mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mashabiki wa Simba SC tunahitaji kujitafakari

    Sisi mashabiki wa simba tunaitaji kujitafakari, ifike muda tukubali kuwa wenzetu upande wa pili wamejipanga kutuzidi sisi kwenye huu msimu, kitu ambacho tulikua tunajidai nacho ni ushiriki wetu kwenye michuano ya kimataifa lakini baada ya kutupwa nje kwenye michuano hiyo kwa sasa tumeanza...
  2. Kocha Man. Utd Asaini Mkataba Kuifundisha Austria, Mashabiki Wakasirika

    Kocha wa Manchester United, Ralf Rangnick ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Austria majukumu ambayo atayaanza baada ya kumalizika kwa msimu huu. Pamoja na hivyo atakuwa akiendelea na mjukumu ya kuwa mshauri wa Man United jambo ambalo mashabiki wa timu hiyo wamekasirika na wamekosoa...
  3. Kigeugeu Cha timu za Kariakoo na mashabiki zao

    Habari za muda huu. Msimu wa 2019/2020 ,Simba walimsajili Onyango na Yanga wakamsajili Mwamnyeto. Mashabiki wa Simba walidai kuwa Mwamnyeto alikuwa dhaifu na alifichiwa madhaifu na AME , viongozi wakapambana haraka Ame akasajiliwa ili kupigia mstari hoja zao. Yanga wakadai Onyango ni mzee...
  4. CAF yaruhusu mashabiki 60,000 Uwanja wa Mkapa, mechi ya Simba dhidi ya Orlando Pirates

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limeruhusu mashabiki 60,000 kuingia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mtanange, hatua ya Robo Fainali kati ya Simba SC kutoka mitaa ya Msimbazi Jiji Dar es salaam, dhidi ya Orlando Pirates kutoka Afrika Kusini. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa...
  5. Kuna watu humu wanajulikana kama mashabiki wa simba lakini hawaisemei vizuri timu yetu

    Watu hao waiuponda uongozi wa Simba in the name of mashabiki kindakindaki wa Simba. Nafkri wanajukwaa hasa ambao ni wanaSimba wenzangu, mtakuwa mashahidi kama nikisema mwenzetu GENTAMYCINE ana chuki binafsi na uongozi uliopo pale Simba, lila kukicha Uongozi wa Simba umefanya kosa hapa mara...
  6. Mashabiki wa Urusi wanavyoswitch habari ziende wanavyotaka wao na wasikilize wanachotaka wao (walidharau Mwiba mguu waanza kuoza)

    Habari za wanandugu hapa! Wakiwa wamekufa wanajeshi zaidi ya 10,000 wa Urusi na 2600 wa Ukraine na raia 5200 wa Ukraine, Hakuna aliyeamini Kama Kuna Kifaru cha Urusi kitaguswa wala hakuna aliyeamini kama Urusi ataruhusu hata majeshi wake mmoja kuuwawa huko vitani, maana wengi walilibeka...
  7. Video: Akili za mashabiki wa Diamond zilivyo

    👇👇👇😥 Imagine ni mwanao na baba yako.
  8. I

    Mashabiki zangu wa Chelsea tupo tiari kupokea anguko letu kwa mwenendo huu?

    Naam uzi huu ni kwa mashabiki wenzangu wa chelsea. Kutokana na vikwazo iliyowekewa klabu na serikali ya uingereza, inaonekana kuna nafasi kubwa kwamba klabu yetu pendwa inaenda kupata anguko kubwa sana. Hakuna hela inayoingia kwenye klabu kwa sasa kwaio kutokana na matumizi makubwa ya klabu...
  9. CAF yaruhusu mashabiki 35,000 mechi ya Simba Vs RS Berkane, Uwanja wa Mkapa

    Uongozi wa Klabu ya Simba umethibitisha kupokea taarifa kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuwa inayotoa nafasi ya kuingiza mashabiki 35,000 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mchezo wa Kundi D, Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo...
  10. Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

    Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais. Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza...
  11. Simba yatoa angalizo mashabiki wake kutowafanyia fujo mashabiki wa timu nyingine uwanjani

    Simba yawaambia mashabiki wake kutowafanyia fujo mashabiki wa timu nyingine uwanjani
  12. Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa

    Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa
  13. Kwa kikosi hiki cha Simba SC, nawashauri mashabiki wajiandae kisaikolojia maana hawatafika popote

    Takwimu za Asec mimosa ligi kuu mechi 7 win 7 point 21 na wanaongoza ligi Huku upande wa simba mambo yako hivi. Morrison Lwanga- injury Chama Mugalu kibu denis- injury Hawa ni wachezaji watakao kosekana mechi ya shirikisho zidi ya Asec mimosa. Mimi ni yanga damu ila Kusema kweli simba hawatoboi
  14. Simba hatuna mashabiki wa kulialia, hao wapo huko..

    “Simba sasa hivi hatuna mashabiki lialia Kwa sababu simba hatuliilii lakini tuna mashabiki wa kufurahia, Lialia timu nyingine hizo zenye maisha magumu,” kauli ya Ahmed Ally, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba.
  15. Man Utd yatupwa nje FA Cup, mashabiki wamponda Ronaldo

    Baadhi ya mshabiki wa soka wamemponda na kumdhihaki Cristiano Ronaldo mara baada ya kukosa penati na kushuhudi timu yake ya Manchester United ikiondolewa katika Kombe la FA dhidi ya Middlesbrough. Ronaldo, 36, alikuwa na nafasi ya kuanza kufunga katika dakika za mwanzo kwa penati baada ya Paul...
  16. Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC. Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki? Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF UPDATE Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba. 17” Kagera Sugar 0...
  17. Kwanini Mukoko amendoka Young African, wakati bado aiipambania timu kwa hali na mali, huku mashabiki bado tunampenda?

    Ukweli ni kwamba Mukoko ni mchezaji mgumu na anayejituma zaidi uwanjani. Tatizo ni kwamba umiliki wake wa mpira hauko vizuri. Mguso wake wa kwanza wa mpira sio mzuri kulinganisha na Aucho na Bangala. Mbaya zaidi ni kwamba Mauya ni mzuri zaidi katika umiliki wa mpira kuliko Mukoko. Tatizo la...
  18. Simba vs Yanga: Timu ipi ina wapenzi wengi hapa JamiiForums?

    simba sports club ni timu iliyoanzishwa mwaka 1936 jijini Dar es Salaam, Kariakoo mtaa wa Msimbazi. Yanga Sports Club ndio Club kongwe kabisa nchini na ndio mabingwa wa kihistoria. Club hii yenye makao yake Kariakoo mtaa wa Jangwani na Twiga ilianzishwa mwaka 1935
  19. Uzi maalum wa mashabiki wa Mbeya City FC

  20. B

    Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

    Siasa si ushabiki, wala vita vya kisiasa si lelemama. Haipo shaka aina za kina Lissu, Mbowe na wa namna hiyo ni machampioni kweli kweli. Si haba pia kwa kina Polepole, Kinana, Makamba au kina Membe kwa wakati wao. Kwa hakika nao walijaribu. Wa kuzingatiwa katika vita huwa ni maadui na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…