marioo

  1. stakehigh

    Show ya jana ya Marioo nchini kenya

    https://x.com/Ulimwengu01/status/2003003287298326658?s=20
  2. BIG BROTHER ALEX

    Marioo adakwa adanganya, nyimbo yake kupokelewa vizuri, kumbe miyeyusho, spana ziendelee spana na utu tunasonga mbele

    Baada ya nyimbo ya Mario kufanya vizuri kwa kigezo eti wamemsamehe Gen Z, pitapita raia wakashtukia mchezo mbona namba zinakimbia, baada ya kuangalia kwenye sehemu ya views namba zimekosewa kuandikwa computer haidanganyi, jamaa anajitekenya na kucheka mwenyewe. Wale si watu halisi zile kama si...
  3. M

    Gen Z wamekubali yaishe? Video ya Marioo yazoa views Milioni 1

    Baada ya kimya cha mwezi wasanii wameanza kutesti mitambo Gen Z wamekubali yaishe Video ya Marioo yazoa views Milioni 1
  4. DuaZaMama

    Msanii Marioo awashukuru mashabiki 'Mmeamua nisife njaa'

    Msanii Marioo ameonyesha shukrani za dhati kwa mashabiki wake kufuatia mapokezi makubwa ya wimbo wake mpya “OLUWA.” Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye Instagram, Marioo alieleza kuwa upendo anaoupata si wa kawaida, akisema wazi kuwa mashabiki wake wameamua asife njaa, kauli iliyojaa unyenyekevu...
  5. Pakome

    Wananchi wanalaumu kuhusiana na kauli ya dharau iliyotolewa na Diamond Platinumz, Ommy Dimpoz, Jux na Marioo na siyo masuala ya kisiasa

    Ni makosa makubwa kuwashutumu Wananchi kuwa wanachukizwa na matendo ya Wasanii kujihusisha na Siasa Swala la kujihusisha na Siasa ama Chama cha Siasa ni haki ya kila Mwananchi na Mwananchi hapangiwi au kulazimishwa kuchagua Chama cha Siasa na wala sio kosa Kisheria au Kikatiba kuchagua chama...
  6. DuaZaMama

    PostGE2025 Marioo asitisha kutoa wimbo wake mpya kisa maandamano, Amjibu Diamond katika wale kenge simo

    Kupitia Insta Story yake msanii Marioo ameandika kuwa, “Kabla ya kila kitu Niliahidi kutoa Ngoma Week ya kwanza ya Mwezi huu ambayo ilikuwa ndo leo tars lakini Baada ya kila kitu. kutokea Nimehairisha Nimepeleka Siku za Mbeleni panapo Majaaliwa Ila Trust Me Hii ndo nilkuwa naenda Kuwaambia...
  7. R

    GE2025 Marioo: Mungu awape faraja wote waliopoteza wapendwa wao

    Msanii wa Muziki wa Bongo fleva 'Marioo' kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ametoa salamu za Pole kwa Watanzania wote, familia na ndugu waliofiwa na wapendwa wao na Mwenyezi Mungu aweze kuwapa wote mioyo ya Subira katika kipindi hiki kigumu cha Taifa
  8. D

    Siku Mzee wa Minyama (Maulid Kitenge) alipokutana na Minyama yenyewe ya mama mkwe wa Marioo (Bibi yake Amara)

    Alikuwa anajiita Mzee wa Minyama, sasa juzi alikutana na Minyama yenyewe ya mama mkwe wake Marioo na Bibi yake Amara.
  9. LIKUD

    Nguvu ya muziki wa singeli nchini Tanzania: Dogo Sajent na mwenzake wamemfunika Mario kwenye Singeli version ya kisa salio

    Muda si mrefu wasanii wa Bongofleva watasitisha utaratibu wa kuwaruhusu wasanii wa singeli kufanya singeli versions za nyimbo zao kwa sababu kila wakifanya, singeli version zinakuwa hit kuliko nyimbo original. Mfano mzuri ni Wimbo " Kisa Salio" Wa Marioo. Dogo Sajenti na mwenzake Pateni...
  10. Expensive life

    Bien wa Kenya alivyomfunika Marioo kwenye Trace Music award

    Star muziki kutoka kenya Bien aliouwa vibaya kwenye tamasha la tracemusic award huko zanzibar. https://youtu.be/HNGUzeFNfNQ?si=LJRX1bjiWJqWwAlu
  11. Mindyou

    Video: Performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace ina shida gani? Kwanini mnasema kaaibisha taifa?

    Wakuu, Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania. Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo amempigwa sana mawe. Binafsi nimeiangalia sijaona kitu chochote kibaya kwenye performance hiii. Au...
  12. N

    Marioo balozi mpya Bahati Nasibu ya Taifa

    Dar es Salaam–Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava, Omary Ally Mwanga, anayefahamika kwa jina la kisanii Marioo, ametambulishwa rasmi kama Balozi wa Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania. Ushirikiano huu wa kimkakati unaleta matumaini, burudani, na fursa zinazoweza kubadilisha maisha ya Watanzania...
  13. Nomadiq

    Papapuu

    Kama umeniroga awee Siambiwi kwawee Overdose me Your love dey overdose me Paa pee pii papapuu Your love dey overdose me paa pee pii papapuu Overdose Joanah usiuchoshee huu moyo Joanah upoze huu moyo Joa Joanah usiuchoshe huu moyo Joanah upozee huu moyoo Natania bhana :) Enjoy goma hilo Special...
  14. Red shadow

    Marioo anajisikiaje 'mkewe' kushikana hivi na Juma Lokole kama mke na mume?

    Mbaya zaidi kashona had sale na Lokole
  15. M

    Marioo alitulia sana katika uandishi wa hii nyimbo ya Salio.Vijana tafuteni Salio ili msililie mapenzi

    Ukiisikiliza hii nyimbo ya Salio utagundua kuwa Marioo yuko vizuri sana katika uandishi wa nyimbo zake. Salio ni nyimbo yenye mafunzo kwa mabarobaro waache kukimbizana na mikongo wakati mifuko imechanika. Mwanamke atavumilia mengi ila sio neno " SINA HELA aka Salio. Tafuteni pesa vijana
  16. kajamaa kadogo

    Wewe Mbosso haya mambo yako ndiyo yalisababisha bwana Marioo alifuta verse zako kwenye nyimbo zake mbili

    Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
  17. Charlez kanumba

    Hii ndio sababu kwanini kila MARIOO akitoa nyimbo na DIAMOND lazima atoe?

    ..MARIOO ni msanii ambaye anatoa hits nyingi sana ambazo zinafanya vizuri kila kona ya mtaa, na endapo DIAMOND akimwachia upenyo MARIOO wa kuendelea kusikika mtaani basi lazima atachukua nafasi yake, hivyo diamond ameshamshtukia MARIOO ni msanii anaye kubalika sana na ni rahisi kurithi kiti...
  18. bahati93

    Mhhh! Utofauti kati ya kutabasamu na kukenyua

    Sina mengi naomba nipewe tofauti kati ya kutabasamu na kukenyua. Kwani shidaa ni nini au mpiga picha.
  19. U

    Marioo asema nyimbo zake zote ni hit. Je, ni kweli ana hit nyingi kuliko Diamond, Harmonize, Rayvany, au Mbosso?

    Asalaaam wanajamvini. Kazi yangu moja tu kuanzisha mada kutokana na wanayoongea wengi wakiwamo wasanii. Kuna msanii mmoja mkwe wake Majani anafahamika kama Mario, amesema nyimbo zake zote alizotoa ni hit, na ni kweli sipingani na Hilo, hata Maromboso pia nyimbo zake alizotoa official zote ni...
  20. B

    Wimbo wa Marioo uitwao 2025, utakuwa hit song Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu ushauskiliza huu wimbo wa marioo uitwao 2025. Ukiuskiliza huo wimbo ni ameongea mapnzi tu. Akisisitiza kuwa atadumu na mpnz wake Hadi 2030+ Sasa huu wimbo ukiuskiliza kwa upande wa kisiasa utaona unafaa sana kwny kampeni za uchaguz wa 2025. Mlio karibu na marioo mwambieni kabisa...
Back
Top Bottom