mary chatanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 Mary Chatanda (UWT) awataka Wanawake kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Pius Chatanda (MCC) tarehe 27 Juni, 2025 amewataka Wanawake wote Nchini Tanzania kuitumia fursa hii ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kujitokeza Kwa wingi kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi udiwani, Ubunge kwenye majimbo na Viti Maalum, amesema Chama Cha...
  2. R

    PreGE2025 Mary Chatanda: UWT haitavumilia vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wagombea, hususan kwa Rais Samia, tutachukua hatua

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake ya Chama cha Mapinduzi Tanzania UWT, Mary Chatanda ameweka msisitizo kuhusu ukatili wa kijinsia hasa kwa viongozi ambapo amesema UWT itawalinda wagombea wake dhidi ya ukatili huo hususani Rais Samia Hata hivyo amewataka wananchi nchini kujitokeza kugombea...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Mary Chatanda: Tanzania nzima, Wanawake wamshukuru Rais Samia kwa Huduma za Afya

    Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Pius Chatanda, amesema wanawake nchini wanamshukuru kwa dhati Rais Samia kwa juhudi zake kubwa katika kuboresha huduma za afya kupitia ujenzi wa Zahanati, Vituo vya afya, Hospitali za Wilaya, Mikoa na Kanda. Amesema kuwa kabla ya maboresho hayo, wanawake –...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mary Chatanda: Akitokea Mwanaume anagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao asipewe kura

    Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu Mary Chatanda amesema kuwa akitokea Mwanaume anagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao asipewe kura huku akiwasisitiza wanawake kumchagua Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao. Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndugu Mary Chatanda...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Mary Chatanda ashiriki ujenzi wa nyumba ya mjane wa Nyama ya Swala, Maria Ngoda

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa (MCC) Mary Pius Chatanda ameshiriki zoezi la ujenzi wa nyumba ya Maria Ngoda maarufu kama 'Mjane wa Nyama ya Swala' nyumba ambayo inajengwa kutokana na jumuiya hiyo kutoa kiasi cha fedha kwa ajili ya mkono...
  6. Cute Wife

    PreGE2025 Mary Chatanda awaonya Madiwani na Wabunge wanaojipitisha kwa Wajumbe ili waungwe mkono

    Wakuu, Mary ameenda kutoa onyo hilo huku akiwa mgeni mresmi wenye hafla ya kutoa 'zawadi' kwa wananchi, si ndio yale yale ama? Au ukiongozana na kiongozi mwingine ndio inaacha kuwa rushwa? ===== Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Pius Chatanda (MCC) amekasirishwa na tabia ya baadhi ya wanasiasa...
  7. Waufukweni

    LGE2024 Mary Chatanda: CCM ina Imani kubwa na Wanawake kwa Maendeleo ya Taifa

    Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Chatanda (MCC) amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina imani kubwa sana na wanawake na kinaamini wanamchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Taifa. Chatanda amayasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Riverside, Kata ya Mwembesongo...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti UWT Taifa Aongoza Kongamano la Mafunzo ya Matokeo ya Sensa

    MWENYEKITI WA UWT TAIFA AONGOZA KONGAMANO LA MAFUNZO YA MATOKEO YA SENSA, KAHAMA, SHINYANGA Mwenyekiti wa Jumuiya ya Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Marry Pius Chatanda ameongoza Kongamano la Mafunzo ya Matokeo ya Sensa kwa Makundi...
  9. Ojuolegbha

    PreGE2025 LGE2024 Chatanda afungua semina ya viongozi wa UWT mkoani Shinyanga, ahimiza wanawake kuwania nafasi za uongozi

    Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Ndg. Mary Chatanda akiwa ameambatana na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT Taifa, tarehe 01 Julai, 2024 amefungua Mafunzo ya usambazaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya watu na Makazi ya Mwaka 2022 Kwa viongozi na watendaji wa Makundi maalum...
  10. Ojuolegbha

    CDE. Issa Gavu apokelewa kwa shangwe na Mwenyekiti wa UWT CDE. Mary Chatanda

    Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndugu. Issa Haji Ussi (Gavu) tayari amewasili katika Ukumbi wa Mkuki House na kupokelewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Mary Chatanda (MCC). Ndugu. Gavu amefika na kuungana na UWT katika Kongamano la Kumshukuru na...
  11. Ojuolegbha

    Mwenyekiti UWT Taifa Mary Chatanda msibani Lindi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiweka Shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Shirini S. Sharifu (mtoto wa Mbunge wa Lindi Mjini Hamida Mohammed Abdallah), tarehe 18 Machi, 2024.
  12. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Chatanda Kuchangia Mifuko 50 ya Saruji na Pesa Milioni Moja Gereza la Mbozi - Songwe

    CHATANDA KUCHANGIA MIFUKO 50 YA CEMENT NA PESA MILIONI MOJA GEREZA LA MBOZI - SONGWE Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania Cde Mary Pius Chatanda( MCC) ameahidi kuchangia mifuko 50 ya cement na milioni Moja ya tiles Kwa ajili ya ujenzi wa jengo la matibabu katika gereza la Wilaya ya Mbozi...
  13. J

    Jokate: UWT imekagua utekelezaji wa ilani katika mikoa 17, wilaya 185 na kata 883 Tanzania Bara

    UWT CHINI YA MWENYEKITI MAMA MARY CHATANDA IMEKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI KATIKA MIKOA 17, WILAYA 185 NA KATA 883 TANZANIA BARA - KATIBU MKUU JOKATE Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu chini ya Mwenyekiti wetu Mama Mary Chatanda (MCC) wamefanya ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ndani ya...
  14. peno hasegawa

    Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda, UWT inakufanya mtaji kuwa omba omba ziara ya mkoa wa Kilimanjaro

    Ujio wako mkoa wa Kilimanjaro fedha zinaombwa kila mahali, na huna Habari fedha zinakusanywa tena Kwa fedhea kubwa. Ulipanga safari bila kuwa na Bajeti ya safari zako mkoani Kilimanjaro? Kama utakuwa unaokota fedha Za kuomba omba Kwa watu , bora ujikalie huko uliko! Ukitaka kuja jitegemee au...
  15. M

    Mary Chatanda awashauri wanawake kuwapa ngono waume zao ili wamkubali Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT), Mary Chatanda leo Oktoba 28, 2023 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Darajani Mjini Magharibi Unguja amesema Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi...
  16. M

    Pamoja na Mary Chatanda kumpigia debe Kalemani ili arudi bungeni wananchi wa Chato wameapa kutomchagua tena. Hawamtaki Kalemani

    Nimepigiwa simu na mdau. Kuwa huyu mama alikuwepo Chato jana. Mbaya zaidi anasindikizwa na msafara ya polisi kana kwamba ni kiongozi wa serikali. Baada ya Kalemani kumzawadia zawadi ya ng'ombe na mafuta ya Alizeti huyu mama na kiswahili chake cha Tanga akaanza kumpigia debe Kalemani. Kuwa...
Back
Top Bottom