Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) Odero Charles Odero anadai kwamba hadi sasa hakuna kikao chochote rasmi kilichofanyika ndani ya chama hicho ambacho kimeazimia kwamba chama hicho hakitashiriki maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hapa nchini siku za usoni,
Soma Pia:
Odero...
Dini zote kitu cha Kwanza ni kuhubiri Haki, kama za Yatima, Wajane n.k. sasa hivi nchi yetu ina Kesi ya "Uhaini" ambayo Kwa sasa imesimama Kwa muda Mrefu tokea ilipo aanza, hivyo kusababisha Haki za msingi za mtuhumiwa kuvunjwa.
Mtuhumiwa yupo tayari kesi iiendele ili haki iweze kutendeka na...
Jana nimekutana na balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe, Suzan S. Kaganda hazina ya Taifa.
Baada ya kumsikiliza vizuri, nimeamini kumbe Nchi yetu bado ina Wazalendo. Tatizo Wazalendo CCM hawataki wakae karibu na Wananchi. Mfano Balozi Polepole alipelekwa Cuba, Balozi Suzan kapelekwa and Zimbabwe...
Kwanza,ni kweli Kihongosi amesema hivyo?
Kwa sababu hawa ²wana habari wa Kenya hawaeleweki wanayozungumza.
Halafu Lissu anaweza vipi kujitokeza kama bado yupo jela?.
Halafu Jumuiya ya Commonwealth unataka uchunguzi,( ambayo tayari unafanyika), lakini na wao wanataka kufanya uchunguzi wao,pia...
Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote.
Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya...
Wimbo wa maridhiano umekuwa ukisikika masikioni mwa Watanzania kabla na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Hata hivyo, hadi sasa umebaki kuwa kitendawili kinachohitaji kuteguliwa.
Wapo walioimba wimbo huu kabla ya uchaguzi. Wanaharakati, baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa...
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitimiza siku 100 madarakani tangu alipoapishwa Novemba 3, 2025, ahadi ya kuunda tume ya maridhiano na kuanza kwa mchakato wa katiba mpya imekuwa ikihojiwa. Lakini mwenyewe alisema ahadi yake ya kuunda tume ya maaridhiano itasubiri kwanza Tume aliyoiunda ya...
"Sisi tunajua Lissu alifanya Makosa ndio maana Familia ya Lissu iko tayari kwa maridhiano lakini Heche anafanya kila namna kuzuia maridhiano hayo" Habibu Mchange
Huu ndio ukweli japo hawezi kukiri hadharani.
Safari hii wanahitaji maridhiano sio tu na wapinzani, bali wanahitaji maridhiano na umma wa watanzania kupitia wapinzani.
Japo wanaendelea kumshikilia Lissu kwa uonevu, bado wanatamani sana kupiga picha na Lissu kuliko mtu mwingine yoyote yule...
Wakati Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya uchaguzi Mkuu ikiendelea kukamilisha kazi yake ya miezi mitatu, picha inayojionyesha kwa sasa, CCM ina machaguo mawili tu, ama kuiendesha nchi kidikteta au kukubali kuachilia mabavu yake na kuwapa nafasi wapinzani.
Kuna kila dalili...
Mzee amenena maneno ya makufuru dhidi ya mpigania haki Lisu ambaye wmezuiliwa gerezani bila kosa lolote.
Leo mzee Wasira ameropoka na kusema wanamzuia kwakuwa hataki maridhiano.
Soma mwenyewe hapa chini.
"Tunapozungumzia maridhiani tunamaanisha Makubaliano ya kitaifa, kiutendaji na amani ya...
Mkuu wa Idara ya habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Gervas Lyenda ni amesema Chama chake kipo tayari kushiriki kwenye mchakato wa maridhiano ili kuhakikisha Tanzania inakuwa na amani na utulivu wa kisiasa wa kudumu.
Lyenda amebainisha hayo wakati akifanya mahojiano na...
Kuna mkanganyiko mkubwa unaoenezwa kwa makusudi katika mjadala wa kisiasa nchini Tanzania kuhusu dhana ya maridhiano. Neno hili linatumika kana kwamba ni suluhisho la kila tatizo la kitaifa, bila kuzingatia misingi ya kisiasa, kisheria, na kimaadili inayopaswa kulitangulia.
Kwa mtazamo wa...
https://www.youtube.com/watch?v=jfQlh6d74a0
Katika taarifa yao wameonyesha Chadema wapo tayari kukaa mezani. Lakini katika majibu yake Lyenda ameeleza vizuri kabisa msimamo wa Chadema.
Ila huyu jamaa Lyenda ni kichwa sana, sijui Chadema wanatoa wapi hawa watu
Kichwa cha habari kiko wazi. Timu hii ya wazee wa hovyo haina maslahi ya nchi bali ya. muuaji mmoja aliyewateua. Ni aibu hadi sasa wanaamua kufanya uchunguzi kwa siri. Kwanini siri? Wanaficha nini? Na kwanini?
Wameteka, wamepoteza, wamejeruhi wameua na hawataki kukiri makosa yao waliyoyafanya kwa uwazi na mchana kweupe kwa kuwa walishatuona sisi sote ni kama mbuzi wao wa kafara..
Na sasa eti wanataka kulazimisha waongoze maridhiano ili tuongezeke na watengeneze mazingira ya kuja kuua wengine...
Hili ndio swali kubwa la msingi linalopaswa kujibiwa.
Maridhiano kati ya nani nani? Nani aliddhulumiwa mpaka marudhiano yatafutwe?
Bila kuwekwa wazi kuwa wapo waliodhulumiwa haki zao za msingi na waliodhulumu wakakiri wazi kuwa walifanya makosa itakuwa ngumu kufika mwisho.
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ameweka msimamo mzito kuhusu mchakato wa maridhiano nchini, akisisitiza kuwa chama hicho hakitashiriki katika mazungumzo yoyote ya "ulaghai" yanayolenga kufunika makosa yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Akizungumza kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.