mashambulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JaxenDL

    Watoto 208 wauawa Iran kwa mashambulizi ya Marekani na Israel

    (CHANZO CHA PICHA, REUTERS) Mkuu wa huduma za dharura anasema idadi ya watoto waliouawa nchini Iran tangu vita kuanza Februari 28 imeongezeka hadi 208. Katika taarifa ya video iliyochapishwa na mtangazaji wa kituo kinachomilikiwa na serikali IRIB, Jafar Miadfar alisema kwamba kati ya watoto 208...
  2. O

    Iran inataka kushambulia Pwani ya Magharibi ya Marekani kama kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani

    Ripoti zinasema kuwa FBI imetoa tahadhari kwa vyombo vya usalama katika jimbo la California kwamba Iran inaweza kufanya shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya Marekani. Inaelezwa kuwa shambulio hilo linaweza kutumia ndege zisizo na rubani (drones) zinazoweza kurushwa kutoka meli isiyojulikana...
  3. H

    Iran Yalalamikia Baraza La Usalama, Yasema Mashambulizi ya Israel Labanon Yameua Wanadiplomasia Wake 4 Walioenda Kwa Mwaliko Mwaliko wa Lebanon

    Intelijensia ya Israel ni ya kushangaza. Fikiria wanadiplomasia wa Iran, kwa siri walulienda Lebanon, bila shaka, kukutana na Hezbolla, kabla hata ya kukutana, Israel ikawaua wote wanne. Pia Iran imelaumu Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kukaa kimya wakati nchi yake ikishambuliwa na Israel...
  4. Sir John Deere

    Iran imesitisha mashambulizi kwa nchi za kiarabu kwa masharti. Mashambulizi kwa Israel na Marekani yataendelea kama kawaida

    Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
  5. P

    UAE, Kuwait zasema 4 wauawa, 90 wajeruhiwa katika mashambulizi ya Iran

    Falme za Kiarabu (UAE) na Kuwait zimesema kuwa watu wanne wameuawa na wengine 90 kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani (drones) kutoka Iran, kufuatia shambulio la Marekani na Israeli dhidi ya Iran. Wizara ya Ulinzi ya UAE imesema katika taarifa yake kuwa mifumo...
  6. O

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinaripoti kwamba binti wa Khamenei ameuawawa.

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti kwamba binti yake Khamenei, mkwe wake wa kiume, mjukuu wake na mkwe wake wa kike wameuawa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, vifo hivyo vinadaiwa kutokea kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni yaliyoripotiwa kulenga makazi yake. Hata hivyo, maelezo...
  7. O

    Mamlaka ya Palestina imelaani mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi za Kiarabu

    Palestinian Authority imelaani mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi za Kiarabu, ikisema hatua hiyo ni ukiukaji wa mamlaka ya nchi husika, inahatarisha usalama wa raia, na inaweza kuongeza zaidi mzozo na kuyumbisha utulivu wa Mashariki ya Kati. Mamlaka hiyo imetoa wito wa kujizuia na kusisitiza...
  8. O

    Umoja wa Afrika (AU) umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.

    Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
  9. MK254

    Hatimaye mkuu wa IRGC Iran auawa na mashambulizi ya Israel

    Huwa sielewi hawa makobaz akili zao huweka wapi, yaani mnajua vita vinakuja halafu mnaanika wakuu wenu kizembe, huyu kubwa la magaidi wa hiyo dini ameuawa kizembe sana.... Israeli and US strikes on Iran killed several senior Islamic Revolutionary Guard Corps commanders and Islamic Regime...
  10. O

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni.

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
  11. R

    Iran yamuonya Trump kwamba itajibu Mashambulizi yatakayotokea

    Iran imeonya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa shambulio lolote la Marekani litalisababisha Tehran kulirejelea shambulio dhidi ya Israel na kambi za kijeshi za Marekani katika eneo hilo kama “malengo halali,” alisema Spika wa Bunge, Mohammad Baqer Qalibaf, mbele ya wabunge. Vyanzo vya...
  12. Echolima1

    Baada ya IDF kuwapiga kwenye mshono Iran leo wamelalamika!!

    Baraza la Ulinzi la Kitaifa la Iran limetoa taarifa inayopendekeza kwamba linaweza kuanzisha shambulio la mapema dhidi ya Israeli(Preemptive-Strike)‼️ "Usalama, uhuru, na uadilifu wa eneo la Iran ni mstari mwekundu ambao haupaswi kuvukwa. Uchokozi wowote au tabia yoyote ya uadui inayoendelea...
  13. Webabu

    Houth wasema wana aina mpya za silaha ambazo wanakusudia kuanza kuzitumia kwa Israel.Na wameweza kuzuia mashambulizi ya jana yaliyofanywa dhidi yao

    Msemaji wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mashambulizi ya jana waliyofanya na kuwatia hasara mayahudi ni madogo kuliko yale wanayoweza kuyafanya kwa kutumia silaha mpya ambazo wanatengeneza wenyewe. Msemaji huyo amesema katika mashumbulizi mapya ya Israel wao wamefanikiwa kuzuia sehemu...
  14. Dalton elijah

    jeshi la anga la Israel limefanya mashambulizi katika mji mkuu unaoshikiliwa na Wahouthi nchini Yemen

    Jeshi la anga la Israel IDF limefanya mashambulizi katika mji mkuu unaoshikiliwa na Wahouthi wa Yemen, Sanaa, Taarifa hii imetolewa na vyombo vya ndani nchini isarel Mashambulizi hayo yanakuja baada ya waasi wa Houthi siku ya Ijumaa kurusha ndege isiyo na rubani na kombora la balestiki...
  15. The Zanzibar Echo

    Urusi yaanzisha mashambulizi mapya magharibi mwa Ukraine

    Urusi imerusha mamia ya ndege zisizo na rubani na makombora magharibi mwa Ukraine usiku kucha katika moja ya mashambulizi makubwa zaidi ya mabomu katika wiki za hivi karibuni, maafisa wa Ukraine wamesema. Mashambulizi hayo yaliripotiwa huko Zaporizhzhia, Dnipropetrovsk, na Lviv, ambapo mtu...
  16. Jackal

    Madhara Ya Pager:Karibu Magaidi Elfu Tatu Wa Hezbollah Au Wanafamilia Wao Wamekuwa Vilema Sababu Ya Mashambulizi Ya Pager Yaliyofanywa Na Mossad

    Source:Alarabiya TV
  17. dronedrake

    Bandari ya Eilat Nchini Israel Kufungwa Mpema Jumapili Hii Kwa Kujiendesha Kwa Hasara Kutokana Na Mashambulizi ya Houthi Huko Bahari Nyekundu

    Baada ya Kujiendesha kwa hasara kwa miaka kadhaa, bandari hiyo iko mbioni kufungwa mapema Jumapili hii ambapo chanzo kimesema shughuli za hapo zimeshuka kwa zaidi ya 90% , huku ikidaiwa kujiendesha kwa hasara kwa deni lisiloisha, kukosekana kwa mapato, kuongezeka kwa gharama za uendeshaji...
  18. MK254

    Rais wa Iran alijeruhiwa kwenye mashambulizi ya ndege za Israel

    Alinusurika kauwahishwa kwa mabikira 72 baada ya kutokea kwenye mlango wa nyuma wa jengo alilokua anafanya kikao, lilipigwa mabomu ikabidi aingie mitini. Israel ni kichaa.... -_----++++++++ Iranian President Masoud Pezeshkian was injured in the leg during an Israeli airstrike last month on a...
  19. The Zanzibar Echo

    Ukraine yakabiliwa na mashambulizi makali zaidi baada ya Trump kumkosoa Putin

    Rais Volodymyr Zelensky amesema Ukraine imekumbwa na shambulizi kubwa zaidi kuwahi kutokea la anga kutoka Urusi, ndege zisizo na rubani 728 na makombora 13 ya baharini au ya balistiki yalipiga miji kote nchini humo. Zelensky alilaani shambulio na kuongeza: "Inakuja kwa wakati ambapo juhudi...
  20. The Zanzibar Echo

    Israel yaanzisha mashambulizi katika maeneo lengwa ya Wahouthi huko Yemen

    Israel inasema imeanzisha mashambulizi kwenye bandari tatu na kiwanda cha nguvu za umeme katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi ya Yemen. Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alithibitisha wanacholenga ikiwa ni pamoja na meli ya kibiashara ya Galaxy. Meli hiyo, iliyotekwa nyara na kikundi...
Back
Top Bottom