mashariki ya kati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Wazo langu: amani ya kweli itapatika Mashariki ya kati kwa kuigawanya nchi ya Syria kuwa nchi

    Wadau hamjamboni nyote Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo Syria igawanywe kuwa nchi 2 Lebanon igawanywe kuwa nchi 2 Siku njema
  2. Hivi Nchi za Mashariki ya kati zinatofauti gani na wananchi wa Tanzania?

    Wamebakia wanasiasa kubwatuka katiba mpya katiba mpya,wengine fulani katekwa,wengine njaaa,wengine kitukana mitandaoni. Upande mwengine umoja wa mataifa na waatabu kwa ujumla wameipa mamlaka nchi ya Israel kuvamia eneo lolote kwa mabavu huku wakibakia kuangalia na wengine kukemea/kubweka kama...
  3. Kwa nini Israel inaachiwa ifanye itakavyo hapo Mashariki ya Kati

    Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati? Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi? Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
  4. Anguko la Syria litafungua njia kwa anguko la tawala za Kishia Mashariki ya Kati

    Homs tayari imeanguka mikononi mwa waasi Damascus ipo matatani Wakurd jana nao wameteka mji wa mashariki mwa Syria na kuzuia jeshi la Iraq na Iran kutoa msaada wa silaha na kijeshi kwa Assad Homs Wanamgambo wa Hayat Tahrir al-Sham (HTS) muda huu wapo Homs, wakishika maeneo muhimu ya mji...
  5. Uturuki imesabisha ukosefu wa maji kwa watu milioni moja huko Syria. Wapenda haki wa Free Palestine mbona hampazi sauti?

    Unajua unafiki ndio mlionao. Kila siku mimi huwa nawaambia kuwa harakati zenu sio za ukombozi wa haki au usawa bali ni za itikadi, itikadi za kitapeli. Uturuki amerusha makombora huko Syria kurudisha mashambulizi kama vile Israel anavyofanya akichokozwa. Ila macho yenu yote yamekaa Israel...
  6. Kushabikia vita vinavyoendelea huko Mashariki ya Kati ni kukengeuka

    Inasikitisha sana kuona vita vimegeuzwa kama ushabiki wa mpira.Huku watu wanakufa, watu wanapata ulemavu wa kudumu, wengine wanapoteza kila kitu! Wengine wanatazama hii vita kwa itikadi za kidini kitu ambacho si kweli.Ukiingia mitandaoni watu wanabishana mpaka kutoleana maneno makali kisa vita...
  7. U

    Jeshi la Marekani lapeleka ndege za kivita aina ya F-15E Mashariki ya Kati ikijiandaa na shambulizi la Iran

    Kumekuchaaa! Ndege vita hatari ziko njiani kwenda Mashariki ya kati na tayari zimekatiza anga ya Jordan Iran kuishambulia Israel kutokea Iraq. ======== The United States is continuing to send forces to the Middle East ahead of an expected Iranian attack on Israel, with flight tracking sites...
  8. K

    Tatizo kubwa wa serikali nyingi za Africa na mashariki ya kati

    Baada ya kukaa nchi ya USA kwa muda mrefu pamoja na mapungufu mengi wamefanikiwa sana kwasababu hizi 1. Wana mfumo imara ambao kiongozi yeyote anaweza kushinda na kushidwa 2. Mahakama na mfumo wa sheria mzuri 3. Uhuru na sio uchawa 4. Ubunifu 5. Mfumo wa uchumi ambao ni imara mfano bank kuu yao...
  9. U

    Iran yapinga vikali hatua ya Marekani kupeleka ndege hatari za B-52 kwani kinatishia hali ya utulivu na amani mashariki ya kati

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo. "Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei...
  10. Kwanini mkojo ulifanywa najisi na dini za zamani za Mashariki ya kati?

    Kwanini vitabu vya dini za zamani viliamua mkojo na hedhi kuwa vitu najisi? Mkojo una tofauti gani na jasho? Kwa nini mkojo ni najisi wakati jasho sio najisi? Kuna tatizo gani mwanamke akienda katika ibada katika siku zake kama amevaa pedi ?
  11. Ni Mfumo upi masbariki ya kati imetimiza malengo

    Kwa kuanza, niwafahamishe maana ya mifumo ya ulinzi .. hii ni dhana nzima inayohusu kulinda watu, wapiganaji na mali zao kwa ujumla dhidi ya pande korofi, mifumo yote ya ulinzi ina lengo la 1. kuweka raia na wapiganaji salama, hili ndilo lengo la kwanza kwa Taifa lolote timamu utu ni jambo la...
  12. A

    Mashariki ya kati: IDF ilituma zaidi ya ndege za kivita 100 Tehran kushambulia kambi za kijeshi zaidi ya 20

    Jeshi la Israel 🇮🇱 lilituma zaidi ya ndege 100 kwenye anga la Iran 🇮🇷 na kushambulia kambi za jeshi zaidi ya 20 ,huku Iran ikijitahidi kutumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kupunguza madhara, vinaropoti vyanzo mbali mbali. Mpaka sasa Iran haijathibitisha kutokea kwa madhara, huku IDF...
  13. Tanzania imesaini MoU na Iran leo

    Kutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
  14. U

    Rais wa Marekani Joe Biden akutana na kufanya kikao kizito na Viongozi wa dini ya Kiyahudi Ikulu ya White House jijini Washington

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa rasmi kutoka Ikulu ya white house Rais wa taifa la Marekani Joe Biden amefanya kikao na waheshimiwa Viongozi wa dini ya kiyahudi - Judaism Kikao hicho kilihudhuriwa na watu wachache sana maalumu. Maelezo zaidi kuhusu kikao nyeti yatatolewa. Mungu ibariki...
  15. G

    Pamoja na kuwa kwenye hali ya vita, rasilimali chache za ardhi na udogo wa nchi, Israel ni nchi ya pili kwa uchumi mashariki ya Kati

    Amini kuna miujiza hapa Duniani, kanchi kadogo kapo vitani lakini kanakimbiza nafasi ya pili huko Middle east N:B: Ule msaada wa dola bilioni 3 wanaopewa na Marekani kila mwaka haufikii asilimia 1 % https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Middle_Eastern_countries_by_GDP
  16. B

    Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani

    Haya tena Papa Francis naye acharuka: Hivi hawa wenye kujua kinacho hitajika kuwa ni kukaa chini na kuongea amani ni wafuasi wa nani? Kwamba siyo wenda wazimu? Ni maswali nyeti sana haya kwa wenye akili zao.
  17. Faida Vs Hasara ya Makundi ya Iran Mashariki ya Kati

    Dunia nzima, hakuna nchi inayomiliki makundi ya wapiganaji ndani ya nchi nyingine, isipokuwa nchi ya Iran pekee. Makundi ya wapiganaji yanayomilikiwa na Iran ni pamoja na Hezbolah, Hamas na Houthi. Makundi haya yamepandikizwa kwenye nchi za kiarabu zenye serikali zinazoongozwa na wasunni, huku...
  18. Urusi imewataka raia wake wote waondoke mara moja Israel

    Benyamin Netanyaho sasa amelikoroga kagusa pumbu za Putin ngoja akutane na figisu za Red Army BREAKING: 🇷🇺🇮🇱 Russia has just ordered its citizens to immediately leave Israel after Israeli airstrikes attacked the vicinity of Russia's Khmeimim base in Syria. In light of the extremely tense...
  19. G

    Wakati tunaendelea na uchambuzi wa vita mashariki ya kati na mashariki ya mbali, tusisahau vita yetu ya ujinga na maradhi tangu 60s

    Naomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine. Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini🤔🤔😄😄
  20. Tukiweka ushabiki maandazi pembeni, pale Mashariki ya Kati zinaongea akili ukubwa tu!

    Ndio, tukiweka ujinga ujinga mwingi pembeni pale mashariki ya kati zinaongea akili kubwa tu. Hebu fikiria Iran inarusha kombora linavuka Iraq na Siria na kutua Israel tena mjini kabisa. Hata kama halijaua mtu lakini fikiria watu waliokaa mpaka wakaja na hiyo silaha! Wenzetu wanatumia akili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…