marketing

  1. profHarryEnock

    Fanikisha biashara yako kwa online Marketing

    Kama unataka kuvutia wateja wapya na kuongeza engagement ya biashara yako, basi wewe ni mtu niliyemtafuta. Mimi ni mtaalamu wa online marketing, nikiendesha campaigns zenye data-driven strategies, SEO/SEM, na social media optimization. Kwa kutumia vifaa vyenye weledi kama laptop ya kisasa...
  2. Prof_Adventure_guide

    Nafasi za Kazi: Digital Marketing Officers (Tourism & Hospitality Sector)

    Ninahitaji watu 5 pekee (wadada na wakaka) wenye uelewa na passion ya marketing (hasa digital marketing) ili kuendeleza sekta ya utalii na kuhakikisha wageni wanapatikana kila mwezi. 🔑 Muundo wa Kazi Kazi yako kuu ni marketing & client acquisition — kuhakikisha wageni wa kimataifa na wa ndani...
  3. M

    Kuna umuhimu wa kuajiri kwenye biashara zetu wahitimu wa vyuo waliosomea marketing (masoko) ili kuzikuza biashara zetu ?

    Kuna vyuo vingi sana nimeviona vinatoa kozi ya masoko (Marketing) Kuna umuhimu wa kuajiri kwenye biashara zetu wahitimu wa vyuo waliosomea marketing (masoko) ili kuzikuza biashara zetu ?
  4. Enginier

    Sales & Marketing Officer

    Deleted...
  5. Jamii Opportunities

    Sales and Marketing Officer at Inno Fleet Limited August 2025

    Company: Inno Fleet Limited Location: Victoria Noble Center, Floor No. 13, Dar es Salaam, Tanzania Inno Fleet Limited is a fast-growing leader in the transport and fleet technology sector. We provide smart GPS tracking, car rental, and fleet management services across Tanzania and beyond. We...
  6. R

    Door to Door marketing

    Maoni ya wadau kuhusu swali langu la aina ya marketing ninayopaswa kuitumia na yenye nguvu hasa kwa bidhaa mpya kabisa ni DOOR TO DOOR MARKETING. Nitawaletea mrejesho juu ya maendeleo na mchakato mzima wa masoko na mauzo ya mlango kwa mlango. Asanteni
  7. ELI COHEN

    Kweli nimekubali "SEX SELLS"

    Matangazo yenye taswira za ngono au binti kujiweka kuvutia matamanio ya ngono lazima yaruke na akili za watu, kuweka attention hapo na hata kuishia kununua bidhaa ambayo imetangazwa. Mara nyingine inatumika kama propaganda ya mamlaka ili kuwapunguzia scrutiny, ili kuwatoa watu katika jambo...
  8. jamii01

    Sales & Marketing Officers Positions

    Company deals with alcoholic drinks. Location: Dodoma(5 post) Kahama(3 Post) Mbeya(3 post) Mwanza (3 post) Arusha(2 Post) Key Responsibilities: Identify, approach, and convert prospective customers. Understand client needs and recommend suitable items from our...
  9. Brojust

    Huu ni ubunifu au upumbavu, Watu wa marketing tupeni somo.

    Salaam, Kuna haja gani ya kuweka picha yako kwenye tangazo la huduma au bidhaa yako wakati wewe sio mtu mashuhuri ? Tunajua kwa watu mashuhuri ni sawa kuweka picha au artwork yake, mfano hata trump juzi tu ametoa Ile parfume yake ya Victory. (Kwa sasa yeye ni raisi wa Marekani hapo sawa maana...
  10. Prof_Adventure_guide

    Wanafunzi wa Vyuo Vikuu: Fahamuni Umuhimu wa Psychographic Segmentation Katika Ulimwengu wa Kisasa wa Marketing

    Wanafunzi wa marketing na biashara kwa ujumla, ni muhimu sasa kuelewa kuwa soko la leo haligawanywi tu kwa kipato (income), jinsia (gender), au umri (age). Dunia ya kisasa imeingia kwenye hatua ya deep consumer understanding ambapo psychographic segmentation ndiyo silaha kuu ya makampuni...
  11. Mustapha maDish

    NAFASI ZA KAZI - MARKETING ( MOROGORO & DODOMA )

    FREELANCERS Uwe mkazi wa Morogoro au Dodoma. Umri miaka 20 - 30. Elimu kidato cha nne - kuendelea. Kazi - kutafuta masoko ( wateja wa huduma zetu ) Kazi zetu ni Installation & supplying - Security systems, Tv systems, Domestic electrical n Other IT solutions. Malipo ni kwa kazi, kuanzia 30,000...
  12. youngkato

    Jinsi ya Kupata Pesa Mtandaoni kwa Kufanya Survey, CPA & CPL Marketing

    💡Unahitaji pesa ya ziada kila mwezi? Unatafuta njia halali ya kujiongezea kipato bila kuuza bidhaa yoyote? Basi jaribu hii cpa marketing Leo nakuletea mfumo wa kipekee wa masoko unaotumika duniani kote, na umewawezesha watu wengi - akiwemo mimi na wanafunzi wangu - kupata zaidi ya $20,000 kwa...
  13. Jamii Opportunities

    Sales and Marketing Personnel (25 Positions) at Beauty Group Tanzania May 2025

    Sales and Marketing Personnel (25 Positions) at Beauty Group Tanzania Background Angela Peace and Love Company Limited (Beauty Group Tanzania) is a company registered under the laws of Tanzania, specializing in selling used clothes, shoes, bags, new shoes, and towels. The company headquarters...
  14. P

    Social media marketing

    Wazee habarini. Aisee kwa wale waliokuwa wanatangaza matangazo kupitia facebook,google,toka wafanye mabadiriko yao mambo yamegeuka na kuwa magumu sana. Yani unatangaza hupati matokeo kabisa,tupeane mbinu ndugu,tutoboe hii..zote na matangazo ya google Najua humu wapo walioyawezea.
  15. A

    Affiliate Marketing Tanzania

    Amani ya Mungu iwe juu yenu wanafamilia wa Jamii Forum. Je, kwa Tanzania kuna uwezekano wa kufanya Affiliate marketing? Kama ndio, Tafadhali mwenye ujuzi anifundishe kama inawezekana from zero level beginners . Naamini sio mimi tu nitafaidika pia vijana wengine watapata fursa. Shukran za dhati.
  16. Mrndumbarojl

    Creative Marketing Manager (Volunteer Position)

    Join Our Talent Team at Career Mastery Hub Private Limited Career Mastery Hub is a mission-driven organization dedicated to empowering individuals through career guidance, counseling, and academic support. We are currently inviting passionate, creative minds to join our growing team. Now...
  17. Mrndumbarojl

    Sales & Marketing Specialist

    Join Our Talent Team at Career Mastery Hub Private Limited Career Mastery Hub is on a mission to empower communities through career guidance, academic support, and personal growth. We're looking for passionate, purpose-driven individuals to join us and make a real impact. Now Hiring: Sales &...
  18. Heritage123

    Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing

    Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing Katika dunia ya sasa ya ushindani wa kibiashara, njia bora ya kuuza bidhaa si kwa kushinikiza watu kununua, bali kwa kuwapa thamani kwanza. Hii ndio maana halisi ya Value-Based Marketing — mbinu ya kuuza kwa kutoa elimu, maarifa, na suluhisho...
  19. Prof_Adventure_guide

    Wale Ma-Tour Guide na Tour Operators: Huu Ndio Uzi wa Kupiga Pesa Kiroho Safi kwa Digital Marketing, Wageni Waje Wenyewe

    familia, ma-savage wote wa hii game ya utalii — kama uko field kama tour guide, operator, dereva wa safari, au hata uko chuo unasomea tourism — hii ndo time yako ya kuamka kichwa baridi. Sahau story za kusubiri ajira serikalini au NGO, hizo ndo zile za watu wanaishi kwa matarajio na kuamka kila...
  20. Martha Amosi Mwakalibule

    Naomba kazi ya marketing au sales, vitu ninavyoweza, ku offer katika kazi ni pamoja na kuwa na idea za ubunifu kukuza biashara, kutengeneza content,

    Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
Back
Top Bottom