Wakili wa kujitegemea, Jebra Kambole, amepinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuwakataa baadhi ya mashahidi waliopendekezwa na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili.
Kambole amesema Mahakama haikupaswa kuamua kuwa ushahidi wa mashahidi hao hauna umuhimu (relevance)...