukukabidhi Gawio ambalo ni nono kuliko la...
  6. Roving Journalist

    Rais Samia akipokea Gawio na Michango kutoka kwa Taasisi na Mashirika ya Umma Juni 10, 2025

    Rais Samia akishiriki Hafla ya Kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Taasisi na Mashirika ya Umma Ikulu Dar es Salaam, tarehe 10 Juni, 2025. https://www.youtube.com/live/Lf1jVU2cugw?si=sGSInESSct_k5jxS
  7. Isenye

    Kwenye haya mashirika ya umma huwa inachukua muda gani kuitwa kazini baada ya kufanya oral interview?

    Mko poa wajumbe wa jukwaa hili? Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview? Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs. Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
  8. Dalton elijah

    Mukhatasari wa Ripoti Ya CAG kuhusu Mashirika ya Umma kwa Mwaka 2023/2024

    RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA MASHIRIKA YA UMMA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Ripoti hii inaonesha ukaguzi wa mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2024. Inajumuisha utendaji wa kifedha na uendeshaji wa mashirika ya umma...
  9. Upekuzi101

    Wakurugenzi waliosabibisha hasara kubwa kwenye mashirika ya umma wajiuzulu, Rais futa watu kazi

    Kuna umuhimu gani wa kwa wakurugenzi wote waliorekodi hasara kubwa katika mashirika ya umma wanayoyaongoza kuendelea kuwa kazini? Hakuna uwajibikaji katika utumishi wa umma kabisa na ukichunguza kwa undani hasara nyingi katika mashirika ya umma yanasabibishwa na ufisadi, uzembe, wizi ikiwepo...
  10. W

    Ripoti ya CAG: Mashirika 12 kati ya 217 yaliyokaguliwa yametumia Sh. Bilioni 371.42 katika matumizi yasiyoleta thamani kwa taasisi

    Akiwasilisha ripoti yake kwa Rais, Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, Charle Kichere ameeleza kuwa mashirika 12 kati ya 217 yaliyokaguliwa yametumia Bilioni 371 katika matumizi yasiyoleta thamani kwa taasisi. Matumizi hayo yalitokana na mambo mbalimbali ikiwemo malimbikizo ya riba...
  11. Guus

    Shirika la Posta ni taasisi inayojipeleka kaburini

    Historia ya Shirika la Posta Tanzania Huduma za Posta kama taasisi zilianzishwa nchini na Serikali ya kikoloni ya Ujerumani. Huduma ya kwanza ya barua iliyobandikwa stempu ilianzishwa hapa nchini mwaka 1893. Mara baada ya Uhuru wa Tanganyika tarehe 9 Desemba 1961, huduma za Posta ziliendelea...
  12. Megalodon

    Mashirika ya Umma yanayopaswa kubinafsishwa haraka iwezekanavyo ili tutoboe kama Taifa

    Mashirika yanayopaswa kubinafsishwa au kufanya PPP yaani Public Private Partnership haraka iwezekanvyo kwa sababu yameshindwa kuwa na tija kwa taifa kwa muda mrefu huku wakitoa Altered data za utendaji but deep down mashirika haya yamekosa tija na mchango kwa taifa lenye watu 65M ; haya...
  13. M

    Madaraka ya wenyeviti wa bodi kwenye mashirika/taasisi za umma

    Habarini wakuu, Naomba kufahamu kuhusu madaraka ya wenyeviti wa bodi kwenye mashirika/taasisi za umma hasa kwenye ajira. Je, mwenyekiti wa bodi anayo mamlaka ya kuajiri au kufanya recommendation ili mtu aajiriwe kwenye taasisi yake bila tangazo la ajira? Kuna ubishani tu kijiweni kwetu...
  14. ChoiceVariable

    Msajili wa Hazina: Serikali kuyafuta Mashirika na Taasisi 40 za Umma zinazozalisha hasara na kutegemea ruzuku ya Serikali kuu

    Msajili wa Hazina amesema Serikali katika mwaka wa Fedha 2024/25 Serikali Kupitia Hazina inatarakia Kuyafuta Mashirika na Taasisi za Umma 40 ambazo zilianzishwa Kwa minajiri ya kibiashara lakini zimeshindwa kabisa kujiendesha kibiashara na kutegemeana ruzuku ya serikali kuu. Serikali inakusudia...
  15. Mystery

    Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

    Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa...
  16. Roving Journalist

    Nehemiah Mchechu: Taasisi na Mashirika ya Umma wafikirie njia za kuwekeza nje ya nchi

    Taasisi na Mashirika ya Umma nchini yametakiwa kujikita katika kufikiria njia mbalimbali zitakazowawezesha kuwekeza nje ya nchi ili kusaidia nchi iendelee kujitawala kiuchumi. Rai hiyo imetolewa leo Agosti 27, 2024 jijini Arusha wakati Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu akizungumza na...
  17. BLACK MOVEMENT

    Tanzania inawezekana? Ruto asitisha ununuzi wa Magari ya Serikali kwa mwaka mzima, Mashirika ya umma 47 yafutwa hayana tija

    Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali. ====== Rais Ruto ametoa hatua zifuatazo...
  18. L

    Rais Samia kupokea Gawio na Michango kutoka Mashirika na Taasisi za Umma, Matukio kurushwa live kupitia vyombo vyote vya habari

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana...
  19. Insidious

    Je, Website za Serikali na mashirika ya umma hazifanyi kazi muda huu au ni kwangu tu? "This site can’t be reached"

    Habari wana jukwaa, Nimejaribu kuingia Website za serikali na za mashirika ya umma ila naona zote zinasema "This site can’t be reached". je kuna shida? na zote zinatumia server moja? Nimejaribu web zifuatazo; 1. IKULU 2. EGA 3. PSRS 4. NSSF 5. WIZARA KADHAA Jaribu na wewe mdau tujue.
  20. A

    KERO Namba nyingi za simu za Mashirika ya Umma hazipatikani

    Habari mimi ni mdau, changamoto yangu kubwa ni kuwa namba nyingi za simu za mashirika ya umma hazipatikani na zingine ukipiga zinakuwa hazipo... Pamoja na changamoto hiyo, bado mashirika wanaziweka hizo namba kwenye anuani za mashirika hayo jambo linaloleta mkanganyiko sana hasa ukiwa...
Back
Top Bottom